Serikali hii ya Tanzania inavunja record dunia nzima kwa kutaka kusifiwa tuu na vyombo vya habari!viongozi wengi ambao sio waadilifu hawataki vyombo vya habari vifichue maovu yao,hivi tutafika kweli?mbona inchi zingine hazifanyi ivyo?yani kiongozi anataka aibe mali za watanzania mwandishi akimfichua anapelekwa mahakamani?hivi wapo kwa ajili ya kusifia tuu serikali?kwa staili hii hatutakomesha ufisadi ndani ya inchi hii,ndio maana wanaichi wanawajua wahalifu wanaogopa kutoa taarifa police kwa kuwa wanaweza kamatwa na wao wakaambiwa wachochezi!Ila sishangai huenda ikawa ndio agenda kuu ya serikali kufungia vyombo vya habari vinavyosifia upinzani!
Kubenea si mwandishi ila mtunzi wa hadithiKubenea na wahalifu wenzake wanyang'anywe leseni za uandishi
Una uhakika hayo unayosema (ya kupewa ONYO) hayajafanywa na serikali? Notisi kibao zimesomwa za kutolewa kwa onyo...lakini Mawio ndio kwanza waliendelea kuandika habari zisizokuwa na maadili na zilizojaa uzushi.Tatizo lake lilikuwa ni la kupewa onyo na kukumbushwa utaratibu na sio kufungiwa moja kwa moja...
Pamoja na kutafuta maji asisahau kutafuta na elimu pia mkuu..!HUYO KUBENEA NAYE BADALA YA KUTATUA TATIZO LA MAJI UBUNGO ANAMTISHIA WAZIRI NAPE!
Mpaka gani !!!!??? Kubenea mbunge Wa jimbo gani !? Na hao wahariri wa mawio na wafanyakazi wao ni wajimbo gani la ubunge !? Nikosa kuwapigania wapiga kura wako!!?? Shame on youKubenea asidhani ubunge utamkinga pale atakapovuka mipaka. Shauri yake.
yotekwa yote maalim seif kishajitangaza rais na sisi tunamuunga mkono rais mpyaNapinga Mawio kufungiwa
lakini naamini Mawio wana upungufu mkubwa wa maadili
Kubenea ni vizuri akajitazama na kujitathimini
ana make headlines for all the wrong reasons....
Mara vyeti vyake vimefanyaje
mara Zitto waparurane
mara yuko katikati ya uchaguzi wa Meya
mara hili.....
wapiga kura wake wanamtazama tu....wasije kumchoka so fast
Siku zote tanzania hii mesma kweli ndio uonekana ana mapungufu na huo ndio ukweli,Napinga Mawio kufungiwa
lakini naamini Mawio wana upungufu mkubwa wa maadili
Kubenea ni vizuri akajitazama na kujitathimini
ana make headlines for all the wrong reasons....
Mara vyeti vyake vimefanyaje
mara Zitto waparurane
mara yuko katikati ya uchaguzi wa Meya
mara hili.....
wapiga kura wake wanamtazama tu....wasije kumchoka so fast
Kubenea ni mheshimiwa mbunge wa ubungo,katemwa vipi wakati huyo nape naye kakimbilia huko kwenye ubunge?Kubenea anatumika vibaya sana, kipindi hicho kubenea alikuwa anatumiwa na nape kumchafua lowassa kwa muda wa miaka 8, leo kubenea katemwa kama big G analalamika. Ila tatizo la kubenea ni shule, anaruka ruka tu lakn elimu hakuna kumkichwa
Hata baada ya miaka 54 ya uhuru unaulizia tataizo la maji?serikali ilikuwa likizo?HUYO KUBENEA NAYE BADALA YA KUTATUA TATIZO LA MAJI UBUNGO ANAMTISHIA WAZIRI NAPE!
Hilo gazeti litafunguliwa na serikali italazimika kuwalipa mamilioni hao wamiliki wa mawioOnyo wamepewa hawasikii na wanajiona wana uhuru kuliko watu wengine. Haiwezekani ukawa na uhuru bila kiwa na wajibu. Ati wanajiita sauti ya wananchi nashangaa wananchi gani hao kila kunapokucha matusi tu?
Hizo ni ndoto za alinacha,labda walifungie uhuru na mzalendo yaliyo kosa wasomajiUandishi wap kama global publisher
Hawana nidhamu
Tena wasiishie kulifungia tu walizike futi 20 chini ya ardhi
ainisha hapa MAWIO wanaupungufu wa maadili kwa mujibu wa sheria ipi??Napinga Mawio kufungiwa
lakini naamini Mawio wana upungufu mkubwa wa maadili
Kubenea ni vizuri akajitazama na kujitathimini
ana make headlines for all the wrong reasons....
Mara vyeti vyake vimefanyaje
mara Zitto waparurane
mara yuko katikati ya uchaguzi wa Meya
mara hili.....
wapiga kura wake wanamtazama tu....wasije kumchoka so fast