Wengine wanafanya mazoezi wasisahau kutongozamimi sifurahii, kuna wanaume yaani unaona anakutongoza ilimradi tu nae aonekane anajua kutongoza. mphewwwwww!!!!
Pia mwanamke kutongozwa suna, na yeye anakuwa anafanya mazoezi ya kudenguadenguaUsimind bana anafanya mazoezi
ukikaa muda mrefu bila kutongoza unasahau ujue....
Hahahaaaaa usimwangushie dadiiii angu Excel hili janga tafadhali shem...
Pia mwanamke kutongozwa suna, na yeye anakuwa anafanya mazoezi ya kudenguadengua
so na wewe huwa una onyesha linyuchi lako?ebu naomba namba yako nimalize kiu yangu...
Kwanini nisioneshe wakati lengo ni kuoneshana
kwahyo unamtetea?? Unawajua silent killer??
heeeee :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13: mwenzake kwenye masuala gani?hahahaaaa! Hawezi kuniripua anajua na mm n mwenzake
nadhani kutongozwa tongozwa hovyo kwa mwanamke kunamuongezea quality katika maisha yake ya kila siku...Habarini wanajamvi! Leo katika pitapita zangu ni kawa napiga story na jamaa yangu akadai kuwa eti HAWEZI KUCHATI NA DEMU BILA KUMTONGOZA either iwe humu Jf au fb, whatsup nk. Swali kwetu wanajamvi inawezekana kuchati bila kufika stage ya kutongoza? Wanawake mnafurahia mkitongozwa tongozwaa? Hebu tufunguke wana MMU wanaume kwa wake! . Karibuni!
btw, kwa jamii za kiafrika, kutongozana kuko ulimini sana tofauti na jamii zilizoendelea ambako mawazo mengi yako after wealth creation. jaribu kufuatilia hili, waswahili wanasema debe tupu haliachi kutika..Evelyn Salt, Husninyo et al, naona wote umechukulia kuchat ni kuongea na watu usiowafahamu tu. Pia kumbukeni kuna kuchat na watu ambao mnajuana kiundani zaidi mtu uliyesoma nae miaka hiyo, ofisi moja, dada na ndugu wengine hapo ni mara chache sana mnatongozana ila kuchat tu kwa kupeana michapo mbalimbali.
wanaacha kufanya mazoezi wapunguze mavitambi yao, wanafanya mazoezi ya matongozo. wanakeraaa.