Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,570
- 171,352
kumbe ndo iko hivyo ngoja nihamiie fb
Ntakutumia friend request...
kumbe ndo iko hivyo ngoja nihamiie fb
Usimind bana anafanya mazoezi
ukikaa muda mrefu bila kutongoza unasahau ujue....
i cant wait for it,karibu sana.Ntakutumia friend request...
Hahahahahaa kimawazo tena....mbona hyo sio mbayaNi stories, pombe kula na toti tu, kweli nyie hamjui ku-read between the knees. Ila at some point, kila mmoja kishamvua mwenzie na kumchakaza vibaya mno, ila ki mawazo mawazo tu.
Sasa we kama mke wa mtu unachat nani ?na unataka nn kama cio kutongozwa,chati na mumeo upendo uongezeke