mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 7,658
- 9,762
Sawa kwa vile umeweka wazi hobby yako hapo sawa sina maneno.bro labda nimalize mjadala kwann nmependa kusoma IS/IT?
DIPLOMA nimesoma mechanical DIT, Ila computer nilikuwa naielewa tangu mwanzo nasoma mecha, so baada ya kumaliza nimeona stage ya bachelor ndo mda sahihi wa kusoma nnachokipenda.. mazingira ya kusoma unachokipenda ukiwa unataka kusoma diploma ni magumu kutambua maana kuna ugumu kujua kiundani kuhusu tech za idara fulani coz ya kuwa new comer from school ila degree ni rahisi maana unakuwa unajua mbivu na mbichi kupitia experience ya diploma...
Maana fani ya mechanical kuna baadhi ya watu hawaipendi ila ndio fani rahisi kutoboa kuliko zote.
Hata mimi ndio nilisomea hiyo mechanical yaani imenisaidia sana.
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app