Kubenea kumwagiwa tindikali: Nini chanzo?

Status
Not open for further replies.
bado kidogo ngumi zitarushwa sasa hivi...but nafurahia majibizano yenu..teh teh teh teh...kwani chanzo nini?
 
Kwa kweli kwa majibishano haya ambayo ninayaona katika kipindi hiki siyafurahii kabisa, siyafurahii kwa sababu yanashusha hadhi ya JF jamani, JF ni mahali pa kuwekana sawa na kuwakemea wale wote wanaojinufaisha na jasho la wakulima na walalahoi wa TANZANIA lakini si mahali pa kulumbana na kukashifiana na kutupiana maneno ya nguoni kama mnayoyaendeleza kwa sasa, Mwafrika wa kike pls leave them haitakusaidia chochote kujibishana na kutupiana maneno ya kashfa na hao vijana ingawa naona wao ndo wanatoa maneno ya kashfa zaidi juu yako, inaniuma sana juu ya hili maana kila threads sasa inajaa malumbano tu kuliko hoja za msingi ambazo zitajenga na kuleta mwonekano mpya.

Once again nawaomba sana wakuu wote wapiganaji tuachane na hawa wanaokuja huku kukashifu wenzao maana inawezekana kabisa wametumwa ili kuchafua hali ya hewa ya JF as u know mafisadi hawaipendi kabsaa JF sasa tumieni akili kuwasoma hawa wanaokuja na kuleta malumbano yasiyo na msingi.
 
its not cul to lie under oath, halafu pia si cul kwa waandishi kuandika habari jinsi walivyoandika, hizi mbinu za kuchafuana hazitatupeleka popote.
 
Tusubiri kesi na matokeo, maana tuta support au kushambulia mtu bila kuwa na uhakika. Hii inamhusu Kubenea na sio Kikwete..we cannot justify that act just because so and so are doing..
 
Ule usemi "Innocent until proven Guilty"...Tanzania ni "Guilty until proven Innocent"..
 
Kwa kweli kwa majibishano haya ambayo ninayaona katika kipindi hiki siyafurahii kabisa, siyafurahii kwa sababu yanashusha hadhi ya JF jamani, JF ni mahali pa kuwekana sawa na kuwakemea wale wote wanaojinufaisha na jasho la wakulima na walalahoi wa TANZANIA lakini si mahali pa kulumbana na kukashifiana na kutupiana maneno ya nguoni kama mnayoyaendeleza kwa sasa, Mwafrika wa kike pls leave them haitakusaidia chochote kujibishana na kutupiana maneno ya kashfa na hao vijana ingawa naona wao ndo wanatoa maneno ya kashfa zaidi juu yako, inaniuma sana juu ya hili maana kila threads sasa inajaa malumbano tu kuliko hoja za msingi ambazo zitajenga na kuleta mwonekano mpya.

Once again nawaomba sana wakuu wote wapiganaji tuachane na hawa wanaokuja huku kukashifu wenzao maana inawezekana kabisa wametumwa ili kuchafua hali ya hewa ya JF as u know mafisadi hawaipendi kabsaa JF sasa tumieni akili kuwasoma hawa wanaokuja na kuleta malumbano yasiyo na msingi.

Asante sana waga kwa ushauri mzuri.

Unajua hawa hata ukiwaacha kwamba nao wataacha hawasikii. Ukiona Chinga/mtalii/mswahili wengi hapa tulimwacha kwamba angebadilika lakini wapi.

Wakati mwingine unahitaji moto kuzima moto kama maji yameshindwa. Ukiachia umbea unaenezwa tu bila kuupinga kwa muda mrefu, taratibu watu wanaamini kuwa ni ukweli. Unajua leo hii hapa amerika kuna karibu 1/3 ya watu wanaamini sadam alikuwa na WMD.

Hii ni kwa sababu hii ilirudiwa over and over and over again bila kupingwa na mpaka leo watu wengi wameamini kuwa ni ukweli. Hawa inabidi wapate cha moto muda wowote wanaokuja hapa na rants zao kwa sababu MODS sometimes wanakuwa nao wanabeba boxs zao ili kupata chakula.

Bahati nzuri wote wanajulikana na kila mara wakitokea watakumbana na gharika ya JF. It's sad lakini sometimes inabidi iwe hivyo.
 
...Hata kama ni kweli kachukua mke wa mtu na sio siasa tutapata tu ukweli wa mambo very soon hatutaki majungu ya kibwege bwege...
 
Hawa nao wametoka wapi humu..., sasa lowasa au chenge hata karamagi wakisoma hayo majibizano wataacha kusema hawa bado wapo gizani?

majibizano yenu yametuangusha sana.

Moderator tusaidie hapo..., are we not srious anymore?
 
Nafikiri JF ni budi ijangalie isiwe kama kokoro kukamata kila takataka,ni budi iwe kama nyavu yenye kipimo sahihi kukamata kile kinachotarajiwa vinginevyo JF family itakuwa inajidhalirisha mbele ya jamii. mfano mzuri ni hii issue ya kubenea,nani asiyejua kwamba swala likiwa mahakamani si vema kulizungumzia katika mfumo huu ambao baadhi ya wana JF wanafanya,ni rahisi sana kuharibu kesi iliyopo japo inaweza kuwa ni mbinu ya kuiharibu kesi husika,ni vema kuheshimu uhuru wa mahakama labda tujadili yale ambayo hayataathiri mwenendo wa kesi,otherwise JF inaweza kutumiwa kuvuruga mwenendo wa kesi kwa faida ya wahalifu bila kujijua
 
na yule mwingine aliyekuwa na Kubenea alipigwa panga kisa?
Wasitufanye wajinga hawa.
Nakumbuka mwanzo nilisema kuwa mtakuja ona aibu na huyo kubenea wenu.....sasa hapo unaanza kuuliza majibu maswali mepesi..walipoeenda kumvamia Kubenea tena wakiwa wamelewa ulitegemea Tegambwange akae kimya bila kumsaidia huyo mgoni Kubenea.kama anamsaidia ulitegemea wasimpe mapanga?NARUDIA KUSEMA KAMA NILIPOSEMA MWANZO,KAMA MNAMPENDA SANA KUBENEA MSHAURINI AACHE TABIA ZA KULA WAKE ZA WATU,NI HATARI.Mwishoni unakuwa kama mwafrika wa kike full ujinga ukimsoma akitetea.
 
Ongeza font size ili usomeke vizuri!
 
Mimi nina ushauri hapa .Kuna watu wanaifanya hii forum kushuka hadhi kila mara .Nakuomba sana ndugu yangu Mwafrika wa Kike uache kujibizana .Waache wadharau ili kila mara tuendeleze mada zenye heshima .Majibizano haya wala mimi siyapendi kabisa .Mwafrika wa Kike mimi nadhani unisikie tu uache maana eneno kubwa la hapa unajibizana nao na inachukua page kadhaa utadhani kuna jambo la maana kumbe hakuna .Hapa kama wataendelea na mambo haya wafungiwe .

Hii kesi bado mbichi .Hata kama kachukua mke wa mtu dawa si kuvamia na kutaka kuua na hata tindikali.Huu ni uharamia .Lakini mimi nawa hakikishia kwamba kesi hii wanao shikla mpini ni watu wa EPA ushahidi ni mwingi na mtashangaa baadaye .
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom