Kuanzia wiki ijayo sitokula sato wala sangara

Kuanzia wiki ijayo sitokula sato wala sangara

Sasa uwezo wa kivuko ni kubeba watu 100, nataarifa za awali zinadai kilikuwa kimebeba watu 400, bado kuna mtu anakuja anadai eti kuna jamaa kaacha mkosi.
hapo ndipo ujinga wa baadhi ya watu unapoonekana!! hakuna cha mkosi wala nini!! Tufikie watanzania tuviheshimu vyombo vya usafiri Mzungu anapotengeneza uwezo wa chombo ni kubeba uzito kadhaa basi lizingatiwe!! kumbuka pia Mv Bukoba ilikua wame overload, hii nayo wameoverload!! hii ni shida
 
Kuwaombea ili iweje? Kama wao hawakujiombea wakiwa hai wewe utawaombea wakiwa wafu ili iwe je? Yaandae maisha yako kabla ya siku yako maana hujui ni lini? Siku yako ya kufa usitegemee kuombewa.
 
Imani ya wavuvi nasikia wanaamini ndio samaki watapatikana wengi
 
hapo ndipo ujinga wa baadhi ya watu unapoonekana!! hakuna cha mkosi wala nini!! Tufikie watanzania tuviheshimu vyombo vya usafiri Mzungu anapotengeneza uwezo wa chombo ni kubeba uzito kadhaa basi lizingatiwe!! kumbuka pia Mv Bukoba ilikua wame overload, hii nayo wameoverload!! hii ni shida
Tatizo la kufanya kazi kwa mazoea nasikia eti dereva wa hicho kivuko alipewa deiwaka
 
Back
Top Bottom