Kuasili mtoto

Kuasili mtoto

hamisi si ufanye mambo tu umtaftie kisura mwenzie achana na mambo ya kuasili. labda ufungue NGO ya kuwalea kama shida ni kuchangia kwenye jamii.

Eti eeh?

Ngoja basi nirudishe majeshi kwa haka ka 'beauty queen' ka Kichaga😀.
 
Hahahahaaa

Dah umenishusha hadhi. Kuna wachuchu ukisema Masaki wanajua ni kale kamtaa pale Kerege....

Bora unifagilie nna gereji pale Temeke kwa Sokota kuliko nimiliki ghorofa Masaki...

Kupanga ni kuchagua.
Unataka kutajiwa sifa tu, madeni yako ninayokudai mbona hutaki nitaje?
 
hehehehe, hako kapya au? mi nakajua kabeauty ka kiarabu

Hako siyo kapya.

Nataka nilikagawa lakini nataka nimnyang'anye niliyemgaia...

Halafu...ka Kiarabu ka wapi tena hako? Umenipoteza hapo...
 
Unataka kutajiwa sifa tu, madeni yako ninayokudai mbona hutaki nitaje?
Sasa blaza... mambo ya kibinafsi tutajadili pembeni basi. Hata hivyo nlikuwa nakuaga.. naelekea Sumbawanga na kule kama unavojua hakuna 'network'.
 
Sasa blaza... mambo ya kibinafsi tutajadili pembeni basi. Hata hivyo nlikuwa nakuaga.. naelekea Sumbawanga na kule kama unavojua hakuna 'network'.

Sumbawaga hata Halotel hakuna?

Huku Ikungulyabashashi ni mwendo wa Halotel tu...hupotezi network
 
Back
Top Bottom