kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 12,310
- 12,607
Kuchamba kwa karatasi ni rahisi sana kwakuwa ni rahisi kutembea kwa urahisi na karatasi/toilet paper au gazeti hata ukiwa safarini, picnic, uwindaji, nk. Makaratasi yanapatika TU lakini maji lazima yawepo mengi ya kuchambia na matumizi mengine.
Hata hivyo faida ya kuchamba na maji ni kubwa kuliko kuchamba kwa karatasi. Anayechamba na karatasi mara zote hawezi kuondosha kwa kiasi kikubwa uchafu na harufu mbaya kwenye njia ya haha kubwa kuliko anayechamba kwa maji.
Anayechamba kwa makaratasi ana uwezokano mkubwa wa kujiambikisaha magonjwa ya fecal-oral(kinyesi) kuliko kuliko maji kwakuwa aliyechamba kwa karatasi akijikitana matakono anaweza kukutana na kiasi kikubwa Cha wadudu kwenye mikono.
Anayechamba kwa makaratasi aatahitaji matayarisho makubwa kama atapata mchepuko kuliko anayetumia majisí