Onyo kutoka kwa mwenye elimu ya hapa na pale
Tatizo lake lilikuwa ni la kupewa onyo na kukumbushwa utaratibu na sio kufungiwa moja kwa moja...Utakuwa una matatizo kwanza umekiri kwamba hilo gazeti lina shida kisha hutaki lifungiwe pole
Gazeti lake la Mawio limepewa onyo na msajiri wa magazeti mara nane lakini hakuna hatua hata moja waliyochukua ili kuwasiliana na msajiri wa magazeti au kujirekebisha.Tatizo lake lilikuwa ni la kupewa onyo na kukumbushwa utaratibu na sio kufungiwa moja kwa moja...
Mkuu kulingana na maelezo ya Nape mawio wamepewa onyo zaidi ya mara tisa..!Kusema ukweli tukiacha unazi wa uchama na kiupinzani...gazeti la MAWIO lilikuwa likiandika habari zake kinyume na maadili ya kiundishi...ingawa sikubaliani na suala kufungiwa kwake lilipaswa kupewa onyo tu....
Hata kusema Zanzibar kuwaka Moto nayo ni uovu pia..!Serikali hii ya Tanzania inavunja record dunia nzima kwa kutaka kusifiwa tuu na vyombo vya habari!viongozi wengi ambao sio waadilifu hawataki vyombo vya habari vifichue maovu yao,hivi tutafika kweli?mbona inchi zingine hazifanyi ivyo?yani kiongozi anataka aibe mali za watanzania mwandishi akimfichua anapelekwa mahakamani?hivi wapo kwa ajili ya kusifia tuu serikali?kwa staili hii hatutakomesha ufisadi ndani ya inchi hii,ndio maana wanaichi wanawajua wahalifu wanaogopa kutoa taarifa police kwa kuwa wanaweza kamatwa na wao wakaambiwa wachochezi!Ila sishangai huenda ikawa ndio agenda kuu ya serikali kufungia vyombo vya habari vinavyosifia upinzani!
Kubenea ana "ubavu"gani wa kumpa onyo Nape?(sio ubavu wa mieleka),au kiongozi ulitaka kuandika kinyume chake ukapitiwa?Mkurugenzi wa Kampuni ya Hali
Halisi Publishers, Saed Kubenea
pamoja na Mwenyekiti wa
Jukwaa la Wahariri Tanzania
(TEF) Absalom Kibanda
wameionya serikali juu ya
uamuzi wa kulifuta gazeti la
MAWIO uliochukuliwa hivi
karibuni.
Kupitia tangazo la serikali lenye
notisi namba 55, serikali
ilichukua uamuzi wa kulifungia
MAWIO, Januari 15, 2016 huku
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
akisema gazeti hilo limekuwa
‘sugu’ kwa uchochezi tangu
2013.
Kubenea na Kibanda walikuwa
katika kituo cha Polisi cha Kati
ambapo ndiyo Makao Makuu ya
Kanda Maalum ya Dar es Salaam
wakiwasindikiza wahariri Jabir
Idrissa na Simon Mkina
walioitikia wito wa uliotolewa na
jeshi hilo siku tatu zilizopita.
Kibanda amewambia
wanahabari kuwa kitendo cha
jeshi la polisi kuwasaka ili
kuwakamata Jabir na Mkina
ambao ni wahariri ili kuwahoji
huku gazeti la MAWIO likiwa
limefungiwa, kinalenga
kuwatisha waandishi wa habari
nchini na kuzima uhuru wa
habari.
Ameulezea uamuzi huo wa
Waziri mwenye dhamana ya
masuala ya Habari, Nape, kama
uamuzi uliolishitua TEF na
wamewasiliana naye wakielezea
mshituko na masikitiko yao.
“Hatuwezi kuvumilia kufungiwa
kwa vyombo vya habari,
kukamatwa na kunyanyaswa
kwa waandishi, miaka miwili
iliyopita nilitakiwa kujisalimisha
makao makuu ya polisi,
nikafikishwa mahakamani na
nikashinda kesi, naelewa
maumivu ya mapambano haya,”
ameeleza Kibanda.
Kwa upande wake Kubenea,
amesema Serikali kupitia Nape
imechukua uamuzi wa kikatili
dhidi ya gazeti la MAWIO ili
kuzima sauti ya wananchi kwa
hoja zisizo na mashiko ikiwemo
ile ya uchochezi ambayo
imekuwa kisingizio cha
watawala kwa muda mrefu.
“Katika toleo la MAWIO lilimnukuu
Maalim Seif akijitangaza mshindi,
yeye hakuitwa mchochezi, Jecha
amefuta uchaguzi wakati hana
mamlaka ya kisheria wala ya
kikatiba hakuitwa mchochezi ila
gazeti kuandika ushindi
uliotangazwa na Seif
limefungiwa,” ameeleza Kubenea.
Kubenea ameongeza kuwa,
ubovu wa sheria ya magazeti ya
mwaka 1976 umekuwa
ukitumiwa na serikali kuviadhibu
vyombo vya habari vinavyofichua
maovu, huku mahakama
ikithibitisha mara kadhaa kuwa
madai ya uchochezi
yanayotolewa na serikali hayana
mashiko.
“Jabir ni Mwandishi aliyebobea
kitaaluma na uzoefu, ameandikia
magazeti ya Uhuru, Mzalendo,
Majira na New Habari huko kote
hakuitwa mchochezi wala
hakukamatwa.
“Nape alikuwa mmoja wa
waandishi na vyanzo vya taarifa
za MwanaHALISI kipindi hana
madaraka CCM, mbona
alishirikiana na sisi kuibua
maovu kama sisi ni
wachochezi?” alihoji Kubenea.
Jabir na Mkina wamekuwa
wakitafutwa na jeshi la polisi
kwa siku tatu mfululizo tangu
Jumamosi kwa tuhuma za
uchochezi huku jaribio la
kuwakamata likishindikana mara
kwa mara kutokana na kutojua
walipo mpaka walipoamua
kujisalimisha jana.
Mbali ya Kubenea na Kibanda,
walisindikizwa pia na Mhariri
Mtendaji wa gazeti la
MwanaHALISI, Ansbert Ngurumo
pamoja na wakili wao, Fredrick
Kihwelo.
I second you 100%. Kubenea anatakiwa kujitathmin kama bado ni mwanaharakati au mwanasiasa kwani yeye kwa sasa hivi ndo amekua ndo headline ya mambo mengi yenye utataNapinga Mawio kufungiwa
lakini naamini Mawio wana upungufu mkubwa wa maadili
Kubenea ni vizuri akajitazama na kujitathimini
ana make headlines for all the wrong reasons....
Mara vyeti vyake vimefanyaje
mara Zitto waparurane
mara yuko katikati ya uchaguzi wa Meya
mara hili.....
wapiga kura wake wanamtazama tu....wasije kumchoka so fast
Ni wakati wa Kubenea kujikita kwenye ubunge kuwakilisha wapiga kura wake waliomchagua kwenda bungeni
Onyo wamepewa hawasikii na wanajiona wana uhuru kuliko watu wengine. Haiwezekani ukawa na uhuru bila kiwa na wajibu. Ati wanajiita sauti ya wananchi nashangaa wananchi gani hao kila kunapokucha matusi tu?Kusema ukweli tukiacha unazi wa uchama na kiupinzani...gazeti la MAWIO lilikuwa likiandika habari zake kinyume na maadili ya kiundishi...ingawa sikubaliani na suala kufungiwa kwake lilipaswa kupewa onyo tu....
Labda nyumbani kwakoNachukua fursa hii kumtangaza rasmi MH SAED KUBENEA kama shujaa mpya wa Taifa letu .
Mkuu acha unazi.....mawio siyo gazeti objective kukosoa serikali. Limekosa maadili ya uandishi wa habari. Ban ndo haki yakeSerikali hii ya Tanzania inavunja record dunia nzima kwa kutaka kusifiwa tuu na vyombo vya habari!viongozi wengi ambao sio waadilifu hawataki vyombo vya habari vifichue maovu yao,hivi tutafika kweli?mbona inchi zingine hazifanyi ivyo?yani kiongozi anataka aibe mali za watanzania mwandishi akimfichua anapelekwa mahakamani?hivi wapo kwa ajili ya kusifia tuu serikali?kwa staili hii hatutakomesha ufisadi ndani ya inchi hii,ndio maana wanaichi wanawajua wahalifu wanaogopa kutoa taarifa police kwa kuwa wanaweza kamatwa na wao wakaambiwa wachochezi!Ila sishangai huenda ikawa ndio agenda kuu ya serikali kufungia vyombo vya habari vinavyosifia upinzani!
kubenea anatak kuogelea kwenye maji ya mkondo wa MTO nungwi wakati uwezo wake ni kwenye kabeseni tu. UBUNGO WAMEPATA MBUNGE MZIGO KULIKO MAJIMBO YOTE TANZANIA.Mkurugenzi wa Kampuni ya Hali
Halisi Publishers, Saed Kubenea
pamoja na Mwenyekiti wa
Jukwaa la Wahariri Tanzania
(TEF) Absalom Kibanda
wameionya serikali juu ya
uamuzi wa kulifuta gazeti la
MAWIO uliochukuliwa hivi
karibuni.
