Kubali basi shikamoo ya mwanao

Kubali basi shikamoo ya mwanao

Kulinda mali zangu zisiliwe na mafisi yenye tamaa...

We tutaongea chumbani

Nani alikudanganya Daslam kuna wazee??
mi sio mali yako kwanza unanipeperushia ndege wangu ujue.:llama::llama:
 
Yaan nikiamkia mtu asipoitkia ipasavyo hata hyo mambo apat ntampita ka kisiki

Hao ni watu wazima hovyo
 
Zamani nlikua sipendi neno marahaba,.Atleast kipindi hiki.Hili neno silipendi ndo basi tu naona umri unasonga shikamoo znaongezeka pia.
 
Sipendi neno marahaba jamani, basi tu umri unanifanya nilitamke.
 
Hivi shikamoo bado zipo tu!? Mie nilidhani ziliisha tangu mwaka 47 lol!!!! Rafiki yangu Fixed Point anapenda shikamoo jamani dah!!!!

Last edited by a moderator:
yani katika mambo nayochukia ni kupewa neno Shikamoo.. ukitaka kuzeeka ruhusu kupewa shikamoo. mi huwa najibu POA. tena wengine hata hawatamki vizuri utaskia "Shkao"
 
Haha haha
Ng'ombe hawazeeki maini.

Ila hapa mjini usipokuwa makini unaweza tukanwa kisa umemsalimia mtu.

Kwani si mshaambiwa uzee unaishia msata???
 
yani katika mambo nayochukia ni kupewa neno Shikamoo.. ukitaka kuzeeka ruhusu kupewa shikamoo. mi huwa najibu POA. tena wengine hata hawatamki vizuri utaskia "Shkao"

hahahahaaaa! nimechekajee! eti shkao!
 
hahahahaaaa! nimechekajee! eti shkao!

ni shidah, unaweza ukapishana na mtu akaishia kutamka "Sshiiiii" bas, utafkiri anafukuza paka alafu unajikuta unamjibu marhaba. wallah shikamoo zipigwe vita sasa
 
hehehehehehehe mi kuna mjombaangu hata akiamkiwa na wanangu anaitikia "ah safi tu hamjambo"
khaaaaa!
 
Hivi shikamoo bado zipo tu!? Mie nilidhani ziliisha tangu mwaka 47 lol!!!! Rafiki yangu Fixed Point anapenda shikamoo jamani dah!!!!

ahahahahahahahahaha we!
ukitaka mgombane na Fixed Point usimwamkie huku anajua we mdogo!
chaaaaaa!
nataka kuanza mgomo wa kumuamkia kwa kweli!
nimechoka kumwamkia kila siku!
ndyuuuukiiiiii
 
Last edited by a moderator:
lol! akikutana na mkaka/mdada baada kusalimiana kama hakupewa shikamoo basi ataanza, "Unajua mimi mkubwa kwa kwako eeh! haya nipe shikamoo yangu" hahahahaha na haondoki mpaka apewe heshima yake.

ahahahahahahahahaha we!
ukitaka mgombane na Fixed Point usimwamkie huku anajua we mdogo!
chaaaaaa!
nataka kuanza mgomo wa kumuamkia kwa kweli!
nimechoka kumwamkia kila siku!
ndyuuuukiiiiii
 
Mwenyewe sipendi shikamoo, kwanza hiyo "SHIKAMOO" ina maana gani? Mtu unatamka neno hata maana akilini halileti, mie watu wazima kuna njia huwa nawasalimia, wadogo kwangu nawaambia kabisa watafute njia mbadala ya kusalimiana na mimi...!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom