mtima nyongo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,947
- 2,047
ama kweli watanzania kwa unafiki tunaongoza msema kweli atakiwi ila msifia maovu ndie anaetakiwa.pole tz ya wanafikiKubenea na wahalifu wenzake wanyang'anywe leseni za uandishi
ama kweli watanzania kwa unafiki tunaongoza msema kweli atakiwi ila msifia maovu ndie anaetakiwa.pole tz ya wanafikiKubenea na wahalifu wenzake wanyang'anywe leseni za uandishi
Kifupi NAPE ni mmojawapo ya waasisi wa CCJ, chama kilichotaka kujitenga kutoka CCM baada ya kutokubaliana na baadhi ya mambo ya CCM.Ndo hapo sasa,,, Ina maana alikuwa anawapa habari kipinde kile au wana maanishaje hawa kina kubenea
Ndiyooooooo. wakati ule akiwa katibu wa CCJ.....Kumbe nape alikua ni chanzo cha habari cha MWANAHALISI sasa subiri
Mbona sijaona ONYO alilopewa NAPE,!!
Nape naye ajikite kuwakilisha wananchi wake japo alishinda kwa bao la mkono badala ya kujikita kwenye vita na magazeti.Ni wakati wa Kubenea kujikita kwenye ubunge kuwakilisha wapiga kura wake waliomchagua kwenda bungeni
Utakuwa una matatizo kwanza umekiri kwamba hilo gazeti lina shida kisha hutaki lifungiwe poleKusema ukweli tukiacha unazi wa uchama na kiupinzani...gazeti la MAWIO lilikuwa likiandika habari zake kinyume na maadili ya kiundishi...ingawa sikubaliani na suala kufungiwa kwake lilipaswa kupewa onyo tu....
Asanteee!!Yawezekana ili gazeti ni "chochezi" mbona Lowassa amekaa kimya hajatoa tamko kuhusu kufungiwa kwa MAWIO!
We muache tu,amuulize mnyika,miaka mitano sio mingi atakimbia mwenyeweNi wakati wa Kubenea kujikita kwenye ubunge kuwakilisha wapiga kura wake waliomchagua kwenda bungeni
Mkuu kama lina upungufu mkubwa wa maadili basi kufungiwa ni haki yake. Hakika nakuambia ya kwamba Kubenea hatarudi bungeni 2020Napinga Mawio kufungiwa
lakini naamini Mawio wana upungufu mkubwa wa maadili
Kubenea ni vizuri akajitazama na kujitathimini
ana make headlines for all the wrong reasons....
Mara vyeti vyake vimefanyaje
mara Zitto waparurane
mara yuko katikati ya uchaguzi wa Meya
mara hili.....
wapiga kura wake wanamtazama tu....wasije kumchoka so fast
Una hakika kwamba ana leseni?Kubenea na wahalifu wenzake wanyang'anywe leseni za uandishi
Nape ni waziri wa habari na wasipojiangalia atatumia hiyo nafasi kuwafungia wengi,Kubenea alishapambana sana kama mwanahabari lakini sasa ni mwakilishi wa wananchi.Hawa wabunge wa Dar walichaguliwa badala ya kutatua shida za wananchi wanajisahau ikifika wakati wa uchaguzi wanaanza kulialia.Angalia kina SUGU,Nasari,Prof J wako busy kutekeleza ahadi walizoahidi wananchiNape naye ajikite kuwakilisha wananchi wake japo alishinda kwa bao la mkono badala ya kujikita kwenye vita na magazeti.
Ni kweli mkuu..huyu jamaa na elimu yake ya hapa na pale sidhani kama ana leseni huyu.Una hakika kwamba ana leseni?
Sema Wewe lakini sisi tumempenda na 2020 tutamchagua tenakwakweli wananchi wa jimbo la ubungo tumeishaanza kujuta kumchagua huyu bwana...kama ccm wangesimamisha mtu tofauti na masaburi tungemchagua...haina namna tumechagua kilazas
Mkuu mungu wa ajabu, ndo kishambarikiKubenea anatumika vibaya sana, kipindi hicho kubenea alikuwa anatumiwa na nape kumchafua lowassa kwa muda wa miaka 8, leo kubenea katemwa kama big G analalamika. Ila tatizo la kubenea ni shule, anaruka ruka tu lakn elimu hakuna kumkichwa