Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Ha haaa eti mwanaume ni mtoto! Mtoto utawezaje kuwa kichwa cha familia? Mwanamke mtu mzima sio! Na utoto wenu kwanini mnakimbilia ndoa? Bakini kuwa watoto muuendelee kufanya matusi. Ndoa ni kwaajili ya watu wazima wenye akili timamu!
Ndio maana nimewaambia wasubiri siku wakikua ndio waoe.
 
Siku izi mkipewa keleb mnakimbilia social media, mara dawati la jinsia au mahakamani. Tumeamua tutafute mbadala, mkizingua zaidi tunachoma moto ili tukakutane dawati la jinsia huko Mbinguni
Sasa wewe mwanaume gani unanyanyua mkono kumpiga keleb mwanamke ambae hata kukufinya hawezi? Huko ni kutojiamini.
Ingekuwa vipigo vinasaidia wake zenu wangekuwa wamenyooka. Kipigo hakisaidii ni ushamba tu.
.
.
Tafuteni tu mbadala. Sisi mbadala wetu akilini mwetu.
 
Kibamia kinaonekana leo.... kila lahel ira kumbuka mapenzi ya frash hayanaga ant.. vairas
 
Sasa wewe mwanaume gani unanyanyua kumpiga keleb mwanamke ambae hata kukufinya hawezi? Huko ni kutojiamini.
Ingekuwa vipigo vinasaidia wake zenu wangekuwa wamenyooka. Kipigo hakisaidii ni ushamba tu.
.
.
Tafuteni tu mbadala. Sisi mbadala wetu akilini mwetu.
Siku hizi hawanyooki sababu keleb zimepungua, penye keleb hapakai aliepinda either atanyooka au atakimbia.
 
f73a2853fe5c7e351fd7707d99323321.jpg

Duh! Kweli mke mwema hutoka kwa bwana
 
Kumbe mke wangu siku hizi umeanza kuchepuka, ndio maana umeanza dharau.
 
1fca898c7b5b6f5ba9f19eb4e78dde09.jpg
cb6b814e0d62e705c9d3256cb55da3a6.jpg
c8469097c1219a0121d73fde6a412f9c.jpg
6740beea5b892443b02e62fe3018ad55.jpg

Madhara ya kuchepuka....
Nasikia huyu Dada kamsaliti jamaa aliemueka mjini akawa yupo na hawara yake.
Jamaa akaamua kuchoma nyumba kabisa pumbavu...
Imetokea jana sakina white rose Arusha
 
kumbe issue ni kibamia,,,,khaaaa wanawake nyieee Mungu anawaona ujuee
 
1fca898c7b5b6f5ba9f19eb4e78dde09.jpg
cb6b814e0d62e705c9d3256cb55da3a6.jpg
c8469097c1219a0121d73fde6a412f9c.jpg
6740beea5b892443b02e62fe3018ad55.jpg

Madhara ya kuchepuka....
Nasikia huyu Dada kamsaliti jamaa aliemueka mjini akawa yupo na hawara yake.
Jamaa akaamua kuchoma nyumba kabisa pumbavu...
Imetokea jana sakina white rose Arusha
Amekufa dada pekee yake? Au namwaume? Hiyo inaitwa ajari kazini
 
Wakati tunaendelea kupongezana kuhusu cheating, wale wanaoamini katika kuombea marehemu apunguziwe adhabu wasimsahau huyu mrembo, pretty lady daaah!!
991113102e459e54d906d52abd98aff1.jpg
Daah Dada wa watu apumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom