Kubenea ndiye mwanaCHADEMA pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe

Nakumbuka kubenea alitumika sana na Mbowe wakati wa kumchafua Lowasa na viongozi wengine kupitia gazeti lake la mwana halisi.

Kwa hiyo kusema kubenea anajua in and out za Mbowe ni sahihi kabisa.
Kwa sasa ameshanunuliwa na chama chenu cha manunuzi
 
Chama cha siasa kama CCM kisicho na wabunge machachari huru a.k.a backbenchers ni kimekuwa mateka wa serikali ya CCM yenye kikundi cha watu wachache ngazi ya uwaziri wanaoamua kama baraza la mawaziri.

CCM ni chama dola siyo chama cha siasa, chama dola kilichofubaa kisiasa na ki-mfu, maana ndani ya CCM wabunge wake hawawezi kuja na hoja kupinga bajeti kwa kutoa shilingi au kuleta mawazo mbadala kukizindua chama hiki kikongwe toka usingizini ikiwa serikali yake imekosea.

Mfano sera ya kukuza maendeleo ya vitu bila kuhusisha maendeleo ya watu, tunge tegemea kusikia walau wabunge wachache wa CCM kuikuimbusha serikali kuwa imekosea. Na ndiyo maana ya Maendeleo hayana Chama.

Wabunge wote wa CCM wamekuwa mabubu kwa kukaa kimya wakati wanaona maendeleo ya watu wamesitishwa ili kupisha maendeleo ya vitu kama ndege, SGR Reli, flyovers n.k Hii inadhihirisha wabunge wa CCM ni waoga.
 
Na David Maphone

Kubenea ndie mwanachadema pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe, amefika mbali na kuunda kundi ndani ya Chama ila bado hashughulikiwi. Zitto alipounda kundi lake na kina Kitila walifukuzwa huku wakitazamwa usoni.

Huyu alishapanga kumdhuru Mayor wa Ubungo kisa yupo karibu na Mbowe na maongezi yakavuja ila bado mamlaka ndani ya Chadema yanaogopa kumshughulikia. Kubenea kupitia gazeti lake aliujulisha Umma Ben Saanane yupo hai na anaonekana akiwa na maana Mbowe kamficha ili kufanyia propaganda, bado chadema hawakumshughulikia.

Leo Kubenea anahusishwa na kila rafu ndani ya chama lakini ni ngumu sana kushughulikiwa. Sababu ni Moja tuu, Kubenea anafahamu uchafu wote wa Mbowe na njia zote za hadharani na gizani wanazotumia kuwanyamazisha wasiokubaliana nao. Maana yake kajilinda sawasawa na akifanyiwa rafu anao uwezo wa kuivunja Chadema ndani ya masaa mawili tuu.

Huyu ndie Kubenea asiyependwa ila wanaogopa kumgusa.

View attachment 1282541
Propaganda.zingine za kijinga kabisa, Kubenea unamlinganisha na ZZK? Kubenea ni akili ndogo sana
 
Sanduku linaongea vipi! Kuwa mkweli

Mmemfanyia hujuma Mzee sumaye, now it seems you will pay it

Vijana wa Mbowe wametoka kinondoni wameweka kambi kibaha for the aim kummaliza sumaye kisiasa

Wamefanya uhuni hotelin Mzee hajui kinachoendelea! Is this fair?

Mafiosoo Mbowe his time is over, Cecilia mwamba is our best candidate

Tutamtoa tu ofisni hatutaogopa wale vijana wake wa kinondoni,

Trust me huu Uchaguzi tutazipiga for the sake of democracy and end up dictatorship in Chadema

Cecilia mwamba is going to make upset down

This time your finished
Big up mkuu umeongea kwa hisia kuu.
Watu wanachezea sana nchi hii.
CCM waliichezea kwa sababu ya Ukongwe na wakati huo.
Pia CCM imewachezea watanzania lwa sababu ya nguvu ya Dola inayoliongoza.

Sasa kuruhusu tena nchi hii kuwa na chama Kingine mbadala kibovu kuliko CCM ni jambo lisilokubalika potote.

