Kuchepuka raha

Mbona wa kwetu hawapo mochuary? Unavyomjua mke wako sio hivyo alivyo. Akiwa nyuma ya keyboard kama hivi utashangaa na roho yako
Haki ya Mungu hii sehemu mnajiachia kinyama. Siku wanawake mkijitambua ndio, ndio utakuwa mwisho wa kiumbe cha kiume
 
Mwanamke anayewaza kuchepuka kama suluhu ya kutuliza matatizo aliyonayo kwenye ndoa,ni mjinga na ni mpumbavu sana,halikadhalika mwanaume,haiwezekani unaishi na mtu halafu unafanya ufuska nje ya ndoa,wewe unadhani ndugu zako wakisikia nakuhakikishiwa kua wewe hujiheshimu watajisikiaje.. baba na mama yako wakisikia watajiaikiaje.. huoni kua ni aibu,umewahi jiuliza mtoto wako anaposikia mama yake hajiheshimu analala na wanaume hovyo,anaathurikaje kisaikolojia,au hata mwanaume mwenyewe ukiwa unachepuka hovyo unajua kwa kiasi gani unaathiri wanafamilia na watu wengine,nataka nikwambie ndugu yangu ambaye unachepuka acha hayo mambo unawafanya baadhi ya watu wapate wakati mgumu kwaajili yako,iwe physically au psychologically.Mimi nimewahi kuishi kwenye familia ambayo baba nimchepukaji,kwakweli japo nilikua mtoto,nilikua namchukia sana yule mama mchepuko nakuona shida anazopata mama mzazi yeye ndiye kisababishi.Halikashalika nimewahipata maumivu sana baada yakuanza kuona minendo ya mama yangu haiko vizuri baada ya baba kufariki,nilipata wakati mgumu sana kisaikolojia kama mtoto na maumivu niliyokua nayapata yalinifanya nisiwe na hamu yakukaa nyumbani kuona mama anavyofanya vitendo vibaya.Tuache mambo ambayo jamii haitaki na ni kinyume cha maadili.
 
Fikilia kwanza kabla ya kufanya maauzi hayo maana baada ya starehe nikilio na wanaoteseka ni watoto, pia kama habadiliki tabia kwa ushauli wangu bora muachane tu
 
Unakiri kua ndoa ikivunjika mwanamke ndiye anayeangaliwa,umewahijiuliza mke na mume wakichepuka yupi huleta aibu sana kwenye familia na jamii kwa ujumla.. acheni kuchepuka sio vuzuri,ukiona vipi achana na mwanaume uende ukaishi peke yako ufanye unavyotaka,kama mume anachepuka jaribu kumrekebisha vile unavyoweza nasio wewe kuanza kuchepuka kwasababu unakua unajishalilisha nakuleta fedheha kwa watoto na ndugu zako pamoja na jamaa unaoheshimiana nao,usijione wewe tu angalia na jamii itakuonaje,fanya kitu ambacho unaweza kuongea mbele ya watu ukaeleweka.
 
Angalau wa kwako alistuka na kurudi mstarini...
 
Sie uzuri hatununiiiiii!! Ukirudi unanikuta freshhhhh, mwepesiiii nakupokea kwa bashasha tele, ukiamua kujinunisha we nuna tu at yo own risk.
Katika vita ya namna hii uwe na uhakika kabisa mmoja kati ya hawa wawili ataumia tu, maana itakuwa ni kama vichaa wawili wamekutana na kila mmoja anamcheka mwenzie
 
Ameeeeeen!!
Na ubarikiwe.
 
kwa comments za Evelyn Salt, demi, Heaven Sent, espy, nao, Nalendwa, mmoja wapo angekuwa ndio mke wangu saa hizi ningekuwa mochuari nakula kiyoyozi. Nimemchungulia Id yake hausiki

Cha kukua nini sasa?
 
Kidudu kwasababu kapata cha kukilinganisha nacho teh
Hapo ndo wanaume wenzangu wanatakiwa wajue umuhimu wakuangalia historia ya mpenzi,ukioa ambaye alishafanya sana napo utalinganishwa,ukioa ambaye hajawahi,ukiteleza kwenye kumlea basi ataonja nje nakuona kua una kibamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…