Kubenea ampa onyo kali Nape

Kubenea ampa onyo kali Nape

Hapa onyo liko wapi?

- Kubenea anatapa tapa na hela za kutumiwa, anachotakiwa kuelewa ni kwamba sasa kuna Serikali mpya kwanza atafungiwa magazeti yake and next atafungwa yeye mwenyewe, akitaka kuendelea kuwa muandishi wa habari aandike kama magazeti mengine ule uandishi wake wa kutumiwa na kuvuta pesa sasa basi, halafu ajue kwamba hata hao wanaomtuma soon na wao wataionja joto ya jiwe. Kunenea hawezi kumpa onyo Waziri wa Serikali ya jamhuri angekuwa na huo uwezo asingefungiwa maisha hilo gazeti lake la kiudaku daku!!

le Mutuz
halafu wee mzee una tatizo gani aisee ? tangu ulipotimuliwa na bulembo kwenye jumuiya ya wazazi ya ccm ni kama umechanganyikiwa hivi !
 
Napinga Mawio kufungiwa
lakini naamini Mawio wana upungufu mkubwa wa maadili

Kubenea ni vizuri akajitazama na kujitathimini
ana make headlines for all the wrong reasons....

Mara vyeti vyake vimefanyaje
mara Zitto waparurane
mara yuko katikati ya uchaguzi wa Meya
mara hili.....

wapiga kura wake wanamtazama tu....wasije kumchoka so fast
Ina maana kumiliki chombo cha habari mpk uwe msomi wa kiwango fulani. Tukubali tusikubali kuna hitajika uhuru wa kuandika kwa mtazamo wa aina hiyo ya habari(utafiti). Ndiyo maana sijaona mtu kwenda mahakamani kushitaki. Kuna magazeti yana andika uongo wa dhahiri lkn sioni hata mmoja hapa kusema. Kama maawio limechapisha habari mbaya washitakiwe lkn si kufungia gazeti. Kubenea anathubutu kutujuza ambayo magazeti mengine hayana ubavu huo. Nyie watawala angalieni kwanza mabolti yaliyomo kwenye macho yenu ndipo muwe na haki ya kuangalia vibanzi kwenye macho ya maawio.
 
Mkuu kama lina upungufu mkubwa wa maadili basi kufungiwa ni haki yake. Hakika nakuambia ya kwamba Kubenea hatarudi bungeni 2020
Kwa ubungo haitawahi kutokea ccm walichukue jimbo iwe kwa mabao ya mkono, Kubenea anathubutu angalia kuna magazeti yanaandika uongo wa wazi. Mshitaki aliyeandika gazeti liachwe kwa nini mfungie gazeti, aitwe atoe ushahidi kama traitor azodolewe. Aina hii ya unafiki imetufikisha hapa kusema ukweli hakuna, znz kuna mazungumzo gani mapande ya miti yamejaa kwenye macho yenu kazi kuangalia vijiuchafu kwenye macho ya wengine
 
Serikali inang'ata pale inapochikonolewa inatakiwa isifiwe tu sifa mpaka ivimbiwe
Uandishi wa habari una miiko yake kama taaluma zingine. Ukiuka unafutwa kwenye daftari la wana taaluma husika duniani kote. Siyo suala la Serikali kung'ata ikochonolewa.

TAFAJARI CHUKUA HATUA
 
Ina maana kumiliki chombo cha habari mpk uwe msomi wa kiwango fulani. Tukubali tusikubali kuna hitajika uhuru wa kuandika kwa mtazamo wa aina hiyo ya habari(utafiti). Ndiyo maana sijaona mtu kwenda mahakamani kushitaki. Kuna magazeti yana andika uongo wa dhahiri lkn sioni hata mmoja hapa kusema. Kama maawio limechapisha habari mbaya washitakiwe lkn si kufungia gazeti. Kubenea anathubutu kutujuza ambayo magazeti mengine hayana ubavu huo. Nyie watawala angalieni kwanza mabolti yaliyomo kwenye macho yenu ndipo muwe na haki ya kuangalia vibanzi kwenye macho ya maawio.
Kila kitu kimefanywa kisheria na hatuendeshi nchi kwa hisia. Eti kama imefanya hivi washtakiwe na sio kufungiwa....Sheria ya magazeti umeisoma? Unajua kuwa waziri kapewa mamlaka kisheria kufungia gazeti na taratibu zote zimeelekezwa kisheria? Sasa kama mamlaka anayo tena kisheria na ameyatumia mamlaka yake....kuna haja gani tena ya serikali kwenda Mahakamani!?

Mijitu mingine sijui mkoje...mnaandika ukinga tu kwenye mitandao.
 
Uandishi wa habari una miiko yake kama taaluma zingine. Ukiuka unafutwa kwenye daftari la wana taaluma husika duniani kote. Siyo suala la Serikali kung'ata ikochonolewa.

TAFAJARI CHUKUA HATUA
Miiko imewekwa ili kuficha ukwel na kufunikafunka maovu,,serikal haipend kuchokonolewa hahahahahaha
 
Kila kitu kimefanywa kisheria na hatuendeshi nchi kwa hisia. Eti kama imefanya hivi washtakiwe na sio kufungiwa....Sheria ya magazeti umeisoma? Unajua kuwa waziri kapewa mamlaka kisheria kufungia gazeti na taratibu zote zimeelekezwa kisheria? Sasa kama mamlaka anayo tena kisheria na ameyatumia mamlaka yake....kuna haja gani tena ya serikali kwenda Mahakamani!?

