Kuchati bila kutongozana inawezekana?

Kuchati bila kutongozana inawezekana?

Habarini wanajamvi!!! Leo katika pitapita zangu ni kawa napiga story na jamaa yangu akadai kuwa eti HAWEZI KUCHATI NA DEMU BILA KUMTONGOZA either iwe humu Jf au fb, whatsup nk. Swali kwetu wanajamvi inawezekana kuchati bila kufika stage ya kutongoza??? Wanawake mnafurahia mkitongozwa tongozwaa??? Hebu tufunguke wana MMU wanaume kwa wake!!!! . Karibuni!!!!!

Lakini inategemea mtu anayechati wengine wanajirahisha tu.
 
Hako kataabia kaliniathiri kipindi flani, nashukuru sasa sina ujinga huo..
 
Hako kataabia kaliniathiri kipindi flani, nashukuru sasa sina ujinga huo..[/QUOT Ilikua adolescence nini??? But all in all big up kwa kunadilika!!!!!
 
Ilikua adolescence nini??? But all in all big up kwa kunadilika!!!!!

wala sio adolescence, na utu uzima wangu, flirting was in me...thank God nimeacha u.pupu huo!!
 
tatizo ni pale unapochat na mtu huku umeweka mawazo kama hayo. sio vibaya wala sio dhambi kumtongoza mtu lakin unayetongozwa una uwezo wa kukataa ama kukubal hapo inategemea sana na hisia kat yenu
 
Wanaume walio wengi wanajisikia raha kutongoza. Anaweza kuwa hana nia yoyote ye mradi atongoze tu. Ukichat na wanaume kumi saba watakutongoza
 
Kuna watu wengine wehuu ukichart nae tu anaona tayari we ndo mpz wake hata kama umeoa au umeolewa huwa najiuliza hvi Halmashauri za vichwa vyao zipo njema kweli?

Unajuwa wakati mwingine ID zinashawishi
 
Hata kama kutakuwa na mengineyo ila najua mwisho utakuwa ndo huo tu
kaa ni fesibuku basi mtahamia video calling kuoneshana nyuchi tu

so na wewe huwa una onyesha linyuchi lako?ebu naomba namba yako nimalize kiu yangu...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom