Kubenea ndiye mwanaCHADEMA pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe

Big up mkuu umeongea kwa hisia kuu.
Watu wanachezea sana nchi hii.
CCM waliichezea kwa sababu ya Ukongwe na wakati huo.
Pia CCM imewachezea watanzania lwa sababu ya nguvu ya Dola inayoliongoza.

Sasa kuruhusu tena nchi hii kuwa na chama Kingine mbadala kibovu kuliko CCM ni jambo lisilokubalika potote.

Mbowe sio tuu anapaswa kupingwa Bali kupigwa vita vya aina zote na kufurushwa nje ya ukumbi kwa kuzomewa na kukataliwa kabisa.

Kama Wajumbe wote wa mkutano mkuu Chadema wataruhusu dikteta kuongoza Chama basi ni dhahiri kuwa wamebariki Nchi yetu kuachana na Demokrasia.

Mwaka 2015 Chadema Chini ya Mbowe imetutoa kwenye agenda ya Ifisada kibabe na kwa ubabe wa Mbowe asiyeshaurika.
Sasa Mwaka huu tena ubabe wa Mbowe na genge lake wanataka kututoa kwenye agenda ya kupigania Demokrasia kibabe tena. Mbowe akirudi tena kama Mwenyekiti wa Chama tutawaambia nini Watanzania kuhusu kupigania Demokrasia na kupinga Udikteta .

Patakua na umuhimu gani wa kufanya Chaguzi za Kidemokrasia na kuweka ukomo wa Uongozi?
Kumbe basi ukomo utakua hauna maana kama anayetawala au kuongoza atakua ni kiboko wa jambo fulani. Yani tusema JPM ni kiboko wa Mafisadi na kiboko ya wapinzani wa CCM basi atawale mpaka atakapoamua kuondoka mwenyewe.

Demokrasia itakua haina maana kama kiongozi anaamua mwenyewe muda wa kukaa madarakani kupitia mgongo wa Demokrasia inayosimamiwa na wale aliowateua.

Hivi Mbowe haoni kuwa hana tofauti na Rais aliyeko madarakani anayeteua tume ya uchaguzi halafu anagombea bila ukomo?

Mbowe hajui kuwa Tanzania kama Rais asingekua na ukomo asingekuja kushindwa kwenye uchaguzi.
Busara ya Ukomo kwenye Uongozi iliwekwa na Baba wa Taifa baada ya kuona madhara yake katika kupigania Demokrasia. Hii ni ndani na nje ya Chama na Vyama vyote.

Mbowe mwenye anajua kabisa kuwa Kwa sheria na katiba ya nchi yetu Chama kinachotawala kina nguvu kubwa sana kuliko viongozi wa Serikali.

Sasa Mbowe asipoheshimu Demokrasia ya Chama tujue wazi kabisa kuwa endapo Chadema itashinda tutakua na mihimili Minne ya nchi inayoongozwa na wakuu wake wananne. Yani Bunge, Chama , Serikali na mahakama. Chama kisichokua na Demokrasia hakitakua na maelekezo ya kidemokrsia kwa serikali yake hasa kutokana na kuwa na Mwenyekiti ambaye ni tofauti na Rais. Matokeo yake ataliingiza Taifa katika mgogoro mkubwa baina vya Mwenyekiti wa Chama Dikteta na Amiri Jeshi Mkuu mwenye Demokrasia.

Kama Chadema watashupaza Shingo zao na kuona kuwa wanamkomoa JPM na kumchagua Mbowe basi tujue tunatengeneza siasa za kitoto kabisa ndani ya Chadema.

Ingekua Mwenyekiti anapokaa muda mrefu kwenye Uongozi wa chama ndio kukua na kukijenga Chama basi UDP na Cheyo kingekua ndicho chama Tawala.

Wangalau leo umeongea jambo linalokubalika na hoja zisizo na propaganda za kijinga. Naunga mkono hoja yako kwa 100%.
 
Chadema ya sasa haina watu wenye akili ya kuwa contain Kubenea, Komu, Selasini, Bananga n.k achilia mbali Mnyika aliyeamua kukaa kimya.

