Kuasili mtoto

Kuasili mtoto

Hicho kisa cha pili umenigusa sana Kasinde!

Ahsante sana. Na mchango kama huu wako ndo nilitegemea ingejaa hapa lakini kwa bahati mbaya haijawa hivyo.

Hivi mtu unawezaje kumtupa binadamu mwenzio tena aliye mchanga hivyo?

Natamani sana walau Tanzania kungekuwa na safe haven laws [kama hazipo tayari] ambazo walau zitapunguza wachanga kutupwa kama takataka.

Ahsante sana kwa mchango wako maridhawa.

I owe you a steak dinner at a place of your choice [I'd prefer Kempiski, if you know what I mean].

Halafu tukitoka hapo tunaenda kucheza Duro...baby kpalanga.

Karibuu. ......

Kuhusu ofa ya mlo wa jioni imekubaliwa..... nimekuelewa vyema Ngabu.....

Hahahahhaaa duroo. ...aah duroo. ...
 
If you mean in Bongo now is Hyatt not Kempiski anymore.
 
.

Kwa upande mmoja naelewa kwa nini serikali imefanya mchakato uwe hivyo ulivyo. Nadhani nia ya wao kufanya hivyo ni njema maana hapo ni maisha ya mtu na maisha ya mtu, tena mtoto, si ya kuchezea.

Lakini kwa upande mwingine serikali inaweza kuboresha matunzo na huduma za hao malaika.

Hayo masharti kwangu wala si kikwazo kabisa. Nayakidhi kirahisi sana.

Aisee...natamani usikate tamaa. Ukiasili utakuwa umetenda wema sana.

Mbona Ethiopia na Malawi hawana sheria ngumu hivi! Huko watoto wanaasili kirahis sana.
 
Namjua mama mmoja, alikaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka mitano bila kupata Mtoto. Akashauriana na mume wake wachukue mtoto wa ndugu wamlee, hakuna ndugu aliyekuwa tayari kutoa mtoto alelewe na ile familia. Mama akaamua kuanza process za ku adopt kutoka kwenye orphanage ya watoto Lakini mume wake hakukubaliana naye.
Mama hakufanikiwa kupewa Mtoto awe part ya familia kwa sababu hakupata support kutoka kwa mume wake.

Akaamua kuchukua jukumu la kumlea yule Mtoto akiwa hapo hapo orphanage anamlipia Ada ya shule, matibabu,mavazi chakula na matumizi mengine. Mtoto yuko darasa la nne sasa hivi.

Mwaka haukupita tangu yule mama aamue kumlea mtoto wa orphanage alipata mimba na sasa ana watoto wawili wa kuwazaa.
 
Karibuu. ......

Kuhusu ofa ya mlo wa jioni imekubaliwa..... nimekuelewa vyema Ngabu.....

Hahahahhaaa duroo. ...aah duroo. ...

Pouwa pouwa...halafu tukitoka hapo tutaenda kwenye kisiwa changu....hujaupata ubuyu wewe?

Nina kisiwa huko Bongoyo kinaitwa 'Ngabu Island'😀. [ Kiranga]

Btw, tell 'em what my name is...
 
penye utamu pana uchungu, upo tayari?

Kama njia ya kuupata huo uroda ina uchungu basi nipo zaidi ya tayari Mwajuma.

Nipo tayari kukung'ang'ania ng'ang'anu.

Ntakung'ang'ania shingoni kama tai au kiunoni kama mkanda.
 
Namjua mama mmoja, alikaa kwenye ndoa kwa muda wa miaka Mitano bila kupata Mtoto. Akashauriana na mume wake wachukue Mtoto wa ndugu wamlee, hakuna ndugu aliyekuwa tayari kutoa Mtoto alelewe na ile familia. Mama akaamua kuanza process za ku adopt kutoka kwenye orphanage ya watoto ingawa mume wake hakukubaliana naye. Mama hakufanikiwa kupewa yule Mtoto awe mwana familia kwa sababu hakupata support kutoka kwa mume wake.

Alichofanya aliamua kuchukua jukumu la kumlea yule Mtoto akiwa hapo hapo orphanage anamlipia Ada ya shule, matibabu,mavazi chakula na matumizi mengine

Hiyo nayo ni alternative ingine.
 
Mbona Ethiopia na Malawi hawana sheria ngumu hivi! Huko watoto wanaasili kirahis sana.

If all those stringent laws are there to safeguard the interests of those children then I'm all for it.

But they have to be within reason.
 
Kwa wastani huchukua muda gani?
Mchakato wa kuasili mtoto kwa Tanzania una urasimu (kwa nia njema tu ya kulinda maslahi [hasa] ya mtoto husika. Ni lazima uwahusishe watu wa Ustawi wa Jamii ambao watafanya mahojiano na wewe. Nadhani (sikumbuki vizuri) unatakiwa kuishi Tanzania kwa angalau miaka mitatu mfululizo.

Nafanya utafiti na kusoma kidogo nitakujulisha.

Kaka ...
 
Haya ahsante Kaka.
 
Kama njia ya kuupata huo uroda ina uchungu basi nipo zaidi ya tayari Mwajuma.

Nipo tayari kukung'ang'ania ng'ang'anu.

Ntakung'ang'ania shingoni kama tai au kiunoni kama mkanda.
Hahahahah, haya njo uchukue. Lol
 
Back
Top Bottom