Ndivyo nnavyojua dearest. . . na mimi niliambiwa ntakua na mkaka mmoja pia. Usikute. . . . . . . . dah ngoja niulize vizuri.
I know language is not your strong suit so I'll cut you some slack!
We dearest utavivukaje siku ya mkutano? Subiri kesho.Changamka, leo ni siku yangu ya kuvivuka sitaki hata kuongea kwa sauti....lol
ball possession = ball position/pozishen!!
Kuna hii nyingine huwa siielewi hivi,
Kanga moja mbendembende au kanga moja ndembendembe.
Nachukia hii. . .
Eti mtu anasema kabisa 'embu nidipu'. . .
hebu....... embu...............
ama vinginevyo.............. kama vipi...........
achana naye/mpuuze............ mpotezee...........
We dearest utavivukaje siku ya mkutano? Subiri kesho.
Nimeambiwa mmoja atakuwepo wakati wanaingia (kuwakaribisha) na mwingine wakati wakitoka (kuwaaga). Mi ntawakaribisha.. . . .
What is then?
Ngoja nikalale zangu,tutaonana mkutanoni huko.....!!
Fussing
Sufuria = Safulia
Gloves = Glops
Shock absorber= shoka mzobaWabongo tuna kazi kwenye kutamka na kuyaandika haya maneno...
1. SIDE MIRRORS = Sight Mirrors, Site Mirror
2. HELMET = Element, Elementi, Elmet
3. FIRE EXTINGUISHER = Fire Tigisher
4. RAV 4 = Rava 4
5. AC = IC
6. MAYFAIR = MAIFEA
7. BLACKBERRY = Blackaberry, Blackbel
8. VITZ = Vitis
9. Redds = Redis