Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 554
- 1,705
Hakuna uchawi wala nini. Kamari ni uraibu sawa tu na punyeto, kokeini na sigara; na unaathiri mfumo wa dopamine sawa tu na uraibu mwingine. Ndiyo maana ukizama huko kuchomoka ni shughuli pevu.Bila shaka waendesha kamari hutumia uchawi/majini kupumbaza wateja wao (wakamaria).
Hii ngumu kumeza bwasheeHivi nikuulize mtaalam, lets say 1.2, ukiweka 10,000 unapata faida 10,000+(10,000×0.2) kwanini ukikosa upoteze 10,000? Kwanini fomula ile ile ya kupata haitumiki kwenye kukosa? 10,000-(10,000×0.2)?
Na roho ni nini?kamari ni roho ya umaskin
Hapo ulizingua bora hata ungenunua mitetea mitatu ya tenkuna siku niliweka 30000 kwenye odd 2 nikasema hii nikipigwa sibeti tena maisha yangu yote
Nguv au uhai uliop kwenye kiumbNa roho ni nini?
Umejuaje ndio roho ?Nguv au uhai uliop kwenye kiumb
Bwashee umesha lewa,rudi home.Umejuaje ndio roho ?
Kwa sababu roho haionekan ni kama vile wanavyosema roho za mababUmejuaje ndio roho ?
Wewe umejuajeKwa sababu roho haionekan ni kama vile wanavyosema roho za mabab
Bwashee, siku hizi silewi nimebanwa 😀Bwashee umesha lewa,rudi home.
Acha nikuache maana ushaa vichaji vya kwako huk ulipoWewe umejuaje
Umejuaje hiyo roho, usitoroke swali.Acha nikuache maana ushaa vichaji vya kwako huk ulipo
Shubamiit. HahahaHii ngumu kumeza bwashee View attachment 3599367