andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,021
- 120,490
Mume akitaka apate muda wa kuwa na kimada wake lazima aanzishe timbwili nyumbani. Kitu kidogo utafokewa wee ili ujibizane nae apate ticket ya kununa na kuchelewa kurudi nyumbani.
.
.
Dawa yao ni kukaa kimya. Akianzisha timbwili unamuangalia tu, abwabwaje achoke! Na wanaume wa siku hizi sijui wametokea pande zipi yaani wanapenda kununanina na maghubu kama wanawake.
ama kweli hii mada imetukamata pabaya. Utadhani wanaume wote tumelazwa wodini leo