Kubenea ndiye mwanaCHADEMA pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe

Dunia yakoo

Senior Member
Nov 23, 2019
139
214
Na David Maphone

Kubenea ndie mwanachadema pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe, amefika mbali na kuunda kundi ndani ya Chama ila bado hashughulikiwi. Zitto alipounda kundi lake na kina Kitila walifukuzwa huku wakitazamwa usoni.

Huyu alishapanga kumdhuru Mayor wa Ubungo kisa yupo karibu na Mbowe na maongezi yakavuja ila bado mamlaka ndani ya Chadema yanaogopa kumshughulikia. Kubenea kupitia gazeti lake aliujulisha Umma Ben Saanane yupo hai na anaonekana akiwa na maana Mbowe kamficha ili kufanyia propaganda, bado chadema hawakumshughulikia.

Leo Kubenea anahusishwa na kila rafu ndani ya chama lakini ni ngumu sana kushughulikiwa. Sababu ni Moja tuu, Kubenea anafahamu uchafu wote wa Mbowe na njia zote za hadharani na gizani wanazotumia kuwanyamazisha wasiokubaliana nao. Maana yake kajilinda sawasawa na akifanyiwa rafu anao uwezo wa kuivunja Chadema ndani ya masaa mawili tuu.

Huyu ndie Kubenea asiyependwa ila wanaogopa kumgusa.

k.jpg
 
Hii ni kazi ya sheitwani,kwanza anakushawishi ukiingia mkenge anakuishtaki kwa Mungu kuwa mkosaji.
Hii ndiyo kazi ya mwandishi wa uzi huu
tapatalk_1573035982743.jpeg
 
Sikusema ataondolewa nimesema ataondoka

Mkuu

Haya majamaa yanashindwa kuelewa kabisa

Kubenea sio hatari kama Zitto

Kubenea ni togwa

Mbowe hana shida ya ku deal nae kwa lolote!

Kura ndani ya chama zitamfukuzisha yeye mwenyewe!

Kama Sumaye!

Mbowe is way too big for nobody like Kubenea!

Msimpe cheo na nguvu ambazo hana,Zitto was powerful than Kubenea mara elfu!

Kubenea ni wa kuacha tu

Sanduku linakuja utaona kura hazitoshi

Wanachama wa Chadema wana akili sana

Wanajua mamluki ni nina na nani,Kubenea asubiri dhahama ya sanduku mamaeeee
 
Sanduku linaongea vipi! Kuwa mkweli

Mmemfanyia hujuma Mzee sumaye, now it seems you will pay it

Vijana wa Mbowe wametoka kinondoni wameweka kambi kibaha for the aim kummaliza sumaye kisiasa

Wamefanya uhuni hotelin Mzee hajui kinachoendelea! Is this fair?

Mafiosoo Mbowe his time is over, Cecilia mwamba is our best candidate

Tutamtoa tu ofisni hatutaogopa wale vijana wake wa kinondoni,

Trust me huu Uchaguzi tutazipiga for the sake of democracy and end up dictatorship in Chadema

Cecilia mwamba is going to make upset down

This time your finished
Mbowe hana haja ya kumfanya chochote!

Atakutana na sanduku kama lilivyomkuta Mzee Sumaye!

Mbowe a relax tu!

Uzuri wa Chadema sanduku linaongea mamaeeeeee!

Yanini kumfukuza wakati sanduku litamtoa hapo alipo na atakua nobody with no cheo anywhere?

Wait and see!
 
Mbowe akimgusa Kubenea patachimbika, Kubenea atawataja wote waliohusika kumpiga risasi Tundu Lisu na kumpoteza Ben Saanane,.
Ni dalili za ulaghai tu.
Kama unachosema ni ukweli mngeshamnunua ili mkipasue chama maana ndiyo furaha ya ccm kuiona chadema inakufa.
Ni ufitini tu
Ni wivu tu juu yao.
Na anayechelewesha ushahidi ni sehemu ya uhalifu kwa watu wenye akili humpuuza hata kama anachosema ni ukweli
 
Sanduku linaongea vipi! Kuwa mkweli

Mmemfanyia hujuma Mzee sumaye, now it seems you will pay it

Vijana wa Mbowe wametoka kinondoni wameweka kambi kibaha for the aim kummaliza sumaye kisiasa

Wamefanya uhuni hotelin Mzee hajui kinachoendelea! Is this fair?

Mafiosoo Mbowe his time is over, Cecilia mwamba is our best candidate

Tutamtoa tu ofisni hatutaogopa wale vijana wake wa kinondoni,

Trust me huu Uchaguzi tutazipiga for the sake of democracy and end up dictatorship in Chadema

Cecilia mwamba is going to make upset down

This time your finished

All these are tetesi with no proof whatsoever!

Sisi wapiga kura ndio tunajua jinsi kukata shingo za wapumbavu wote mnaowaleta!

Leo Kawe Alumni mfurukutwa wa Mawe eti anakuja hapa kutuonea huruma Chadema eti demokrasia yetu inaonewa,eti una best interest at heart!

Fvck you,go to hell and tell Jesus I said Hi!
 
Kubenea anajua Mengi sana ya Mbowe, toka miaka hiyo wanamsulubu Lowassa kuhusu Richimund na takataka zote... Kupitia gazeti la Mwanahalisi.

Hadi Kubenea kumwagiwa tindikali
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom