Kuchaguliwa chuo zaidi ya kimoja

mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
4,805
2,000
sawa uko sahihi ingawa sijajua kama uliifuatilia kwa mapana hiyo uct na sijajua kama ulipata washauri au ulijiongeza tu mwenyewe?

Na kingine tena fani ya Ict na law inahitaji kwenu kuwe na pesa za kutosha ukishamaliza degree kuna kozi zingine za kusoma ambazo zinacost milioni kadhaa ili uweze kuajirika,hili unalifahamu?

Kama kwenu ni matajiri hakuna tatizo ni fani nzuri lakini kama ni mtoto wa maskini haikufai
sawa mkuu ila now nataka soma kitu kile nakipenda mana iyo bach ya metrology naweza soma hata baadae tu ..... ila 1st priority yangu ni IS
 
willom10

Member
Apr 14, 2018
89
95
sawa uko sahihi ingawa sijajua kama uliifuatilia kwa mapana hiyo uct na sijajua kama ulipata washauri au ulijiongeza tu mwenyewe?
Na kingine tena fani ya Ict na law inahitaji kwenu kuwe na pesa za kutosha ukishamaliza degree kuna kozi zingine za kusoma ambazo zinacost milioni kadhaa ili uweze kuajirika,hili unalifahamu?
Kama kwenu ni matajiri hakuna tatizo ni fani nzuri lakini kama ni mtoto wa maskini haikufai

Kasome kitu unachopenda, hutajuta hata badae .. go for IS
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
4,805
2,000
hiyo kanuni yako iliwatesa wengi sana.

Kuna watu walisomea kozi za nuclear na wengine petroleum engineering kwa kufuatisha mioyo yao bila kuzingatia mazingira walipo.
Kilichofuata ni maumivu yasiyofahamika mwisho wake lini
Kasome kitu unachopenda .. hutajuta hata badae .. go for IS
 
Mwanakulipata

JF-Expert Member
Jul 17, 2018
388
500
Subiria huko private..ila nikushauri tu system za bongo magumashi. Unaweza ukawa unasubiria huko private mwishowe ikala kwako kote kote.
 
F60-Official

Member
Sep 27, 2020
22
45
Jaman kuna MTU kashacomfrm chuo. Ila wakat anachaguliwa first selection kuna chuo alikosa na ameamua kuomba tena huku tyr kashacomfrm. Hapo inakuaje atapewa jbu huko alkoomba au ataambiwa ashapata admission.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
willom10

Member
Apr 14, 2018
89
95
hiyo kanuni yako iliwatesa wengi sana.
Kuna watu walisomea kozi za nuclear na wengine petroleum engineering kwa kufuatisha mioyo yao bila kuzingatia mazingira walipo.
Kilichofuata ni maumivu yasiyofahamika mwisho wake lini

Wewe jamaa hauko serious ... Hayo mazingira unayosema hapo ..una uhakika yatakuwepo kwa miaka mitatu ijayo ?

Halafu hicho chuo kiko vizuri mambo ya IT .. mwache dogo akasome kitu anachopenda ... Hatajuta
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
4,805
2,000
Wewe jamaa hauko serious ... Hayo mazingira unayosema hapo ..una uhakika yatakuwepo kwa miaka mitatu ijayo ?

Halafu hicho chuo kiko vizuri mambo ya IT .. mwache dogo akasome kitu anachopenda ... Hatajuta
Sijampinga kusoma IT ninachopinga ni hyo kauli yenu ya kwamba kila mtu akasome kwa kufuatisha upendo wa moyo.

Yaani nyinyi mnataka kutuaminisha kwamba kama mtu anapenda kuendesha baiskeli basi ni lazima aende kuisomea fani ya kutengeneza baiskeli hata kama haina soko.
 
willom10

Member
Apr 14, 2018
89
95
Sijampinga kusoma IT ninachopinga ni hyo kauli yenu ya kwamba kila mtu akasome kwa kufuatisha upendo wa moyo.
Yaani nyinyi mnataka kutuaminisha kwamba kama mtu anapenda kuendesha baiskeli basi ni lazima aende kuisomea fani ya kutengeneza baiskeli hata kama haina soko.

