GE2025 Kuanzia Sasa hakuna tena dharau kwa Watanzania

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,553
Reaction score
57,843
Kuanzia leo baada ya huu uchafuzi

Hakuna tena Mtanzania atakaye chukuliwa poa .

Iwe kwenye huduma au siasa au chochote.

Kuanzia Leo uchawa utakoma

Uhuni utaisha urasimu na ufisadi utapungua.

Hakutakuwa na utekaji tena Wala watu kuuawa ovyo tena.

Tanzania itapitia mabadiliko makubwa ambayo hayajawai kushahudiwa toka tupate Uhuru.

Tanzania haitakuwa ile tena watu tutaheshimina tena ule utu wa mtu kutwezwa na vijana kutukanwa ndio umezikwa rasmi leo.

Vijana wa TANZANIA hongereni kwa kupigania haki kwa ajili ya faida ya vizazi vijavyo.

Waliokufa Mungu awalaze mahali pema peponi ni mashujaa wa Taifa

Tanzania haitakuwa tena Shamba la Bibi I'm so proud of Tanzania.🇯🇲🇯🇲🇯🇲.
 
Kwalipi hasa mlilofanya la ajabu?
 
Dharau ndio kwanza zinaongezeka na zitaongezeka maradufu. Wahuni hawajui njia nyingine yoyote.

Heshima ya kweli ni kuwasikiliza Watanzania nini wanataka.
Vitu kama kodi zetu zinatumika kufanya nini, katiba mpya, dili zote zinazohusu Tanzania ziwekwe wazi, tume huru ya uchaguzi uchaguzi urudiwe, wafungwa, mateka wote wa kisiasa waachie huru, serikali ikomeshe utekaji, utesaji, mauaji na kutupa watu magereza. Mahakama, bunge, vyombo vya habari kuwa huru.

Mpaka wafanye haya ndio mimi nitakubali wanawaheshimu Watanzania.
 
Sidhani kama watakua na dharau kama mwanzoni, sahiz watarudi kwa adabu wakijua watanzania they are capable of that, so wasijisahau
 
Back
Top Bottom