Kuchepuka raha

Kuchepuka raha

Yani nimkomoe mtu kwa kutumia mwili wangu? labda tu niamue kufanya kwa tamaa zangu.

Mmh aisee ngoja nikitulia niiangalie. Wanaume nyie mkiprovide tu mmemaliza malezi yote, tuna safari ndefu sana
Not all lakini wengi wetu tunatoa room ya kujifunza ni vile tu mnakuwa mna wasiwasi wa kutufundisha..
 
mheshimiwa, hawa wanawake wanaotetea hawana lolote isipokuwa wanataka tu kujustify ufuska.

naomba mnielewe pia kuwa sitetei mwanaume kuchepuka na kumtesa mkewe kwa namna yoyote ile.

tuache ideal situations tuje kwenye uhalisia sasa.

mwanamke huyu huyu akiwa na mwanaume fukara, atasema mwanaume suruali huyu, atachepuka kwa kigezo hicho hicho. Akiwa hana shida za kifinancial atachepuka kwa maneno anayoyasikia saloon, ati kuna mihogo sijui kuna kunyonywa sijui hivi na vile ili mradi tu, atajidai hajatoka kwao kushiba tu.

Haya kuchepuka kwa sababu za kulipiza is worst revenge ever, zipo namna za kumpin mtu aliyechepuka.., achana naye basi tuone umekasirika sana. unaiabisha familia yako kwa mambo ya kijinga namna hiyo.

ni ukweli usiopingika hata kwenye Biblia na Quran kuwa wanaume tuna aina flani ya mapungufu, kama hamtaki kukubali hili mwulizeni Mungu mwenyewe arudie kazi hii.

Haya mmesema mwanaume anahusika mke kuchepuka, je mke hawezi kuwa ndo sababu ya kuchepuka huko?

mbn msimsaidie mleta mada kwa kuweka mambo yao sawa, badala yake mnampongeza?


Sijui hata naandika nn, nahisi nimepanic....

Sijahangisheni kutafuta faraja ya kudumu siyo faraja feki...,

Ni aibu sana mwanamke kuliko mwanamume kuchepuka, kwa sababu yoyote ile, MWANAMKE AKICHEPUKA NITAITA KUTELEZA ILA MWANAMKE AKIFANYA HIVYO ITAKUWA NI ANGUKO
Hakuna kitu kama hicho nyie mnajiona mna mioyo ya nyama ila mwanamke tuna vyuma .. mnachepuka mbaya zaidi mnaenda mbali na kutudharau tukochepuka ooh atapata anguko ungekuwa unanitimizia mqhitaji yangu na kunisikiliza sa ngapi ningepata muda wa kuchepuka ila kwa sababu mna kiburi Acha tufanye kimya kimya tu
 
wanaume hapa wanakupinga sana,kisa umefanya wewe mwanamke ila angekua mwanaume mwenzao ndo kafanya hivi wangempongeza na kumwona mjanja.....
mama just do what makes you happy katika maisha yako ila tu uwe makini na magonjwa,yani kabinadam kamoja ndo kakukoseshe amani mtoto wa watu loh...u deserve better mama...
ndio mkikaa katika vilinge vyenu mnavyoshauliana upuuzi kama uo??? BULLSHIT
 
KORBOTO Mkuu nakuelewa sana.. Na ninakubaliana na hoja zako pia nadhani tunachokubaliana ni kwamba pande zote mbili huchangia hali Hiyo kutokea.

Naelewa pia kuwa hata wao kwa sehemu wamekuwa chanzo cha kuchepuka kwa wanaume.
Mwanamke hadi achepuke ujue umemfika kooni kabisaaa!!( wengi wao)
Akichoka anaona taabu yote ya nini! Anaamua kujitafutia nae kafaraja kake, ili angalau asikuwaze sana. Hapo ndipo utafurahi na nafsi yako.
 
Ila seriously I know you can't do that eti umkomoe mmeo..

I gave you an assignment yesterday, ebu tafuta hii movie ASAP..

bX0oSVcb.png

75df97fa40f6657231eec3de3eb0d392.jpg


Look at this beautiful family..
War-Room-Table.JPG


Dad should give a little bit of his time for his kids..
maxresdefault.jpg

Ila kiafrika ukifanya hii aiseee utaonekana wa ajabuuu sana.. Baba wanaambiwa mtoto asikuzoee
Mnapenda kutuona tukilia eeh?
.
.
Mtu una muombea kwa kujifungia war room mpk kwenye madroo tunajifungia kuwaombea miaka na miaka hambadiliki! Labda hatujui kuomba!
 
Nyekundu haiwezi kuwa njano...we kama mwanamke unaeelewa nafasi yako katika familia....ukilipiza kuchepuka kwa kuchepuka...unaharibu zaidi kuliko ungevumumilia...hamna alternative nyingine hadi na wewe uchepuke na ujisifie...bt anyways nadhani type ya mwanamke naemuongelea mimi wamekuwa like endangered species..nyinyi wetu wa sasa ni jino kwa jino...
Yani nyie viumbe ni wanafki sana unafikiria sisi tumewekewa nyege ashki tufe nazo? Nyie ndiyo mnajua utamu kuliko sisi.. kwanza ni wachoyo na mnanyanyasa hisia zetu mnataka tufikie monopose hatujafaidi embu muwe mnabalance basi.. Oooh uvumilivu mbona nyie hamvumilii? Kama umeoa na unachepuka jua na mwenzio anachepuka
 
em tuanze na terms zinazotumika.

NIMEKANYAGA KISHENZI
amekanyagwa kinoma
Cha msingi ni kupata alichokuwa anataka, iwe wamekanyaga/gwa/gana hizo zinabaki kuwa terms tu.

Muachage ubinafsi, acheni na wenzenu wapate faraja mloshindwa kuwapa mkaenda kuitoa nje, haya sema sawa!!!
 
Hakuna kitu kama hicho nyie mnajiona mna mioyo ya nyama ila mwanamke tuna vyuma .. mnachepuka mbaya zaidi mnaenda mbali na kutudharau tukochepuka ooh atapata anguko ungekuwa unanitimizia mqhitaji yangu na kunisikiliza sa ngapi ningepata muda wa kuchepuka ila kwa sababu mna kiburi Acha tufanye kimya kimya tu
habari ya siku? uko salama? kunywa maji kdg afu twende sawa kdg.

Mi sijahalalisha chochote hapa.

Ila wenzenu tumeumbwa wadhaifu kdg kuliko nyie, nyie mmejaaliwa uvumilivu kdg... mtusitiri basi!!!., tujenge wala tusibomoe
 
Yani nyie viumbe ni wanafki sana unafikiria sisi tumewekewa nyege ashki tufe nazo? Nyie ndiyo mnajua utamu kuliko sisi.. kwanza ni wachoyo na mnanyanyasa hisia zetu mnataka tufikie monopose hatujafaidi embu muwe mnabalance basi.. Oooh uvumilivu mbona nyie hamvumilii? Kama umeoa na unachepuka jua na mwenzio anachepuka
Mi najiuliza huwa wanachepuka na kina nani hawa watu!
 
Back
Top Bottom