Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Nilikumention sijui Ulichelewa kuiona. Nimecheka sanaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ilikuwaje sikuona hii post mapema, nimecheka jamani loooh!
Nilikumention sijui Ulichelewa kuiona. Nimecheka sanaaaa![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ilikuwaje sikuona hii post mapema, nimecheka jamani loooh!
Hahaa ukimwi sio wa dunia hiiHii nayo mpya!! Ukiropoka ropoka mambo ya ndoa unapata UKIMWI!! Basi wanaume wa humu karibia wote wanao kama ndio hivyo!!
Ni aibu sana mwanamke kuliko mwanamume kuchepuka, kwa sababu yoyote ile, MWANAMKE AKICHEPUKA NITAITA KUTELEZA ILA MWANAMKE AKIFANYA HIVYO ITAKUWA NI ANGUKO
Nawaona tu, mi hata sitaki kujua kwa kweli. Mtu akimkunja wife bora nikae gizani tu kwa kweli..Teh brod darlin nakusalimia
Nimechelewa kuingia jf hata hivyo i was a bit busy leo. Watu wanatamani wavamie server za jf!!Nilikumention sijui Ulichelewa kuiona. Nimecheka sanaaaa

Ile ile mkuu. 1500Basi weye ongeza Balimi hapo mi ntapita kulipa... Si bei ni ile ile au zimeshapanda?
Hahahaha wala usimuwazie wifi mabaya bana.Nawaona tu, mi hata sitaki kujua kwa kweli. Mtu akimkunja wife bora nikae gizani tu kwa kweli..
Ni aibu sana mwanamke kuliko mwanamume kuchepuka, kwa sababu yoyote ile, MWANAMKE AKICHEPUKA NITAITA KUTELEZA ILA MWANAMKE AKIFANYA HIVYO ITAKUWA NI ANGUKO
Kuna watu watapewa talaka leo kisa comments, kama tu ukiropoka unapata ukimwi heheeNimechelewa kuingia jf hata hivyo i was a bit busy leo. Watu wanatamani wavamie server za jf!!![]()
![]()
hahahahaha basi chukua za efunnemiatano hapo ntapita clear bill..Ile ile mkuu. 1500
KORBOTO Mkuu nakuelewa sana.. Na ninakubaliana na hoja zako pia nadhani tunachokubaliana ni kwamba pande zote mbili huchangia hali Hiyo kutokea.mheshimiwa, hawa wanawake wanaotetea hawana lolote isipokuwa wanataka tu kujustify ufuska.
naomba mnielewe pia kuwa sitetei mwanaume kuchepuka na kumtesa mkewe kwa namna yoyote ile.
tuache ideal situations tuje kwenye uhalisia sasa.
mwanamke huyu huyu akiwa na mwanaume fukara, atasema mwanaume suruali huyu, atachepuka kwa kigezo hicho hicho. Akiwa hana shida za kifinancial atachepuka kwa maneno anayoyasikia saloon, ati kuna mihogo sijui kuna kunyonywa sijui hivi na vile ili mradi tu, atajidai hajatoka kwao kushiba tu.
Haya kuchepuka kwa sababu za kulipiza is worst revenge ever, zipo namna za kumpin mtu aliyechepuka.., achana naye basi tuone umekasirika sana. unaiabisha familia yako kwa mambo ya kijinga namna hiyo.
ni ukweli usiopingika hata kwenye Biblia na Quran kuwa wanaume tuna aina flani ya mapungufu, kama hamtaki kukubali hili mwulizeni Mungu mwenyewe arudie kazi hii.
Haya mmesema mwanaume anahusika mke kuchepuka, je mke hawezi kuwa ndo sababu ya kuchepuka huko?
mbn msimsaidie mleta mada kwa kuweka mambo yao sawa, badala yake mnampongeza?
Sijui hata naandika nn, nahisi nimepanic....
Sijahangisheni kutafuta faraja ya kudumu siyo faraja feki...,
Ni aibu sana mwanamke kuliko mwanamume kuchepuka, kwa sababu yoyote ile, MWANAMKE AKICHEPUKA NITAITA KUTELEZA ILA MWANAMKE AKIFANYA HIVYO ITAKUWA NI ANGUKO
Wacha we!! Mmebadili msimamo tena!! Yaani mnajitekenya na kucheka wenyewe!!!Me nafurahia sana wanawake wanapokuwa na awareness ya kulipiza kuchepuka kwa kuchepukiwa bcz they become cheap na wakiwa cheap sisi tunawavuna tuu...go girls go....
unajua sijasoma id iloleta mada hii...Umeongea kwa uchungu sana. Pole!
Yaani hii mada imekuwa na mpambano kwa sababu moja tu.. wanaume wameanza kumponda walivyoona mke anataka kuchepuka...wakaongea as if mke hapaswi kuchepuka.
.
.
Tunashangaa why asiweze kuchepuka na yeye ni binadamu?
Why men kila siku mwenzao akitoa mada za kutendwa na mke majibu anayopata ni kama haya..
mtafutie mwenzake huyo atatulia, bro kwani wanawake wameisha?
![]()
![]()
Na wanaenda mbali kabisa kupeana mbinu za kuchepuka ili wasikamatwe. Huwa tunawaangalia tu hatutii neno. Mmeshajustify kuwa michepuko ni sehemu ya miili yenu..
.
.
Hatushabikii huyo dada kuchepuka la hasha! Ila akiona sawa na achepuke tu. Mbona ni kawaida? Tumeshazoea michepuko kutoka kwenu, wengine tunaishi tukijua kabisa mume ana mchepuko yaani mpk jina unaujua na mume hakuonei hata chembe ya huruma. Sasa kwa hali hiyo utaniambiaje mimi nizuie hisia zangu kwa wanaume wengine wanaonitamani au kunipenda?
Inawezekana ukawa na k kubwa ukaona mumeo ana kibamia.![]()
![]()
![]()
![]()
umeuaaaa! Ila jamani mpaka unaolewa na mtu mwenye kibamia unakuwa umependa mwenyewe.
.
.
Always Shake Before Use!
Aaah mbona msijaliNa nyie mchukue training ya kutuhudumia tukiwa hapo living room tujihisi kama tupo bar..
Ikiwa mke utachepuka sababu mume kafilisika/kaumwa/kaachishwa kazi/ huyo hafanyi vizuri hakuna kipindi kizuri cha kuonyesha upendo kama kipindi ambacho mwenza wako ana matatizo.nashukuru kuwa ww upo positive kdg.
naomba nikuhakikishie kuwa nimeelewa mada vzr.
Hapa tunaongea na mtu ambaye amechepuka baada ya mumewe kuchepuka/kumkwaza/kufilisika/kupoteza kazi/kuumwa/kupata udhaifu fulani.
narudia tena, anayempongeza huyu dada anashadadia asichokijua..., ni lini tumerekebisha kosa kwa kosa? kwamba hapa ndo mnasemaje sasa? kwamba kwanini mume alikosea? ndiyo amekosea, suluhu yake ipi? mwache basi ukaolewe na huyo unayetaka kuchepuka naye...
hata ukiulizwa mbn umefanya makosa? utajibu kwa sababu ww ulifanya?
hivi mpo kwenye akili zenu jamn?
Vitembezeni tu kwa sababu zenu msitafute kiki kwa kutusingizia
Nyie mkichepuka huwa mnatusingizia, kwahiyo acha tu nasie tuwasingizie. Leo imepenyaaa hadi kwenye mifupa eeeh!!

em tuanze na terms zinazotumika.Si wanaenda kupata ujuzi wakirudi wanawapa mambo adimuuu.Duuuh... Wenye wake kazi tunayo..
Ila Mara nyingine sisi Wenyewe tumekuwa chanzo cha wake zetu kuliwa huko nje. Haya mambo haya acha tu.
Nawasoma tu lakini, mmefurahi kweli yaani dah! Mungu asimamie wake zetu wazidi kupewa hizi busara aseee...Hahahaha wala usimuwazie wifi mabaya bana.