Kuanzia wiki ijayo sitokula sato wala sangara

Waliokufa katika Mv Bukoba walikuwa wengi sana kuliko hao, na kipindi kile samaki haswa sangara walikuwa wakubwa na wengi, kupata sangara wa kilo zaidi 150 ilikuwa kawaida tu. Nakumbuka wanawake walisusa kupika sangara kwa muda wakiogopa kukutana na nyama za binadamu
Watakuwa na chumvi sana
 
Duu.. kwa hiyo hapa napo sangara watazidi uzito.
 
Back
Top Bottom