kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,712
itabidi wale jamaa wa bakita wapitishe na uwe msamiati rasm wa kiswahili:biggrin:Kadoda hii wengi sana halafu imeishakuwa kawaida...anakwambia..naenda sheli kuweka mafuta
itabidi wale jamaa wa bakita wapitishe na uwe msamiati rasm wa kiswahili:biggrin:Kadoda hii wengi sana halafu imeishakuwa kawaida...anakwambia..naenda sheli kuweka mafuta
Hahahaha!!! Hii utotoni tuliisema sana, ila hadi sasa kuna watu wazima bado hawawezi kusema rubber-band wanasema balabendi..lolRubberband-balabendi
hii ni lazima wote mshawahi kusema.
Hii ya kawaida na muda kidogo itaingia katika kamusifilling station/fueling station=shell
Daraja la Selander Bridge
Khaaaa...nilifikiri umeniletea lunch..yaani wewe dada yangu kwa kunitosa tu haujambo..lolSina hata la kuchangia,nimepita nikusalimie tu mkuu....mchana mwema!
Kivuko cha Kigamboni FerryHahaha! Daraja na bridge hapo hapo.
safari=safwariCastle=Castro
Heineken=Henken
Windhoek=Winduku
Grants=Glanti
FACEBOOK=FESIBUKU
TF hutulii? umeanza makeke yako hapa,lol!Khaaaa...nilifikiri umeniletea lunch..yaani wewe dada yangu kwa kunitosa tu haujambo..lol
Khaaaa...nilifikiri umeniletea lunch..yaani wewe dada yangu kwa kunitosa tu haujambo..lol
TF hutulii? umeanza makeke yako hapa,lol!
Kazamia manake ndo zake!We nae? umealikwa hapa?
umepokea samasi ya kukufahamisha kuwa una kesi
Hahahaha!! Bath-dei...Birthday - Bathdei
Majukumu dada si unajua wifi yako kajifungua mtoto wa 12 kwahiyo ndani hakukaliki kabisa...lolUmenitupa hata sitaki kusema,tena leo nimepika makande nilitaka kupitisha hotpot huko ila ulivyonisusa imebidi niwe mdogo ka piriton!
Hahahaha!! Bath-dei...
Muhimu muhimu upendo wa wadada wanizunguka...:eyebrows:TF hutulii? umeanza makeke yako hapa,lol!