Mbowe sio tuu anapaswa kupingwa Bali kupigwa vita vya aina zote na kufurushwa nje ya ukumbi kwa kuzomewa na kukataliwa kabisa.

Kama Wajumbe wote wa mkutano mkuu Chadema wataruhusu dikteta kuongoza Chama basi ni dhahiri kuwa wamebariki Nchi yetu kuachana na Demokrasia.

Mwaka 2015 Chadema Chini ya Mbowe imetutoa kwenye agenda ya Ifisada kibabe na kwa ubabe wa Mbowe asiyeshaurika.
Sasa Mwaka huu tena ubabe wa Mbowe na genge lake wanataka kututoa kwenye agenda ya kupigania Demokrasia kibabe tena. Mbowe akirudi tena kama Mwenyekiti wa Chama tutawaambia nini Watanzania kuhusu kupigania Demokrasia na kupinga Udikteta .

Patakua na umuhimu gani wa kufanya Chaguzi za Kidemokrasia na kuweka ukomo wa Uongozi?
Kumbe basi ukomo utakua hauna maana kama anayetawala au kuongoza atakua ni kiboko wa jambo fulani. Yani tusema JPM ni kiboko wa Mafisadi na kiboko ya wapinzani wa CCM basi atawale mpaka atakapoamua kuondoka mwenyewe.

Demokrasia itakua haina maana kama kiongozi anaamua mwenyewe muda wa kukaa madarakani kupitia mgongo wa Demokrasia inayosimamiwa na wale aliowateua.

Hivi Mbowe haoni kuwa hana tofauti na Rais aliyeko madarakani anayeteua tume ya uchaguzi halafu anagombea bila ukomo?

Mbowe hajui kuwa Tanzania kama Rais asingekua na ukomo asingekuja kushindwa kwenye uchaguzi.
Busara ya Ukomo kwenye Uongozi iliwekwa na Baba wa Taifa baada ya kuona madhara yake katika kupigania Demokrasia. Hii ni ndani na nje ya Chama na Vyama vyote.

Mbowe mwenye anajua kabisa kuwa Kwa sheria na katiba ya nchi yetu Chama kinachotawala kina nguvu kubwa sana kuliko viongozi wa Serikali.

Sasa Mbowe asipoheshimu Demokrasia ya Chama tujue wazi kabisa kuwa endapo Chadema itashinda tutakua na mihimili Minne ya nchi inayoongozwa na wakuu wake wananne. Yani Bunge, Chama , Serikali na mahakama. Chama kisichokua na Demokrasia hakitakua na maelekezo ya kidemokrsia kwa serikali yake hasa kutokana na kuwa na Mwenyekiti ambaye ni tofauti na Rais. Matokeo yake ataliingiza Taifa katika mgogoro mkubwa baina vya Mwenyekiti wa Chama Dikteta na Amiri Jeshi Mkuu mwenye Demokrasia.

Kama Chadema watashupaza Shingo zao na kuona kuwa wanamkomoa JPM na kumchagua Mbowe basi tujue tunatengeneza siasa za kitoto kabisa ndani ya Chadema.

Ingekua Mwenyekiti anapokaa muda mrefu kwenye Uongozi wa chama ndio kukua na kukijenga Chama basi UDP na Cheyo kingekua ndicho chama Tawala.
 
CCM haiwezi kuomba kura, CCM kushindwa uchaguzi ni kuvunja katiba - Yaliyojiri ktk ziara ya Katibu Mkuu wa CCM Dr. Bashiru

28 Nov 2019

Katibu mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM DKT BASHIRU ALI, Ameahidi Kuto kushindwa Katika Uchaguzi Mkuu 2020 Kwa Upande Wa Zanzibar Na Ule Wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania.

