ISIS
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 96,073
- 858,529
Hajaopata bado, achana naye!Hapana mkuu nitafunga kwa ajili ya maombi zaidi
Hajaopata bado, achana naye!Hapana mkuu nitafunga kwa ajili ya maombi zaidi
kabisaaaUnachokikimbia utakipata samaki wa wiki mbili wapo kwenye freezer baada ya wiki mbili unakula ulichokimbia.
Kuwaombea ili iweje? Kama wao hawakujiombea wakiwa hai wewe utawaombea wakiwa wafu ili iwe je? Yaandae maisha yako kabla ya siku yako maana hujui ni lini? Siku yako ya kufa usitegemee kuombewa.
Ya siku ngapi! Na yanahusu nn? Kama ni uoga wako eti sangara watakula miili ya watu unapoteza muda wako we kula tuKula nitakula ila nafunga kwa mda kidogo maana nitakuwa na maombi maalum
Unawaombea ili iwe je? Huku tayari waliisha kufa ni sawa kuombea mti uliokaukaKuombewa nitaombewa sasa ibada ya mazishi si ndo maombi tayari?
Watakuwa na chumvi sana
Waliokufa katika Mv Bukoba walikuwa wengi sana kuliko hao, na kipindi kile samaki haswa sangara walikuwa wakubwa na wengi, kupata sangara wa kilo zaidi 150 ilikuwa kawaida tu. Nakumbuka wanawake walisusa kupika sangara kwa muda wakiogopa kukutana na nyama za binadamu
Mungu hapangi watu wajazane bila mpangillio halafu warundikane mlangoni kugombea kutoka mwanzoSawa mkuu Stand! Mimi nikipata hao samaki nitakula tu..kwani hiyo ni mipango ya Mungu, Mungu ndiye amepanga...
Mpuuzi mama yakoAcha upuuzi we jamaa
Ahsante sana Ni kheri yako wewe mwenye mama aliye hai!! Mwenyezi Mungu Amrehemu Mama yangu aliyefariki mwaka jana August, 2017.Pumzika kwa amani Mama yangu.Hakika ni tukio sitalisahau maishani mwangu. Ungeweza kunitukana mimi ningefurahi sanaMpuuzi mama yako
daah aiseehTatizo la kufanya kazi kwa mazoea nasikia eti dereva wa hicho kivuko alipewa deiwaka