Kubali basi shikamoo ya mwanao

Kubali basi shikamoo ya mwanao

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,224
Reaction score
1,258
Habari zenu wanajamii forum.Leo nataka niwachane wale wanaume ambao dada zetu wanawapa SHIKAMOO halafu wanazingua kujibu mara utaona wanajibu POA,ASANTE,MAMBO SAFI hii tabia tabia jamani hapana unakuta anayesalimiwa naye mwingine kama mjukuu wake lakini babo mbaba anakomaa na kujibu POA JAMANI KAMA KUNA WANAUME WA NAMNA HII HUMU JAMII FORUMS ACHENI kubalini umri umeenda yaani kila mtu anataka aambiwe mambo wengine mmekuwa watu wazima kubalini SHIKAMOO jamani kwani iko nn
NB-Ni mtazamo tu jamani msijenge chuki
 
Wewe ni She/He?

Una umri gani?
 
hahaaaa zeee zima unaliamkia, linajifanya kama halijasikia, utasikia mambo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom