Mengi ni moja ya watu wanaoleta mgawanyiko wa watu Tanzania. Anajitahidi aonekane mwema ila siku zinavyozidi watu wanamshitukia.
Amekaa kimaslahi sana na biashara zake. Mwisho atakuwa anauwezo wa kutuamlia Watanzania.
Kaa chonjo!!
CHADEMA na MENGI mmechokozwa, mmpumlie , ila alichokisema kina ukweli fulani.
Kaa pembeni wwe msaliti na act yako
Alitaja ila alimsahau Kumar Pumbur Amita Bachani
Sio kweli ITV wamerusha habari moja ya ATC wamerusha habari nyingine tatizo atc wanataka habari zao zirushwe sawa na ccm au cuf au chadema wakati kuna vyama avijawahi kupewa kipaumbele na vina mbunge sio habari zote za ccm chadema au cuf zinarushwa na ITV naomba uelewe
ITV ni chombo huru cha habari. Kina uhuru wa kuonyesha au kutoonyesha chochote chenye interest kwao. Acha kutokwa mapovu. Angalia Bango TBC
Kwani ITV inasapoti CDM? Nye shida akili inaangalia upande mmoja kama ngamia.
Badirika!!!
Kwanini hawaoneshi habari za ACT? Kama wana hitaji pesa kurusha habari bora waseme...
Hii habari iwafikie na nime watumia email infor@itv.co.tz nasubiri wanijibu hututaki huu ujinga wa kubagua habari.....!
Dotto C. Rangimoto
Kuonesha mikutano ya kisiasa na maamuzi tu ya chombo husika! Kama siku hiyo kuna matukio mengine muhimu ya kijamii sio lazima waoneshe matukio ya kisisa tu! Huwezi kuwapangia waoneshe unachotaka wewe! Kama huangalii ni wewe tu na huna impact yeyote kwa chombo hicho, mbona hulalamikii SIBUKA
MAISHA nayo ni TV eti?
Kwanini hawaoneshi habari za ACT? Kama wana hitaji pesa kurusha habari bora waseme...
Hii habari iwafikie na nime watumia email infor@itv.co.tz nasubiri wanijibu hututaki huu ujinga wa kubagua habari.....!
Lkn wananchi wanahaki ya kupata habari
Mimi nawauliza Bavicha tukitoa habari ya uzinduzi wa chama cha ACT ni habari gani ya ACT ilishawai kurushwa ITV ? ITV siku hizi hawatende haki kabisa kwenye kutoa habari kabisa hasa hawa watendei haki ACT....!
Mengi ni moja ya watu wanaoleta mgawanyiko wa watu Tanzania. Anajitahidi aonekane mwema ila siku zinavyozidi watu wanamshitukia.
Amekaa kimaslahi sana na biashara zake. Mwisho atakuwa anauwezo wa kutuamlia Watanzania.
Kaa chonjo!!
Uwatumie email we kama nani!
Itv wameshaonyesha kwamba wana mlengo gani hawa ni chadema damu usitarajie kupata habari za vyama vingine kwa uzito sawa na chadema
ITV KAMA TANZANIA DAIMA.
Wamekaa kupromoti kanda ya Kaskazini baadaya ya uzalendo wa taifa. Angalia, magazeti yote yameacha habari yanaleta yale yale. Imekuwa kama magazeti ya CDM, ingawa IPP imezidi maana haibagui CDM na CCM kwa vile wanatoka huko.
Tunaomba wajue, wakiendelea na haya, wasisubutu kudanganya umma zaidi. Tumewaona.