Si ndio hapo sasa!! Alilie dyudyu yako kwani ina dhahabu!! Ama kweli akili za hawa kweli zimehamia chini.Huyo mwehu asiye mkeo analilia dyudyu wanalilia pesa hivi anawajua makahaba huyu atakuwa mgeni wa mapenzi atakuwa kaingia mjini na utu uzima
Wanazini na majini
Kwani mnakosaga sababu sasa!! Ni hivi mtambue tu hamuoi malaika, kwahiyo dont expect yo partner to be perfect. Na haimaanishi kuwa kila siku mtakuwa na furaha, mtakwaruzana lakini utashi mlopewa ndio mtakaotumia ktk kutatua matatizo yenu. Ndio maana mlitofautishwa na wanyama FCS.Furaha ya mwanamme utoka mbavun kwake
Kama mbavu za pili azikusimama imara kuimarisha upendo michepuko lazima.
Me nina mchepuko lakin naona sehem kubwa amesababisha mke wangu.
Asanteee....Ahsante kwa mleta mada hii(kisia) maana nimejifunza mengi sana juu ya mke. Mwanzo wa mada kisia amesemwa sana kama ametenda kosa kubwa sana (ni kweli) lakini ujio wa hawa wadada Ms. Lincoln, demi, Heaven Sent, miss chagga, Nalendwa, Evelyn Salt, ringson, espy, LadyRed, Msweet, Go mi num, firstLady 1,nao,...hakika,wanaume tuna la kujifunza na lazima tukubali kuwa sisi ni wajinga kiasi fulani. Hakuna haja ya kuombewa maana hicho ndio kilio cha wanawake wengi walio kwenye ndoa, tubadilike kwa hiari. Naona aibu hata kumuangalia wife tangu jana (kaa nami Bwana Yesu peke yangu siwezi). Mkuu Ngoda 95 na wengine tubadilike, tuwajali hawa viumbe. AMEN
Pole kwa kuchelewa kujua hilo. Babu yangu alikuwa na wake wawili, baba ngu alikuwa na wake wawili. Na Mimi (inshaallah) nategemea kurasimisha mchepuko wangu.Toka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Wewe naye sijui vipi mbona hamtoi mifano ya Isaka wala mzee mwenye busara nyingi mkamilifu na mwelekevu Ayubu, mfalme Suleiman sawa lakini hao wanawake walimpeka kuabudu miungu badala ya Mungu , sasa na nyie kizazi cha wavivu majeuri wasio dhamini wake zao na kuheshimu michepuko, mtachomwa kila siku.,!,wanawake wa karne hii mungu awasamehe kwa dhambi mnazotufanyia, yani mwanamke umetolewa mahari kabisa afu unaenda kubanjuliwa nje ya ndoa? et kisa kumkomoa mumeo? ujue wanaume tumeumbwa kua na mwanamke zaidi ya mmoja iyo ni nature kabisa na siyo dhambi coz hata mtu wa mungu mfalme suleiman alikua na wanawake lukuki lakini bado alipendwa na mungu. Hivyo enyi wanawake msitake kushindana na sisi maana sisi tumepewa kibali na mungu kuwamiliki wengi wengi ila ni kosa kubwa kwa mungu mwanamke kua na mume zaidi ya mmoja ua kutoka nje ya ndoa. hivyo nakushauri ukatubu na uache kabisa tabia hiyo la sivyo jiandae kuteketea jehanam.
Halafu nawe eti kichwa cha familia angalia usije ukawa kuniUnaelewa maana ya kuzini wewe? Dhambi ya kuzini haimhusu mwanaume inamhusu mwanamke tu
Soma vizuri comments za wanawake wanacholalamikia ili nawe ukioa usirudie makosa ya wenzio yasije yakakukuta yakuchapiwa chapiwa hovyoMkuki kwa nguruwe kwa binadamu ni mchungu. Mi mwenyewe mwanaume japo sijaoa ila kwa sentesi hiyo sio kwamba nakuunga mkono ila kuna tatizo ambalo inabidi tulishughulikie hasa sisi wanaume. Kufanyiana tit for tit kutasababisha uachike ila ulichofanyiwa pia si kizuri. Ni vizuri ungeingia magotini ukaomba kuliko kulipizia kisasi maana huyo akijua utaachwa na mwisho utaumia wewe zaidi ya yeye maana hata wanao hutataani walelewe na mama wa kambo. It is better mwanamke ukatumia ushawishi wako wa kike kumfanya mumeo atulie maana uwezo huo mnao sasa kuja kulipiziana duh!
Hapo maana ake ni kuenzi na kudumisha mila na desturi za mababu zetu wapendwa.
Huyo atakuwa mwana mbuzi aliye valishwa manyoa ya mwana kondooWe ni Mwana kondoo au ni kondoo?
Halafu ni rahisi kweli kufika muafaka na nyie viumbe. Hata umkosee vipi mwanamke, muombe msamaha hata kwa chozi la kukiri, loh!! Mama mwenyewe anakuja kukukumbatia na kukusamehe kwa kukubembeleza mkosaji, usichelewe mkosaji, mpige waifu na outing ya nguvu hakuna kulala nyumbani. Kuoa raha sanaKwani mnakosaga sababu sasa!! Ni hivi mtambue tu hamuoi malaika, kwahiyo dont expect yo partner to be perfect. Na haimaanishi kuwa kila siku mtakuwa na furaha, mtakwaruzana lakini utashi mlopewa ndio mtakaotumia ktk kutatua matatizo yenu. Ndio maana mlitofautisha na wanyama FCS.
Kumbe mnaujua udhaifu wetu eeeh!! Basi dont take us for granted.Halafu ni rahisi kweli kufika muafaka na nyie viumbe. Hata umkosee vipi mwanamke, muombe msamaha hata kwa chozi la kukiri, loh!! Mama mwenyewe anakuja kukukumbatia na kukusamehe kwa kukubembeleza mkosaji, usichelewe mkosaji, mpige waifu na outing ya nguvu hakuna kulala nyumbani. Kuoa raha sana
Nayeye akishajua madhaifu yako naye hapohapo afanyi kosa jamani si kuna kipindi mkemia mkuu alitoa data zake 60% ya watoto si wa hao wanaojiita baba zao bali wanalea tu nakuvimbisha vifua mbele wanangu mke lake moyoniHalafu ni rahisi kweli kufika muafaka na nyie viumbe. Hata umkosee vipi mwanamke, muombe msamaha hata kwa chozi la kukiri, loh!! Mama mwenyewe anakuja kukukumbatia na kukusamehe kwa kukubembeleza mkosaji, usichelewe mkosaji, mpige waifu na outing ya nguvu hakuna kulala nyumbani. Kuoa raha sana
Have fun as its last, siku akija jua mumeo unaliwa nje haiya weee...utakua mdogo kama pilitoni..enjoy as u can but be ready to count ua losses akija jua na hio supa mtaribo yako itakua hukooooooToka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Nayeye akishajua madhaifu yako naye hapohapo afanyi kosa jamani si kuna kipindi mkemia mkuu alitoa data zake 60% ya watoto si wa hao wanaojiita baba zao bali wanalea tu nakuvimbisha vifua mbele wanangu mke lake moyoni
"........... Ila kwa dharula".Michepuko sio dili.
lengo lako kutuvunja moyo siyo? Hiyo 60% atabaki nayo mkemia sina muda wa kukagua sura wala vidole vya watoto kama tuna fanana au la
tunzeni tu akipita hapo kwako jamaa ukiona mwanao kama wanafanana kuongea aibu unakufa nalo unajuliza nikiongea nitasmbiwa wakati unasaidiwa wewe ulikuwa wapi?
Hahahaaaa!!!lengo lako kutuvunja moyo siyo? Hiyo 60% atabaki nayo mkemia sina muda wa kukagua sura wala vidole vya watoto kama tuna fanana au la
Tengeneza tu mazingira, siku yakikukuta ya dharura napo uelewe tu."........... Ila kwa dharula".
Si una bwawa, dagaa wanaonekana wadogo ila ujue nao wanavuliwa kwa nyavu,!!!! Hata ulie nae atakukimbiaToka niolewe miaka mingi tu toka niolewe sijawahi hata kuwaza kuna siku ntakuja kuchepuka, nilimpenda sana mume wangu.
Tatizo mwanaume huyu amekua jipu maana sio kwa umalaya huu na majibu ya karahaa. Hajawahi kuniambia samahani na mara zote nimemkuta na ushahidi na nilichokua nahitaji ni kuniambia samahani tu.
Ila kwanza ukimkuta kwanza ananuna hata mwezi hakusemeshi, hakugusi kosa lake ila ndio anakugeuzia wewe kibao.
Nimetafakari nikaona ya nini kujitia jakamoyo na mimi natongozwa. Nimejichukulia zangu mzigo loh! Si kwa raha hizi sijui hata nilichelewaga wapi mie!
Nimejiona mjinga kweli yaani baada ya kuchepuka nimekuja kujiona bonge la mjinga kumbembelezaga na kulilia kadudu kake kumbe kabamia hata hajui kitu kumbe!
Sasa hivi tunaenda sawa tu hakuna ugomvi raha tupu, asiponigusa nashukuru, zamani ningeumia. Asiporudi nyumbani naagiza soda nakunywa.
Mama usinipandishe pressure. Ajabu ni pale mtoto unaempenda kwa dhati kabisa anakuwa ndiye sio wako.Hahahaaaa!!!
Kitanda hakizai haramu bwana. Unaanzaje sasa kukagua!!!