Hakuna strategists kama enzi walipowatuliza Zitto na kundi lake. Waombe busara zitumike kuokoa upinzani
Wakati huo waliofanyakazi hiyo ni kina? hebu tutajie majina.
 
Sanduku linaongea vipi! Kuwa mkweli

Mmemfanyia hujuma Mzee sumaye, now it seems you will pay it

Vijana wa Mbowe wametoka kinondoni wameweka kambi kibaha for the aim kummaliza sumaye kisiasa

Wamefanya uhuni hotelin Mzee hajui kinachoendelea! Is this fair?

Mafiosoo Mbowe his time is over, Cecilia mwamba is our best candidate

Tutamtoa tu ofisni hatutaogopa wale vijana wake wa kinondoni,

Trust me huu Uchaguzi tutazipiga for the sake of democracy and end up dictatorship in Chadema

Cecilia mwamba is going to make upset down

This time your finished
Leta number yako ya uanachama wa CCM.
Hivi interest yako ni kuona CDM bora ili iweje?
Utazipiga na nani wee mburura?
Utakuwa majivu na hao milumumba menzako nyang'au.
Unajambajamba ukisikia jina Mbowe kama umesikia Mbo---00 vile!
 
Kubenea kila alipo kaa ni mharibifu, hata kazini kwake staff wenzie waulizeni au waliofanya nae kazi, hafai kabisa!
 
Mkuu

Haya majamaa yanashindwa kuelewa kabisa

Kubenea sio hatari kama Zitto

Kubenea ni togwa

Mbowe hana shida ya ku deal nae kwa lolote!

Kura ndani ya chama zitamfukuzisha yeye mwenyewe!

Kama Sumaye!

Mbowe is way too big for nobody like Kubenea!

Msimpe cheo na nguvu ambazo hana,Zitto was powerful than Kubenea mara elfu!

Kubenea ni wa kuacha tu

Sanduku linakuja utaona kura hazitoshi

Wanachama wa Chadema wana akili sana

Wanajua mamluki ni nina na nani,Kubenea asubiri dhahama ya sanduku mamaeeee
We humfahamu Kubenea wewe.
Atataja Utapeli wote wa Mbowe kwa evidence.
Zitto mwenyewe anamjua Kubenea alivyomuweka uchi wakati wa Usaliti wake miaka ile. Alimtajia namba zote za Mpesa, TigoPesa na Bank account transfers za alivyokuwa akiwalipa akina Shonza ili kukivuruga chama.
Saanane alipoona maji marefu akataja na walivyopelekwa kwa mganga kuchanjwa makalio ili kujilinda na Mbowe.
 
Hatumpi kura

Full stop!

Awe Mungu,awe mfalme awe whatever the fvck he wants,hatumpi kura!

Ajipe kura mwenyewe!

Acheni usenge!

Ubunge harudi,kura tunazopiga za viongozi sasa hivi hatumpi hata moja!

Atabaki kua mwandishi wa habari!

Fvck yall!
 
Mbowe atawaagiza mumpe hata kama hamumtaki.
Anajua mkimtema Kubenea dili zake zote na CCM mwaka 2015 ataziweka wazi with evidence!
 
CHADEMA kimezoea sana misukosuko ya aina hii toka kina Walid kaborou unategemea kiyumbishwe na kina kubenea tu ?

Wakitaka kutoka watatoka kitafanya rebranding na kitaimarika tena zaidi ya jana.

Kama kimeweza kusurvive mabomu ya polisi na risasi za ccm na dola kitashindwa kuhimili kelele za kubenea tu ?
Chadema ya sasa haina watu wenye akili ya kuwa contain Kubenea, Komu, Selasini, Bananga n.k achilia mbali Mnyika aliyeamua kukaa kimya.

