Kuchapisha Fomu Moja 2025 Kwa mgombea wa CCM, Demokrasia imezingatiwa?

Salaam, Shalom!!

Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.

HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?

Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?

Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.

Karibuni 🙏
Kwani 2020 wakati Watendaji wa Kata na Vijiji wanazikimbia ofisi kuogopa kupokea fomu za wagombea wa upinzani ulikuwa wapi !?? Sio jambo geni hilo
 
Salaam, Shalom!!

Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.

HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?

Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?

Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.

Karibuni 🙏
Demokrasia ya CCM ni nini Mwenyekiti anataka. Kinyume na hapo unawahishwa ukamuimbie Bwana mawinguni
 
Mkuu unaheshimika sana humu JF usifanye misinformation.... 2006 iliandikwa katiba mpya maana chama kilizinduliwa upya (rebranding) 2004. So yalikua maoni mapya kabisa yaliyoandika katiba mpya sio eti ammendments!!

Hili limeshakua clarified na Dr slaa pamoja na Mnyika tokea 2011 na nyuzi zipo humu humu msipotoshe.
Mkuu zitto junior, confirmation kama ni rebranding or amendment inapatikana kwenye the inventory ya Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa pekee na sio kwa mtu mwingine yeyote!.
P
 
Yale sio marekebisho ni katiba mpya, na maoni yalikusanywa chini ya Kamati kabisa ilikua Mwenyekiti Prof. Baregu huku katibu ni John Mnyika.
 
Hiii ni mbaya sana. Kiongozi anaweza honga fedha watu kadahaa iliapite pilakupingwa. Ccm tunataka kila mtu mwenye nia achukue fomu ya urais
Halafu hiki cheo cha makamu kifutwe kabisa kati ya rais na makamu huko mbeleni kutakuwa na kuaminiana.
Hasa viongozi wajao wa rais na makamu makamu anaweza ondolewa kabla ya muhula kuisha
 
Kweli kabisa Cheo Cha Makamo kifutwe, Ili wasaka Urais wasipitie hapo.
 
Salaam, Shalom!!

Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.

HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?

Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?

Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.

Karibuni 🙏
Kwao. Wao hiyo.siyo shida. Shida.ni kwingine tu
 
Unakuta mtu ana mwili mkubwa miraba minne lakini anajishebedua huku akitoa machozi ya mamba na kutangaza kuwa kutakuwa na fomu Moja ya mgombea urais sasa unawaza aliyeupiga mwingi anaogopa Nini?
 
Na Akipewa hiyo fomu anataka ashangiliwe kama vile palikuwa na watu anashindana nao.

Only in CCM!!
 
Mkuu Rabbon , hii ndio demokrasia ya CCM, ni utaratibu wao wa ndani, na hiki ndicho kinachokwenda kutokea 2025, fomu itatolewa moja, ila haitaandikwa jina, Mama Sa100 ataichukua na kumpatia amtakaye kama tulivyo shauri kwenye mada HII

Mpaka sasa nimeishapewa majina ya watu 3 wa 2025
Wa kwa ni mtarajiwa Maza mwnyewe!. Watanzania, tuunge mkono 2025 ni zamu ya Mwanamke, ila sio lazima awe yeye bali yule aliyepangiwa na 'YEYE', kama ni yeye aliyepangiwa, then ni yeye!

Wa pili ni Kama Sauti Hii ni Sauti ya Kweli, Nimeelezwa Mpango Ndio Mpango Mzima!. Swali ni... Akiwa Mkristo, Kwanini ni Lazima Awe Mkatoliki?!

Wa tatu ni Kinyang'anyiro cha Urais 2025 kwa tiketi ya CCM: Dkt Mwinyi kuwania Urais wa Muungano?

P
Huwu utaratibu ndiwo walitumia Kawe kukujeruhi hadi ukapata Kura moja yakujipigia mwenyewe hiyi sio demokrasia hata Mzee Kingunge Ngombali Mwiru alipinga sana wakati JK amemukata Lowassa..Mwisho akaishia nakusema CCM ilikata pumzi kitambo
 