Ameyasema Hayo Wakati Wa Akifanya Uzinduzi Wa Magharib Ya Kijana Khafla Iliyo Fanyika Katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere Visiwani Zanzibar. Bashiru Amesema Kwani CCM Sio Chama Cha Uchaguzi, Bali Wanashinda Kwa Kufanya Kazi Na Kutimiza Ahadi Na Sio Kufanya Porojo. Mapema Akimkaribisha Katibu Mkuu Wa CCM, Kwa Niaba Ya Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar Mzee Kombo Hassan Juma Amesema Kuwa Zoezi La Uzinduzi Wa Mikoa Ya Kijani Tayari Imeonesha Matokeo Makubwa Ikiwemo Katika Uchaguzi Wa Serikali za Mitaa Ulio Fanyika Bara Mwaka Huu. Karibu Kuangalia Video Hii, Kisha Subscribe, Like Na Share, Kwa Kupata Habari Zaidi.
 
Mbowe ni Mafia

Ku survive chini ya ficm na tena kama mpinzani...lazima uwe na roho kama ya wale Mafia..

'lionhearted...never give up...one day yes

kinyume na hapo mafisiem wanakumaliza...badala ya wao kumalizwa

u hit me...we hit u
 
https://www.jamiiforums.com › ccm...
CCM kukosa kuwa na wabunge matata (backbenchers)ni ... - JamiiForums


May 1, 2019
Mbeya, Tanzania
CCM kukosa kuwa na wabunge matata (backbenchers)ni hasara kisiasa, kijamii, Kisera na Kiuchumi kwa Tanzania
Katika mfumo wa Chama Cha Mapinduzi kukosekana kwa wabunge matata yaani backbenchers waliopo ndani ya CCM ni pigo kubwa kwa chama hicho kikongwe. Wote tunafuatilia hoja na michango ya wabunge wa CCM bungeni na kuona kukosekana mvuto wa hoja za wabunge hawa wa CCM kwa watanzania wanaofuatilia vikao vya bunge mjini Dodoma. Hili halikutokea kwa bahati mbaya ila mfumo wa chama hicho kongwe ni wabunge wote CCM muda wote kukubalina kwa asilimia 100% hoja zote zinazofikishwa bungeni na serikali yao ya CCM iliyopo madrakani.

Kuna masuala mengi yaliyohitaji wabunge matata (backbenchers) wa CCM kupinga Kikokotoo cha fao la kujitoa katika mifuko ya kijamii ya wafanyakazi ktk NSSF. Suala la soko la Korosho kuvurugwa, ununuzi wa ndege za ATCL , ujenzi wa Airport za kimataifa mpya Tanzania n.k wabunge matata wa CCM walitakiwa waungane na wabunge wa upinzani kutetea watanzania wanyonge.

Sasa tumwangalie mbunge matata ni nani kisifa. Mbunge backbencher ni yule ambaye hana nafasi ya kiuongozi (waziri) ktk serikali au waziri kivuli katika kambi ya upinzani. Au kwa lugha nyingine Backbencher katika vyama vya siasa twaweza kusema ni wabunge wa kawaida ndani ya Bunge.

Hii dhana ya wabunge backbenchers ilitambuliwa kwa mara ya kwanza nchini Uingereza mwaka 1885 ikiwa na maana ni wale wabunge wote wasio na nyadhifa ndani ya serikali (uwaziri) wala uwaziri kivuli katika kambi ya upinzani.

Mara nyingi mbunge backbencher anaweza kuwa ni mbunge mpya aliyechaguliwa kwa mara ya kwanza au wale wabunge waliopoteza nafasi za uwaziri katika serikali iliyopo madarakani. Mfano katika Bunge la Tanzania Prof. Sospeter Muhongo aliyewahi kuwa waziri katika seriakli ya wamu ya tano lakini akatumbuliwa na kubakia kuwa mbunge wa kawaida.

Ndani ya CCM wabunge ambao hawajakamilika barabara kuwa backbenchers wa kweli ni Mbunge Husesein Bashe na Nape Nnauye ambao kujaribu kufurukuta kuonekana kana kwamba hawakubaliani na malengo yote ya chama chao Chama Cha Mapindunzi CCM. Wabunge backbenchers pamoja na kelele zao huwa hawana ushawishi wa kugeuza sera na malengo ya vyama vyao.