Hakuna strategists kama enzi walipowatuliza Zitto na kundi lake. Waombe busara zitumike kuokoa upinzani
 
Sanduku linaongea vipi! Kuwa mkweli

Mmemfanyia hujuma Mzee sumaye, now it seems you will pay it

Vijana wa Mbowe wametoka kinondoni wameweka kambi kibaha for the aim kummaliza sumaye kisiasa

Wamefanya uhuni hotelin Mzee hajui kinachoendelea! Is this fair?

Mafiosoo Mbowe his time is over, Cecilia mwamba is our best candidate

Tutamtoa tu ofisni hatutaogopa wale vijana wake wa kinondoni,

Trust me huu Uchaguzi tutazipiga for the sake of democracy and end up dictatorship in Chadema

Cecilia mwamba is going to make upset down

This time your finished
Upigane na nani wewe choko wa Lumumba? CDM ni the heavy duty kwenu.Mnatapatapa tu
 
Mbowe atawaagiza mumpe hata kama hamumtaki.
Anajua mkimtema Kubenea dili zake zote na CCM mwaka 2015 ataziweka wazi with evidence!

Kwa maana sisi hatuna akili?

Kwa maana Mbowe katushikia mikono wakati tunashika kalamu kuchagua mtu?

Acheni usenge!

Tunampa kitu kama ya Sumaye!

Hivi mnadhani wanachama ni maboya kiasi kwamba hatujui nani bandikizi na nani sio bandikizi?

Hewa kweli nyie!

Mwambe hapati kitu,Kubenea hapati kitu,Komu hapati kitu kama Selasini na Sumaye walivyokosa kura!

Bure nyie
 
Kasahau ile tindikali?
Na David Maphone

Kubenea ndie mwanachadema pekee aliyeweka wazi kutokubaliana na Mbowe, amefika mbali na kuunda kundi ndani ya Chama ila bado hashughulikiwi. Zitto alipounda kundi lake na kina Kitila walifukuzwa huku wakitazamwa usoni.

Huyu alishapanga kumdhuru Mayor wa Ubungo kisa yupo karibu na Mbowe na maongezi yakavuja ila bado mamlaka ndani ya Chadema yanaogopa kumshughulikia. Kubenea kupitia gazeti lake aliujulisha Umma Ben Saanane yupo hai na anaonekana akiwa na maana Mbowe kamficha ili kufanyia propaganda, bado chadema hawakumshughulikia.

Leo Kubenea anahusishwa na kila rafu ndani ya chama lakini ni ngumu sana kushughulikiwa. Sababu ni Moja tuu, Kubenea anafahamu uchafu wote wa Mbowe na njia zote za hadharani na gizani wanazotumia kuwanyamazisha wasiokubaliana nao. Maana yake kajilinda sawasawa na akifanyiwa rafu anao uwezo wa kuivunja Chadema ndani ya masaa mawili tuu.

Huyu ndie Kubenea asiyependwa ila wanaogopa kumgusa.

View attachment 1282541
 
Kwa maana sisi hatuna akili?

Kwa maana Mbowe katushikia mikono wakati tunashika kalamu kuchagua mtu?

Acheni usenge!

Tunampa kitu kama ya Sumaye!

Hivi mnadhani wanachama ni maboya kiasi kwamba hatujui nani bandikizi na nani sio bandikizi?

Hewa kweli nyie!

Mwambe hapati kitu,Kubenea hapati kitu,Komu hapati kitu kama Selasini na Sumaye walivyokosa kura!

Bure nyie
Kuna anayeweza kumpinga Mbowe akiwaagiza mumpe Kubenea?
Hiyo ni sawa na kuamua kuonja sumu.
Labda kama hujipendi
 
Kuna anayeweza kumpinga Mbowe akiwaagiza mumpe Kubenea?
Hiyo ni sawa na kuamua kuonja sumu.
Labda kama hujipendi

Acha ufala mkuu

Mbowe ndio anatushikia mikono kalamu?

Anajua natoa tick kwa nani?

Acheni stori

Anampigia kampeni ila kura ni siri yangu na sanduku liko pale

Then ghafla bin vuu ni kitu cha Sumaye kinatokea

Subirini muone
 
Back
Top Bottom