Siku hizi watu wanachakachua mada[emoji12] [emoji12]
Eeeeh, kumbe mada kama vile ina ubuyu. Ngoja nisome comments zote.kina Mwaj hatupitwagiMada ilivamiwa na watu wenye agenda zao zingine ikabidi tu nami niende na flow....ndo wakatulia kidogo.
Sijui walikuwa wanataka kumrusha roho nani...
Sasa si umeingia kwenye anga zake jamani!ila hana adabu bhana...mwambie
Eeeeh, kumbe mada kama vile ina ubuyu. Ngoja nisome comments zote.kina Mwaj hatupitwagi
Hahahhahaha. Pole hamisi, tuta wa ndi ndi ndi hao.we waache tu. Haya turudi kwenye mada[emoji4]Oohooo we unaishi chini ya mwamba gani?
Siyo kwamba kuna ubuyu...kuna mbuyu kabisa, chambilecho Kiranga.
We mada inazungumzia mambo ya kuasili watoto halafu watu wanakuja na habari zao za kupendana wapi na wapi.
Ustaarabu hauuzwi dukani.
Hahahhahaha. Pole hamisi, tuta wa ndi ndi ndi hao.we waache tu. Haya turudi kwenye mada[emoji4]
Au umuasili cousin wa kisura nn apate maraha ya USA. HahahhaSasa...cousin wa Kisura vipi? Mbona hukunitonya? Vibaya hivyo bana....ningeleta hata vijizawadi vya USA baby.
Au umuasili cousin wa kisura nn apate maraha ya USA. Hahahha
Sasa si umeingia kwenye anga zake jamani!
Ni kawaida ya gentleman kulinda himaya yake ati.
Halafu yule mdada mliendeleaje?
Hahahhahahaha! Sasa hapo kama vipi muasili na baba yake tu get two for free. LolHeheheeee ngoja niwaasili wote na mama 'ake.
Hiyo inaitwa BOGO - Buy One Get One free...
USA baby
Wewe ni mjanja bhana...mwelewa alafu rafiki...alafu JF ni familia...hata kama ni mume, ***** si tunamtolea mbavuniii...mwambie alikosea ku mind....
Hahahhahahaha! Sasa hapo kama vipi muasili na baba yake tu get two for free. Lol
Am sorry kama umekwazika... Wote hapa tunaburudishana tu kupata changamko la moyo... Never mind take easyWewe ni mjanja bhana...mwelewa alafu rafiki...alafu JF ni familia...hata kama ni mume, ***** si tunamtolea mbavuniii...mwambie alikosea ku mind....
Heheheh, halafu unitambulishe mama kisura basi. LolNo no no.
Baba no.
Labda baba aasiliwe na mama Kisura.
Heheheh, halafu unitambulishe mama kisura basi. Lol
Nimekuelewa kaka lakini nadhani kuna kitu kimoja ambacho labda sikukigusia au sikukiweka wazi.
Ni hivi, pindi nitakapofanya hivyo [kuasili] basi nitachukua asiye na wazazi wala ndugu.
Wapo watoto wa hivyo.
Hao watoto wa ndugu unaowazungumzia wewe, umeshasema kabisa kuwa wana wazazi.
Sasa kama wana wazazi kwa nini mimi nijibebeshe wajibu wao? Si kila mtu awajibike na vyake, au?
Lengo langu ni kuasili mtoto yatima ambaye hajui hata ndugu zake ni akina nani.
And believe you me, that boy or girl will be the luckiest child in the world once he/she becomes my child.
I know how to take care of children.
HahaahahahahaDaa mkuu huna hata ka GF tukujazie mimba ulelee bro? Please nina mbegu nzuri sana!
Hapo nakuunga mkono kabisa. .
Ukiasili watoto wenye wazazi au ndugu , jipange sawasawa. .. Kuna kero ndogo ndogo ambazo huongezeka mtoto anavyokuwa.
Nilijaribu kulea mmoja mwenye mama ila walikuwa wanaishi katika mazingira magumu,
Nakiri kwamba rangi zote za kuumiza moyo wangu niliziona. ..
Baadhi ya wazazi /Ndugu huwa wasumbufu sana. Mwishoni inakuwa kama umeasili ukoo mzima. ..