Kubenea na Komu wanapaswa kuheshimu timing

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Jul 23, 2013
227
597
Pamoja na madai ya chadema kusema kuwa CCM inawanunua wabunge wa chadema lakini naona kwa mbali assumptions nyingine.

#Chadema lazma wakubali sasa kuwa wana mgogoro wa ndani ambao kama hawatakaa pamoja na kuelezana ukweli chama kitazidi kudidimia.

Hili la Mbunge Komu na Kubenea linatupa upenyo mpya wa kuchungulia nini kilichopo ndani ya chama.

#Nachoweza kusema kwa Sasa ni kwamba.

Kubenea na Komu wanapaswa kujitathimini kama bado wanatosha kuendelea kuwa chadema na kuongozwa na Mbowe. Katika kujitathimini huko walenge option 3 za kufanya.

1. Aidha waondoke kabisa kwenye chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa. Hili litasaidia mno kwa mustakabali wa maisha yao na siasa zao za baadaye.

2. Wanaweza kuomba msamaha na kuamua kubaki kwenye chama. Hili ni jambo jema ila hawataaminika tena na wanaweza kutengenezewa zengwe la kuwadhuru. Wakiwa ndani ya chama in rahisi zaidi kudhurika kuliko kuwa njee ya chama.

3. Wanaweza kukaa kimya na kuendelea kubaki Chadema. Nitawakumbusha kilichomtokea Mwigamba, Zitto, na Kitila. Mbowe si mwanasiasa mwepesi kihivyo, ana uthubutu wa kutake risk anaweza kufanya mawili kuwakuza au kuwamaliza kisiasa. Akiwafukuza itakuwa ni vigumu kukubalika kwenye chama kingine kirahisi.

Kutokana na option hizi tatu kilichobaki hapa kwa pande zote mbili ni timing nani atamwahi mwenzake.

Niliwahi kutoa prediction hapa kuhusu wabunge kadhaa kuhama toka Chadema. Kwenye kundi la kwanza hawa wawili Komu, na Kubenea niliwataja pamoja na Ole Millya. Kama hawa wakiondoka atakuwa amebakia mmoja tu kwenye lile kundi.

Wito wangu kwao;:- Wakati sahihi wa kufanya maamuzi ni sasa wakichelewa kuyafanya kuna watu watayafanya badala yao na yatawagharimu zaidi.

Wakikosea timing wameisha....
 
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.

Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapa ndiyo usomi wenu unakuwa wa kutia mashaka.

Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.
 
Nini kilichopo kwa hao wabunge?
Elezea ili wengne wapate kukuelewa..
Kubenea kafanya nini?
Komu kafanya nini?
 
Kama hawataki kuongozwa na mbowe si wahame tu au waazishe chama chao...kama wanafikiri kuongoza chama ni mchezo wamuulize Zitto.....ameshaona kwamba mbowe ni kiongozi sio kwa changamoto alizo pitia, hao wasiweke wa Tz wanao taka mabadiliko kwenye tention ya kijinga.
 
Mnaonaje mkafuta vyama Vingi tukabaki na chama kimoja tu, halmashauri kuu ya ccm inatuchagulia basi inatosha.
Tunapoteza pesa nyingi bila sababu za msingi.
 
mkuu huenda ndani ya chadema kukawa na mgogoro lakini hiyo sio sababu ya kumfanya mwanasiasa makini kujiuzuru ubunge aliopewa na wananchi wote bila kujali vyama. pia kiongozi hakimbii migogoro bali hukabiliana nayo
 
Komu hawei kuacha chadema.
Kumbuka yeye alikuwa mweka hazina na pia ni MTU wa Kilimanjaro. Hicho chama ni chao na wanasapotianaga sana hao.
Na ndio maana Mchaga mmoja akipata basi ujue ni chao
 
Ndugu una
Pamoja na madai ya chadema kusema kuwa CCM inawanunua wabunge wa chadema lakini naona kwa mbali assumptions nyingine.

#Chadema lazma wakubali sasa kuwa wana mgogoro wa ndani ambao kama hawatakaa pamoja na kuelezana ukweli chama kitazidi kudidimia.

Hili la Mbunge Komu na Kubenea linatupa upenyo mpya wa kuchungulia nini kilichopo ndani ya chama.

#Nachoweza kusema kwa Sasa ni kwamba.

Kubenea na Komu wanapaswa kujitathimini kama bado wanatosha kuendelea kuwa chadema na kuongozwa na Mbowe. Katika kujitathimini huko walenge option 3 za kufanya.

1. Aidha waondoke kabisa kwenye chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa. Hili litasaidia mno kwa mustakabali wa maisha yao na siasa zao za baadaye.

