Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,802
- 71,229
Yeye anajitangaza wazi kuwa ni mwanaccm, kisha bila aibu anasema "Cecilia Mwamba is our best candidate" wakati wapiga kura ni wanachadema!Leta number yako ya uanachama wa CCM.
Hivi interest yako ni kuona CDM bora ili iweje?
Utazipiga na nani wee mburura?
Utakuwa majivu na hao milumumba menzako nyang'au.
Unajambajamba ukisikia jina Mbowe kama umesikia Mbo---00 vile!
Tukisema huyu kawe Alumn ni mpumbavu wanasema hayo ni matusi,kweli jina jingine linampasa huyo mtu?