Hata hivyo wabunge matata (backbenchers) mara nyingi wana uwezo wa kuwakilisha matamanio ya wapiga kura wa majimbo yao Bungeni mfano Nape Moses Nnauye na suala la Korosho kusini mwa Tanzania. Pia wabunge matata (backbenchers) kwa kiasi Fulani wanaweza kuizindua serikali ya chama chao tawala pale inakuja na sera mbovu kama za soko la Korosho au utaifishwaji wa mfuko wa maendeleo ya Korosho.

Kutokana na hilo nchi yetu imekuwa na udhaifu mkubwa katika mfumo mzima wa kuibana serikali imapoleta hoja ambazo hazina manufaa kwa mwananchi wa kawaida Bungeni na kuwatupia lawama wabunge wa upinzani. Ki-uhalisia upinzani una dhana pana ikianzia ndani ya chama tawala kupitia wabunge matata (backbenchers) kwelikweli siyo uchwara, wabunge wa upinzani, taasisi zisizo za kiserikali, mitandao ya kijamii , vyama vya wafanyakazi na wakulima huru, vyama vya kitaaluma na wananchi wote kupaza sauti zao uiamsha serikali pale inapofanya mambo yasiyo sawa.
 
Na David Maphone

Kubenea ndie mwanachadema pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe, amefika mbali na kuunda kundi ndani ya Chama ila bado hashughulikiwi. Zitto alipounda kundi lake na kina Kitila walifukuzwa huku wakitazamwa usoni.

Huyu alishapanga kumdhuru Mayor wa Ubungo kisa yupo karibu na Mbowe na maongezi yakavuja ila bado mamlaka ndani ya Chadema yanaogopa kumshughulikia. Kubenea kupitia gazeti lake aliujulisha Umma Ben Saanane yupo hai na anaonekana akiwa na maana Mbowe kamficha ili kufanyia propaganda, bado chadema hawakumshughulikia.

Leo Kubenea anahusishwa na kila rafu ndani ya chama lakini ni ngumu sana kushughulikiwa. Sababu ni Moja tuu, Kubenea anafahamu uchafu wote wa Mbowe na njia zote za hadharani na gizani wanazotumia kuwanyamazisha wasiokubaliana nao. Maana yake kajilinda sawasawa na akifanyiwa rafu anao uwezo wa kuivunja Chadema ndani ya masaa mawili tuu.

Huyu ndie Kubenea asiyependwa ila wanaogopa kumgusa.

View attachment 1282541
Huu hana lolote ni mwepesi kama bahasha
 
Mbowe akimgusa Kubenea patachimbika, Kubenea atawataja wote waliohusika kumpiga risasi Tundu Lisu na kumpoteza Ben Saanane,.
Waliompoteza Ben SAA 8 na kumpiga lisu risasi ole wenu siku scripts hiyo itakapoandikiwa na kuchezwa kama movi wengi mtaaibika. Hasa wale waliopanga uovu huu macho ya Mungu yapo na yakiona na yanaona siku zote.

Kwa mujibu wa Lissu walionishambulia wanajulikana na iko siku ikifika nitawataja
 
Mbowe hana haja ya kumfanya chochote!

Atakutana na sanduku kama lilivyomkuta Mzee Sumaye!

Mbowe a relax tu!

Uzuri wa Chadema sanduku linaongea mamaeeeeee!

Yanini kumfukuza wakati sanduku litamtoa hapo alipo na atakua nobody with no cheo anywhere?

Wait and see!
Anataka afukuzwe kama kina Shonza ili awe na soko ccm. Sasa ni ballot box tuu itakuwa inaongea nao
 
Ogopa chama kinachofuata katiba yake vizuri na kinachohamini kupata uongozi kupitia debe kinaachia wanachama ndio wahamuwe sio kukata majina yao kabula hawajapigiwa kura.Sasa kama ni majungu utaanzia wapi kufuta chama hicho
 
Back
Top Bottom