Kubenea ampa onyo kali Nape

Kubenea ampa onyo kali Nape

hao mang'ombe wana uwezo gani wa kuitisha serikali?? badilisha hiyo heading ya thred
 
Haya ni moja ya maamuzi ya kukurupuka ya serikali ya Magufuri....lazima atambue kuwa hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sio kwa utashi wake yeye binafsi...
binafsi napongeza sana hatua hiyo ya kufungia hilo gazeti la udaku
 
Back
Top Bottom