Kubenea ndiye mwanaCHADEMA pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe

SI Uandikage kwa chiswahili tu.
Sanduku linaongea vipi! Kuwa mkweli

Mmemfanyia hujuma Mzee sumaye, now it seems you will pay it

Vijana wa Mbowe wametoka kinondoni wameweka kambi kibaha for the aim kummaliza sumaye kisiasa

Wamefanya uhuni hotelin Mzee hajui kinachoendelea! Is this fair?

Mafiosoo Mbowe his time is over, Cecilia mwamba is our best candidate

Tutamtoa tu ofisni hatutaogopa wale vijana wake wa kinondoni,

Trust me huu Uchaguzi tutazipiga for the sake of democracy and end up dictatorship in Chadema

Cecilia mwamba is going to make upset down

This time your finished
 
Walishindwa kuivunja CHADEMA kina
1 Slaa katibu mkuu
2 Walid Kaborou katibu mkuu
3 Zitto Naibu katibu mkuu
4 Said Arfi makamu mwenyekiti
Aje aweze kubenea ambaye asilimia 99 ya wanachadema hawajui kama nae ni mwanachama !!!

Acheni kuvutia bangi makalioni nyinyi Lumumba.
Na David Maphone

Kubenea ndie mwanachadema pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe, amefika mbali na kuunda kundi ndani ya Chama ila bado hashughulikiwi. Zitto alipounda kundi lake na kina Kitila walifukuzwa huku wakitazamwa usoni.

Huyu alishapanga kumdhuru Mayor wa Ubungo kisa yupo karibu na Mbowe na maongezi yakavuja ila bado mamlaka ndani ya Chadema yanaogopa kumshughulikia. Kubenea kupitia gazeti lake aliujulisha Umma Ben Saanane yupo hai na anaonekana akiwa na maana Mbowe kamficha ili kufanyia propaganda, bado chadema hawakumshughulikia.

Leo Kubenea anahusishwa na kila rafu ndani ya chama lakini ni ngumu sana kushughulikiwa. Sababu ni Moja tuu, Kubenea anafahamu uchafu wote wa Mbowe na njia zote za hadharani na gizani wanazotumia kuwanyamazisha wasiokubaliana nao. Maana yake kajilinda sawasawa na akifanyiwa rafu anao uwezo wa kuivunja Chadema ndani ya masaa mawili tuu.

Huyu ndie Kubenea asiyependwa ila wanaogopa kumgusa.

View attachment 1282541
 
Nakumbuka kubenea alitumika sana na Mbowe wakati wa kumchafua Lowasa na viongozi wengine kupitia gazeti lake la mwana halisi.

Kwa hiyo kusema kubenea anajua in and out za Mbowe ni sahihi kabisa.
  • Kubenea bado sana hata ubunge alibebwa hivi mnajua nguvu ya Mbowe au mnasikia tu, imagine kumchukua lowasa na kuguombea Uraisi kupitia muungano wa upinzani
 
Mbowe hana haja ya kumfanya chochote!

Atakutana na sanduku kama lilivyomkuta Mzee Sumaye!

Mbowe a relax tu!

Uzuri wa Chadema sanduku linaongea mamaeeeeee!

Yanini kumfukuza wakati sanduku litamtoa hapo alipo na atakua nobody with no cheo anywhere?

Wait and see!
Hahahaha
 
Chadema ya sasa haina watu wenye akili ya kuwa contain Kubenea, Komu, Selasini, Bananga n.k achilia mbali Mnyika aliyeamua kukaa kimya.

Hakuna strategists kama enzi walipowatuliza Zitto na kundi lake. Waombe busara zitumike kuokoa upinzani
 
Mwenyekiti Kanda ya Nyasa Mh. Msigwa mbunge wa CHADEMA hapa anasema wazi kuwa wabunge wa CHADEMA wana uhuru wa kutoa maoni siyo kama wale wa CCM ambao hawaruhusiwi kusema maoni yao kwa kuogopa kumuudhi au kuonekana hawaungi juhudi. Wabunge wa CHADEMA ni watu-huru na CHADEMA inaamini ktk dhana nzima ya watu-huru kutoa maoni.
 
Na David Maphone

Kubenea ndie mwanachadema pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe, amefika mbali na kuunda kundi ndani ya Chama ila bado hashughulikiwi. Zitto alipounda kundi lake na kina Kitila walifukuzwa huku wakitazamwa usoni.

Huyu alishapanga kumdhuru Mayor wa Ubungo kisa yupo karibu na Mbowe na maongezi yakavuja ila bado mamlaka ndani ya Chadema yanaogopa kumshughulikia. Kubenea kupitia gazeti lake aliujulisha Umma Ben Saanane yupo hai na anaonekana akiwa na maana Mbowe kamficha ili kufanyia propaganda, bado chadema hawakumshughulikia.

Leo Kubenea anahusishwa na kila rafu ndani ya chama lakini ni ngumu sana kushughulikiwa. Sababu ni Moja tuu, Kubenea anafahamu uchafu wote wa Mbowe na njia zote za hadharani na gizani wanazotumia kuwanyamazisha wasiokubaliana nao. Maana yake kajilinda sawasawa na akifanyiwa rafu anao uwezo wa kuivunja Chadema ndani ya masaa mawili tuu.

