That was back then, sasa USA kuanguka ni ndoto za maskini tu Kwa watu wanaoelewa hawaoti Hizo ndoto China&Russia included.
Kama umefuatilia hii thread huhitaji more evidence unless una intellectual disabilities.
USA has been the pioneer of almost everything in technological world. Uchafu wote wanagundua hawa jamaa na ndio dunia ya sasa inaendeshwa hivi yani mwenye knowledge ndio mwenye nguvu.
Ukiulizwa leo China wamegundua nini sembuse hata hujui walichogundua. Chinese are only good at copying and paste, sababu hawajawekeza kwenye research and development basi watakua waigaji Kwa USA hence kuwa chini ya USA siku zote. You can't be ahead of your mentor it's that simple.
Speaking of industries; viwanda vya China bado vinamilikiwa na waMarekani na wamarekani wanaenda chini Sababu kuna cheap labor na jamaa aren't concerned about pollution as the Americans.
Talking about import and export; as
Nyani Ngabu put it, unadhani bidhaa ni iPhone na Magari tu, unajua hata movies, music, web services nazo pia ni bidhaa. Sasa jiulize nani anaangalia movies za wachina na nani anasikiliza muziki wao