Kupitia tangazo la serikali lenye
notisi namba 55, serikali
ilichukua uamuzi wa kulifungia
MAWIO, Januari 15, 2016 huku
Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
akisema gazeti hilo limekuwa
‘sugu’ kwa uchochezi tangu
2013.
Kubenea na Kibanda walikuwa
katika kituo cha Polisi cha Kati
ambapo ndiyo Makao Makuu ya
Kanda Maalum ya Dar es Salaam
wakiwasindikiza wahariri Jabir
Idrissa na Simon Mkina
walioitikia wito wa uliotolewa na
jeshi hilo siku tatu zilizopita.
Kibanda amewambia
wanahabari kuwa kitendo cha
jeshi la polisi kuwasaka ili
kuwakamata Jabir na Mkina
ambao ni wahariri ili kuwahoji
huku gazeti la MAWIO likiwa
limefungiwa, kinalenga
kuwatisha waandishi wa habari
nchini na kuzima uhuru wa
habari.
Ameulezea uamuzi huo wa
Waziri mwenye dhamana ya
masuala ya Habari, Nape, kama
uamuzi uliolishitua TEF na
wamewasiliana naye wakielezea
mshituko na masikitiko yao.
“Hatuwezi kuvumilia kufungiwa
kwa vyombo vya habari,
kukamatwa na kunyanyaswa
kwa waandishi, miaka miwili
iliyopita nilitakiwa kujisalimisha
makao makuu ya polisi,
nikafikishwa mahakamani na
nikashinda kesi, naelewa
maumivu ya mapambano haya,”
ameeleza Kibanda.
Kwa upande wake Kubenea,
amesema Serikali kupitia Nape
imechukua uamuzi wa kikatili
dhidi ya gazeti la MAWIO ili
kuzima sauti ya wananchi kwa
hoja zisizo na mashiko ikiwemo
ile ya uchochezi ambayo
imekuwa kisingizio cha
watawala kwa muda mrefu.
“Katika toleo la MAWIO lilimnukuu
Maalim Seif akijitangaza mshindi,
yeye hakuitwa mchochezi, Jecha
amefuta uchaguzi wakati hana
mamlaka ya kisheria wala ya
kikatiba hakuitwa mchochezi ila
gazeti kuandika ushindi
uliotangazwa na Seif
limefungiwa,” ameeleza Kubenea.
Kubenea ameongeza kuwa,
ubovu wa sheria ya magazeti ya
mwaka 1976 umekuwa
ukitumiwa na serikali kuviadhibu
vyombo vya habari vinavyofichua
maovu, huku mahakama
ikithibitisha mara kadhaa kuwa
madai ya uchochezi
yanayotolewa na serikali hayana
mashiko.
“Jabir ni Mwandishi aliyebobea
kitaaluma na uzoefu, ameandikia
magazeti ya Uhuru, Mzalendo,
Majira na New Habari huko kote
hakuitwa mchochezi wala
hakukamatwa.
“Nape alikuwa mmoja wa
waandishi na vyanzo vya taarifa
za MwanaHALISI kipindi hana
madaraka CCM, mbona
alishirikiana na sisi kuibua
maovu kama sisi ni
wachochezi?” alihoji Kubenea.
Jabir na Mkina wamekuwa
wakitafutwa na jeshi la polisi
kwa siku tatu mfululizo tangu
Jumamosi kwa tuhuma za
uchochezi huku jaribio la
kuwakamata likishindikana mara
kwa mara kutokana na kutojua
walipo mpaka walipoamua
kujisalimisha jana.
Mbali ya Kubenea na Kibanda,
walisindikizwa pia na Mhariri
Mtendaji wa gazeti la
MwanaHALISI, Ansbert Ngurumo
pamoja na wakili wao, Fredrick
Kihwelo.