Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,391
- 17,117
Kwani 2020 wakati Watendaji wa Kata na Vijiji wanazikimbia ofisi kuogopa kupokea fomu za wagombea wa upinzani ulikuwa wapi !?? Sio jambo geni hiloSalaam, Shalom!!
Jana 2/1/2024, wamesikika viongozi wawili wa chama Cha MAPINDUZI Mzee Kinana na Ndugu Majaliwa Kassim,wakiibua HOJA ya kuzuia wagombea na watia Nia wengine ndani ya chama kutokudiriki kuchukua fomu ya ugombea urais, Kwamba itachapishwa fomu Moja tu Kwa Sa100.
HOFU ya HOJA ya kuchapisha Jina Moja Kwa mgombea wa CCM inatoka wapi ilhali mkt ana kofia mbili?
Hivi ikitokea mgombea huyo ameghairi kugombea, mtarudisha vp mchakato wakati mmeshapiga stop watia Nia wengine?
Tukiendelea na mawazo haya, vyama vya upinzani IPO siku wagombea Urais watazuiwa kuchukua fomu Ili kumrahisishia njia mgombea wa CCM mwenye HOFU ya changamoto ya upinzani ndani na nje ya chama.
Karibuni 🙏