Kubwa Kuliko...!

Kubwa Kuliko...!

Halafu kwenye kadamnasi, tena hana wasi wasi.

Birthday - besdei/hepi basdei yake
Hivi huwa inakuwa ngumu kusema ni beep....hahaha..nidipu iko siku mtu atasema dripu
 
Kwa Arusha mtu akikwambia nina allergy na kitu flani, anakua anamaanisha nina addiction na hiyo kitu

alleji = addiction
 
kwenye daladala je? utamskia konda ''dada ajasti hapo'

adjust = ajasti, ama jasti

nikamwambia awe 'take care' akimaanisha awe careful
 
Kuna driver mmoja aliwahi kunambia eti nitrafutie barua ya leave = draft
 
Kiinglish baba, usifanye maskhara!

Nimekumiss - nimekumisplace
Wananidiskasheni - wananidiscuss...utajiju
Hahaha! Eti wananidiskasheni...khaa. Kweli ki english kina wenyewe.
 
Back
Top Bottom