Unataka kusema IT haina soko .. ? Mimi nashauri kila mtu asome kitu ambacho anakipenda haijalishi mazingira yapoje ..

LOVE OVER EVERYTHING.
 
mbu wa dengue

JF-Expert Member
Jun 2, 2014
4,805
2,000
sijasema IT haina soko hiyo nilitoa mfano kutokana na comment yako ya kusema mtu asome kitu kinachoufurahisha moyo wake
Unataka kusema IT haina soko .. ? Mimi nashauri kila mtu asome kitu ambacho anakipenda haijalishi mazingira yapoje ..

LOVE OVER EVERYTHING.
 
willom10

Member
Apr 14, 2018
89
95
sijasema IT haina soko hiyo nilitoa mfano kutokana na comment yako ya kusema mtu asome kitu kinachoufurahisha moyo wake

Sio kinachofurahisha moyo wake .. asomee kitu anacho kipenda kutoka moyoni ..

Ukipenda kitu utavumilia kwenye hali zote ( ups and downs ) .

LOVE OVER EVERYTHING
 
Dongmei

Member
Oct 10, 2020
16
45
Sijampinga kusoma IT ninachopinga ni hyo kauli yenu ya kwamba kila mtu akasome kwa kufuatisha upendo wa moyo.
Yaani nyinyi mnataka kutuaminisha kwamba kama mtu anapenda kuendesha baiskeli basi ni lazima aende kuisomea fani ya kutengeneza baiskeli hata kama haina soko.
Cku zote ndoto za mtu zinatokana na nini anapenda kufanya ili ndoto zake zitimie... Ukisema uangalie mazingira yanatak nn utakwama sana... So ni bora akasome anachopenda kwa sababu atakuwa yupo tayari kukabiliana na chochote mbeleni..
 
Nyalikanho

Member
Sep 17, 2017
35
95
@Nyalikanho Nyalikanho tujuze mkuu km umefanikiwa
yes, nilifanya maamuzi ya kutokuconfirm chuo cha ummachochote {cbe/dit} bali nimeamua kusubiria chuo cha private, coz niliongea na staff wa chuo cha private akaniambia nikiconfirm chuo chochote basi ntakuwa nimejitoa direct kwao maana majibu ya tcu yanamchagulia mtu chuo kimoja tu, sasa kama nikiconfirm means nimekubali kwenda soma iko chuo na si chuo kingine chochote.
 
Nyalikanho

Member
Sep 17, 2017
35
95
Sijampinga kusoma IT ninachopinga ni hyo kauli yenu ya kwamba kila mtu akasome kwa kufuatisha upendo wa moyo.

Yaani nyinyi mnataka kutuaminisha kwamba kama mtu anapenda kuendesha baiskeli basi ni lazima aende kuisomea fani ya kutengeneza baiskeli hata kama haina soko.
bro labda nimalize mjadala kwann nmependa kusoma IS/IT?
DIPLOMA nimesoma mechanical DIT, Ila computer nilikuwa naielewa tangu mwanzo nasoma mecha, so baada ya kumaliza nimeona stage ya bachelor ndo mda sahihi wa kusoma nnachokipenda.. mazingira ya kusoma unachokipenda ukiwa unataka kusoma diploma ni magumu kutambua maana kuna ugumu kujua kiundani kuhusu tech za idara fulani coz ya kuwa new comer from school ila degree ni rahisi maana unakuwa unajua mbivu na mbichi kupitia experience ya diploma...
 
MANJIS

JF-Expert Member
Sep 1, 2020
377
500
yes, nilifanya maamuzi ya kutokuconfirm chuo cha ummachochote {cbe/dit} bali nimeamua kusubiria chuo cha private, coz niliongea na staff wa chuo cha private akaniambia nikiconfirm chuo chochote basi ntakuwa nimejitoa direct kwao maana majibu ya tcu yanamchagulia mtu chuo kimoja tu, sasa kama nikiconfirm means nimekubali kwenda soma iko chuo na si chuo kingine chochote.
vizuri mkuu so cha private tayari ushaconfirm huko or napo bado
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom