Vaislay
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,532
- 1,840
hahahhahahaah i lyk thatkawaida inategemea na kuchati kwenu, pia kuchati ni kujali, na baada ya kujaliana kwenye meseji, mmoja wapo ataomba amjali mwenzie kwenye viungo vya uchezeshaji vya kati.
hahahhahahaah i lyk thatkawaida inategemea na kuchati kwenu, pia kuchati ni kujali, na baada ya kujaliana kwenye meseji, mmoja wapo ataomba amjali mwenzie kwenye viungo vya uchezeshaji vya kati.
Kwanini nisioneshe wakati lengo ni kuoneshana
hahahaha madai ananoa kisu hhahaahhamimi sifurahii, kuna wanaume yaani unaona anakutongoza ilimradi tu nae aonekane anajua kutongoza. mphewwwwww!!!!
ukiona mtu anashinda kuchat ujue hana kazi. urafiki tu bila kutongozana inawezekana sana, nina rafiki yangu yuko mkoa mwingine nikienda huwa tunashinda tunakula tunakunywa na kama usiku umeenda sana tunalala lodge kwangu mpaka asubuhi na sijawahi kumtamani, yaani namwona kama ndugu tu! friendship bila sex inawezekana sana.
na mwanzo ni pale , matumizi ya kuchart yanapokuwa over used....mtu ni rafiki tu unamuuliza umevaaje hapo,hebu tuma picha,mtumaji anatafuta poz hatare......mtaacha kutongozana..Lakini inategemea mtu anayechati wengine wanajirahisha tu.
wanalaala tu....hadi asubuhi..huwa mnafanyajeee??hahahha
ukiona mtu anashinda kuchat ujue hana kazi. urafiki tu bila kutongozana inawezekana sana, nina rafiki yangu yuko mkoa mwingine nikienda huwa tunashinda tunakula tunakunywa na kama usiku umeenda sana tunalala lodge kwangu mpaka asubuhi na sijawahi kumtamani, yaani namwona kama ndugu tu! friendship bila sex inawezekana sana.
huwa mnafanyajeee??hahahha
Daa sasa huo si udomo zege mkuu???
Watu nnaojana nao nachat nao tu ila wa fb nisiowajua hapanaEvelyn Salt, Husninyo et al, naona wote umechukulia kuchat ni kuongea na watu usiowafahamu tu. Pia kumbukeni kuna kuchat na watu ambao mnajuana kiundani zaidi mtu uliyesoma nae miaka hiyo, ofisi moja, dada na ndugu wengine hapo ni mara chache sana mnatongozana ila kuchat tu kwa kupeana michapo mbalimbali.
Watu nnaojana nao nachat nao tu ila wa fb nisiowajua hapana
hiyo ngumuHabarini wanajamvi! Leo katika pitapita zangu ni kawa napiga story na jamaa yangu akadai kuwa eti HAWEZI KUCHATI NA DEMU BILA KUMTONGOZA either iwe humu Jf au fb, whatsup nk. Swali kwetu wanajamvi inawezekana kuchati bila kufika stage ya kutongoza? Wanawake mnafurahia mkitongozwa tongozwaa? Hebu tufunguke wana MMU wanaume kwa wake! . Karibuni!
hiyo ngumu