Evelyn Salt
Platinum Member
- Jan 5, 2012
- 78,537
- 171,241
Sipendi kutongozwa hata na mtu nnaempenda sembuse nisiemjua?lakn ww binafs unajiskiaje unapochat na mtu gafla akaanza kukutongoza??
Sipendi kutongozwa hata na mtu nnaempenda sembuse nisiemjua?lakn ww binafs unajiskiaje unapochat na mtu gafla akaanza kukutongoza??
hamna bana sasa utashawishika na ID ngapi??lol achen ubazazi,inakera sanaUnajuwa wakati mwingine ID zinashawishi
Habarini wanajamvi! Leo katika pitapita zangu ni kawa napiga story na jamaa yangu akadai kuwa eti HAWEZI KUCHATI NA DEMU BILA KUMTONGOZA either iwe humu Jf au fb, whatsup nk. Swali kwetu wanajamvi inawezekana kuchati bila kufika stage ya kutongoza? Wanawake mnafurahia mkitongozwa tongozwaa? Hebu tufunguke wana MMU wanaume kwa wake! . Karibuni!
Mwache siku tukiona uzi humu MMU kuna bi dada analalamika kuwa ana bf wake H.n.si tutajua ni yeye. Atalalaje lodge na mwanamke bil kumfanya? Pengine mwenzie ana n.ege si kumtesa huko?
Sipendi kutongozwa hata na mtu nnaempenda sembuse nisiemjua?
Nilimkubali wa block 9 ye hakunitongozayule jamaa wa pale block T inamaana hukupenda alivyokuwa anakupiga saund na mbona ulikubali??? Teh teh teh!
huwa mnafanyajeee??hahahha
kwanza akiskia nakwenda mkoani kwake ni balaa tupu kuanzia ijumaa ni stories, pombe, kula, kuhama viwanja mpaka usiku mrefu (repeat mpaka jumapili) akisema anisindikize kwenda kulala kisha aende kwake tunajikuta tunamimina toti mojamoja inazaa nyingine mpaka hoi hakuna wa kuendesha gari tunalala mpaka asubuhi. she is a long time friend, tunapendana kupitiliza!
Sipendi kutongozwa hata na mtu nnaempenda sembuse nisiemjua?
We differ, mi naenjoy kuingia kwenye mahusiano bila kutongoza wala kutongozwaAta unaempenda hupendi akutongoze haha kwa uelewa wangu mimi hakuna kitu kizuri kama mkiwa kwenye mahusiano alafu mkumbushane enzi mnaaku aprochiana then umtongoze upya,,, haha inaleta hisia upya!! teh teh
si lazima kutongozana .
ila ikija topic ya mambo ya "sex" kwa ujumla .
huwa ni topic refu na yenye utamu na huwa haina mwisho.
maswali mwengi kuliko majibu.
sema ina utamu fulani hivi.
na unajisikia ku relax zaidi ukiwa kwenye hii topic kuliko zingine mfano politics.
si kutongoza bali ku "exchange ideas"...
hata na hivyo kuna ambao hawawezi ku "maintain"hii topic bila kukutongoza,
wa hivyo hawajui utamu wa hii topic "wanaharibu"...
SasaWe differ, mi naenjoy kuingia kwenye mahusiano bila kutongoza wala kutongozwa
mitego tu hadi tunashtukia tumejifunika shuka moja
siku tukianza kubishana nani kamtaka mwenzie acha tu ni kama kitendawili cha kuku na yai
kumbe ndo iko hivyo ngoja nihamiie fbhata kama kutakuwa na mengineyo ila najua mwisho utakuwa ndo huo tu
kaa ni fesibuku basi mtahamia video calling kuoneshana nyuchi tu
Nilimkubali wa block 9 ye hakunitongoza
Sipendi kuchati chati mie
kutwa kutwa kunimiminia mimeseji umekula, umeoga, umelala, umevaa nini hapo
nkikuambia nimevaa khanga bila pichu si ndo mwanzo wa kuomba papuchi
HA HA HA HA KWANI NI VIBAYA KUPEANA Evelyn Salt