Huwu utaratibu ndiwo walitumia Kawe kukujeruhi hadi ukapata Kura moja yakujipigia mwenyewe hiyi sio demokrasia hata Mzee Kingunge Ngombali Mwiru alipinga sana wakati JK amekukata Lowassa..Mwisho akaishia nakusema CCM ilikata pumzi kitambo
Hapana, utaratibu wa fomu moja ni kwenye urais tuu. Kawe tulikuwa wagombea 176, walioambulia angalau kura moja ni wagombea 50, kuna wagombea 126 hawakuambulia hata kura moja!, hivyo kura moja yangu ni kubwa sana!.https://www.jamiiforums.com/threads/kawe-kunani-why-is-a-hot-cake-wamejitokeza-wagombea-176-what-is-so-special-kuchinja-watu-175-kubaki-1-is-not-a-joke-je-atakuwa-nani.1757524/
P
 
Pamoja na yote, mwisho ni miaka 10!. Chadema katiba original iliweka ukomo wa miaka 10, kwenye marekebisho ya katiba ya Chadema ya mwaka 2006, hicho kipengele kiliyeyushwa na watu 2, huku aliyekuwa Katibu Mkuu, Dr. Wibroad Slaa hajui, wala John Myika hajui!. Angalia michango yao kwenye hoja hii Tuhuma Hii: CHADEMA kendeshwa kwa Katiba "Fake" ikithibitishwa, CHADEMA inaweza kufutwa
P
Hii ya orijino inazidi kujirudia. Unakumbuka tundulissu Mtwara alisema wako laki 9 Wana Wabunge 10 Zanzibar wako laki 9 pia Wana Wabunge 50? Akasema Katiba orijino1962 ilisema Kariakoo iwe Wabunge 70 Singinda mbunge 1 Tabora Wabunge 2.
 
Hapana, utaratibu wa fomu moja ni kwenye urais tuu. Kawe tulikuwa wagombea 176, walioambulia angalau kura moja ni wagombea 50, kuna wagombea 126 hawakuambulia hata kura moja!, hivyo kura moja yangu ni kubwa sana!.https://www.jamiiforums.com/threads/kawe-kunani-why-is-a-hot-cake-wamejitokeza-wagombea-176-what-is-so-special-kuchinja-watu-175-kubaki-1-is-not-a-joke-je-atakuwa-nani.1757524/
P
Mkuu kama kweli urilidhika na matokeo ya Kawe unaonaje huwo utaratibu uingwe ili chaguzi zote benchmark iwe Kawe?? Wewe ni mtu mzima najuwa unajuwa nini ulikiona kwenye chumba cha wajumbe cha chinjachinja.
 
Salaam, Shalom!!

Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.

HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?

Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?

Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.

Karibuni 🙏
Akina Membe na Shibuda walipoonyesha nia mapema walitimiliwa kwenye chama.

CCM kila kitu linafanyiwa kutokana na wakati. Ndiyo maana hawaiheshimu katiba.
 
CCM haijawahi kufiwa na Rais aliye madarakani Hadi useme huo ni Utaratibu au jadi Yao.
 
Salaam, Shalom!!

Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.

HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?

Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?

Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.

Karibuni 🙏
Huu mpango wa kuminya demokrasia ndani ya ccm ndio utaiangusha ccm toka kwenye uongozi wa nchi. Kuna wanaamini ccm hua inashinda eti kwa kuiba kura. Mimi siamini. Mimi ninasmini ccm hua inashinda kwenye boksi la kura. Hawa wenye kutaka kulazimisha mtu hakubaliki ndio watashangaa kuona anakataliwa na wananchi na wabunge wanakosa kura kwa wingi. Samia hakuwahi kuchaguliwa ugombea urais ccm. Acheni wajitokeze wananchi kwa uhuru kuchuana naye ndani ya chama sio kuanza kuwekeana kauzibe ili kumpitisha mtu hakubaliki.
 
Tulimchagua Magu 2015, Mungu akamchukua march 2021.

KATIBA ikampa Sa100 kumaliza muda wa Magu unaoisha 2025.

Na Kwa kuwa hatujawahi kufiwa na Rais aliyekuwa madarakani, na Kwakuwa hatukuwahi kumchagua Samia kupitia mifumo ndani ya chama na kwenye Sanduku la kura kama Rais,

Ni HAKI ya Watanzania kuruhusiwa kuchukua fomu ndani ya CCM Ili wagombea washindanishwe tupate Rais atakayetuvusha.

Mungu na atusimamie katika hili, Nchi yetu kamwe haiwezi kukabidhiwa Kwa wageni tukishihudia.

Rais ikiwa atatoka CCM, CCM itoe mgombea Bora,

Vivyo hivyo upinzani ndani ya chama uruhusiwe Ili utoe wagombea Bora.
 
Back
Top Bottom