Huyu ndie Kubenea asiyependwa ila wanaogopa kumgusa.

View attachment 1282541
Huyu jamaa yuko mbioni kuunga mkono juhudi.

Muda ni rafiki mzuri.
 
Mfano mwingine ktk mingi ya watu-huru ambao ni wabunge wa CHADEMA ni Mh. Mbilinyi mbunge wa Mbeya Mjini. Wabunge wa CHADEMA ni tofauti na wabunge wa CCM ambao tunaweza kuwaita ni 'mateka wa kisiasa' maana hawaruhusiwi kusema maoni yao kwa uhuru.

Julai 28 , 2018
MHE JOSEPH MBILINYI (SUGU) AKIWASHA MOTO MBELE YA MAKAMU WA RAIS MAMA SAMIA SULUHU
 
Kura ndio itaamua sio ngumi.Kubenea Ajiandae kushinda na kushindwa.Ndio demokrasia
Sanduku linaongea vipi! Kuwa mkweli

Mmemfanyia hujuma Mzee sumaye, now it seems you will pay it

Vijana wa Mbowe wametoka kinondoni wameweka kambi kibaha for the aim kummaliza sumaye kisiasa

Wamefanya uhuni hotelin Mzee hajui kinachoendelea! Is this fair?

Mafiosoo Mbowe his time is over, Cecilia mwamba is our best candidate

Tutamtoa tu ofisni hatutaogopa wale vijana wake wa kinondoni,

Trust me huu Uchaguzi tutazipiga for the sake of democracy and end up dictatorship in Chadema

Cecilia mwamba is going to make upset down

This time your finished
 
Kwa hyo kubenea ni sawa na yule jamaa " niguse, ninuke?"
Na David Maphone

Kubenea ndie mwanachadema pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe, amefika mbali na kuunda kundi ndani ya Chama ila bado hashughulikiwi. Zitto alipounda kundi lake na kina Kitila walifukuzwa huku wakitazamwa usoni.

Huyu alishapanga kumdhuru Mayor wa Ubungo kisa yupo karibu na Mbowe na maongezi yakavuja ila bado mamlaka ndani ya Chadema yanaogopa kumshughulikia. Kubenea kupitia gazeti lake aliujulisha Umma Ben Saanane yupo hai na anaonekana akiwa na maana Mbowe kamficha ili kufanyia propaganda, bado chadema hawakumshughulikia.

Leo Kubenea anahusishwa na kila rafu ndani ya chama lakini ni ngumu sana kushughulikiwa. Sababu ni Moja tuu, Kubenea anafahamu uchafu wote wa Mbowe na njia zote za hadharani na gizani wanazotumia kuwanyamazisha wasiokubaliana nao. Maana yake kajilinda sawasawa na akifanyiwa rafu anao uwezo wa kuivunja Chadema ndani ya masaa mawili tuu.

Huyu ndie Kubenea asiyependwa ila wanaogopa kumgusa.

View attachment 1282541
 
26 Nov 2019
Chama cha mapinduzi CCM Kimetoa Onyo Kwa Baadhi Ya Wabunge Na Wawakilishi Wa Majimbo Wenye Migogoro Na Mifarakano Inayo Pelekea Kuto Kushirikiana Katika Utendaji Wa Kazi Zao.

Onyo Hilo Limetolewa Na Katibu Mkuu Wa Chama Hicho Dkt. Bashiru Ally Kakurwa Alipo Kuwa Akizungumza Na Wazee Wa Chama Cha Mapinduzi CCM Katika Ofisi Kuu Za Chama Hicho Kiswandui Zanzibar. Amesema Mbunge Na Mwakilishi Wa Chama Kimoja Kuwa Na Migogoro Jambo Hilo Halikubaliki Na Wanapoteza Sifa za Kuwa Viongozi Hivyo Ameahidi Kukutana Na Wabunge Na Wawakilishi Wote Wa CCM Zanzibar Ili Kuwakumbusha Wajibu Wao.
 
Sanduku linaongea vipi! Kuwa mkweli

Mmemfanyia hujuma Mzee sumaye, now it seems you will pay it

Vijana wa Mbowe wametoka kinondoni wameweka kambi kibaha for the aim kummaliza sumaye kisiasa

Wamefanya uhuni hotelin Mzee hajui kinachoendelea! Is this fair?

Mafiosoo Mbowe his time is over, Cecilia mwamba is our best candidate

Tutamtoa tu ofisni hatutaogopa wale vijana wake wa kinondoni,

Trust me huu Uchaguzi tutazipiga for the sake of democracy and end up dictatorship in Chadema

Cecilia mwamba is going to make upset down

This time your finished
Kama unaona nihujuma basi zilianzia huko ccm ndiko mlikomfanyia na kukimbia na kukimbia huku ati apewe cheo chá uanachama WA juu.
 
Back
Top Bottom