2. Wanaweza kuomba msamaha na kuamua kubaki kwenye chama. Hili ni jambo jema ila hawataaminika tena na wanaweza kutengenezewa zengwe la kuwadhuru. Wakiwa ndani ya chama in rahisi zaidi kudhurika kuliko kuwa njee ya chama.

3. Wanaweza kukaa kimya na kuendelea kubaki Chadema. Nitawakumbusha kilichomtokea Mwigamba, Zitto, na Kitila. Mbowe si mwanasiasa mwepesi kihivyo, ana uthubutu wa kutake risk anaweza kufanya mawili kuwakuza au kuwamaliza kisiasa. Akiwafukuza itakuwa ni vigumu kukubalika kwenye chama kingine kirahisi.

Kutokana na option hizi tatu kilichobaki hapa kwa pande zote mbili ni timing nani atamwahi mwenzake.

Niliwahi kutoa prediction hapa kuhusu wabunge kadhaa kuhama toka Chadema. Kwenye kundi la kwanza hawa wawili Komu, na Kubenea niliwataja pamoja na Ole Millya. Kama hawa wakiondoka atakuwa amebakia mmoja tu kwenye lile kundi.

Wito wangu kwao;:- Wakati sahihi wa kufanya maamuzi ni sasa wakichelewa kuyafanya kuna watu watayafanya badala yao na yatawagharimu zaidi.

Wakikosea timing wameisha....[/QUOTEndugu unatakiwa kuchunguzwa kwa uhai Wa wahe uliotaja.maneno yako ni tata
 
KILICHOBAKI KWA MBOWE, KUBENEA NA KOMU NI TIMING TU.

Na Thadei Ole Mushi.

Pamoja na madai ya chadema kusema kuwa CCM inawanunua wabunge wa chadema lakini naona kwa mbali assumptions nyingine.

#Chadema lazma wakubali sasa kuwa wana mgogoro wa ndani ambao kama hawatakaa pamoja na kuelezana ukweli chama kitazidi kudidimia.

Hili la Mbunge Komu na Kubenea linatupa upenyo mpya wa kuchungulia nini kilichopo ndani ya chama.

#Nachoweza kusema kwa Sasa ni kwamba.

Kubenea na Komu wanapaswa kujitathimini kama bado wanatosha kuendelea kuwa chadema na kuongozwa na Mbowe. Katika kujitathimini huko walenge option 3 za kufanya.

1. Aidha waondoke kabisa kwenye chama na kujiunga na vyama vingine vya siasa. Hili litasaidia mno kwa mustakabali wa maisha yao na siasa zao za baadaye.

2. Wanaweza kuomba msamaha na kuamua kubaki kwenye chama. Hili ni jambo jema ila hawataaminika tena na wanaweza kutengenezewa zengwe la kuwadhuru. Wakiwa ndani ya chama in rahisi zaidi kudhurika kuliko kuwa njee ya chama.

3. Wanaweza kukaa kimya na kuendelea kubaki Chadema. Nitawakumbusha kilichomtokea Mwigamba, Zitto, na Kitila. Mbowe si mwanasiasa mwepesi kihivyo, ana uthubutu wa kutake risk anaweza kufanya mawili kuwakuza au kuwamaliza kisiasa. Akiwafukuza itakuwa ni vigumu kukubalika kwenye chama kingine kirahisi.

Kutokana na option hizi tatu kilichobaki hapa kwa pande zote mbili ni timing nani atamwahi mwenzake.

Niliwahi kutoa prediction hapa kuhusu wabunge kadhaa kuhama toka Chadema. Kwenye kundi la kwanza hawa wawili Komu, na Kubenea niliwataja pamoja na Ole Millya. Kama hawa wakiondoka atakuwa amebakia mmoja tu kwenye lile kundi.

Wito wangu kwao;:- Wakati sahihi wa kufanya maamuzi ni sasa wakichelewa kuyafanya kuna watu watayafanya badala yao na yatawagharimu zaidi.

Wakikosea timing wameisha....

Ole Mushi.
0712702602.
 
nasubiri nione kubenea anarudi kule walikomkosakosa kumtia UPOFU
 
Bavicha mko kwa ajili ya Mbowe na siyo kwa ajili ya chama cha chadema.

Mko tayari chadema ife kabisa ila mbowe abaki salama.!!
Hapa ndiyo usomi wenu unakuwa wa kutia mashaka.

Mbowe kula ruzuku ya chama kula ruzuku ya chama ,bavicha watakulinda.
huu ugonjwa wa kuwashwawashwa kwa ajili ya MBOWE ni m'baya sana
 
Back
Top Bottom