Mijitu mingine sijui mkoje...mnaandika ukinga tu kwenye mitandao.
Waziri mwenye mamlaka kapewa chance ya kufungia kisheria,,,hiyo sheria mbovu ndio kandamiz hata wazir akiwa na chuk binafs atafungia tu hamna namna not fair kabisa serikal haipend kusemwa km inakosea
 
Kumbe NAPE nae ALIKUWA NI CHANZO CHA HABARI MWANAHALISI KABLA hajapewa cheo...

So, NAPE alikuwa anatoa habari nyeti sana MWANAHALISI kabla ya kupata CHEO.... leo anajifanya hajui kitu... CHEO ni dhamana...

As usual, MAWIO WATAFUNGUA KESI, WATASHINDA, WATALIPWA BILLIONS na, SERIKALI... kisha NAPE ATAPATA 10% HAPO... this is a game of MIND...!!!!
 
Wanaosapoti kufungiwa Mawio hawajatembea inchi nyinginevna kufuatilia uhuru wa vyombo vya bahari.
 
I second you 100%. Kubenea anatakiwa kujitathmin kama bado ni mwanaharakati au mwanasiasa kwani yeye kwa sasa hivi ndo amekua ndo headline ya mambo mengi yenye utata
Kanjanja huyo sio lolote
Kila mwenye kujua ukweli huyo ni mnafiki apiga vita watu baade anawatetea hafai hata kusoma habari zake
 
Afungiwe tu, yeye ni nani kila siku yupo kuchochea ugomvi na machafuko,kwanza achunguzwe kama ni mtizeee

Unaenda mbaali sana mkuu. kumbuka kama hayo mambo yasingekuwepo basi asingeandika chochote, ila yapo na ndomaana anaandika ila labda useme ile namnaya uandishi wake tu na si vinginevyo.
 
Kusema ukweli tukiacha unazi wa uchama na kiupinzani...gazeti la MAWIO lilikuwa likiandika habari zake kinyume na maadili ya kiundishi...ingawa sikubaliani na suala kufungiwa kwake lilipaswa kupewa onyo tu....
Kweli mkuu, onyo tena kali anastahli Mawio ila kufungiwa hata mimi napinga sana tena kwa kelel kubwa sana, hapa Nape hajafanya fair hata kidogo. Yani nikama ameagizwa hivi afanye, Sidhani kama ni akili yake timamu au labda ni sababu ya hicho cheo ambacho hajawahi kukitumikia hapo kabla ndo kinampa hilo w-ng-????
 
Napinga Mawio kufungiwa
lakini naamini Mawio wana upungufu mkubwa wa maadili

Kubenea ni vizuri akajitazama na kujitathimini
ana make headlines for all the wrong reasons....

Mara vyeti vyake vimefanyaje
mara Zitto waparurane
mara yuko katikati ya uchaguzi wa Meya
mara hili.....

wapiga kura wake wanamtazama tu....wasije kumchoka so fast

naheshim sana michango yako hapa kwa hii forum lakin kwa hili naona umekosea, nilitegemea kama mdau ulitakiwa ufaham kuna haki za binadam kuhusu freedom of information, people need to know, hiyo haki haiwez pokonywa na chochote.

pili nilitegema utaongelea sheria ya magazeti inayompa waziri mamlaka ya kufungia chombo cha habari, ikumbukwe wazir ni cheo cha kisiasa ni mwanachama mtiifu wa chama flan na hadi upewe uwazir ni lazima uwe mwanachama kindakindaki hasa!

nape ni ccm mtiifu, habari yoyotr itayohusu kuichafua chama chake na hence serikali yake likely itamuudhi na kwa vile ana mamlaka atayatumia kuiadhibu hicho chombo cha habari.

nategemea wadau wote kwa ujumla wetu tunaotaka demokrasia ikuwe na freedom of the press sheria ibadilishwe suala la kufungia chombo cha habari liwe la mahakama au TCRA sio waziri ambae ni cheo cha kisiasa period.
 
Kweli mkuu, onyo tena kali anastahli Mawio ila kufungiwa hata mimi napinga sana tena kwa kelel kubwa sana, hapa Nape hajafanya fair hata kidogo. Yani nikama ameagizwa hivi afanye, Sidhani kama ni akili yake timamu au labda ni sababu ya hicho cheo ambacho hajawahi kukitumikia hapo kabla ndo kinampa hilo w-ng-????
Haya ni moja ya maamuzi ya kukurupuka ya serikali ya Magufuri....lazima atambue kuwa hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sio kwa utashi wake yeye binafsi...
 
k
Haya ni moja ya maamuzi ya kukurupuka ya serikali ya Magufuri....lazima atambue kuwa hii inaongozwa kwa mujibu wa katiba na sio kwa utashi wake yeye binafsi...

KWELI MKUU INABIDI WAJIANGALIE SANA MAANA BADO MAPEMA, Haya maamuzi ya kutafuta sifa si mazuri kwa maana waelewa skuhizi ni wengi, sio kama zamani enzi za mchonga.
 
Back
Top Bottom