Kuanguka kwa Marekani hakuepukiki

Kuanguka kwa Marekani hakuepukiki

kama ndiyo hivyo miji kama detroit isingeporomoka. ni kweli tunaweza kuwa kwenye information age lakini mahitaji makubwa ya watu ni tangible things.
True...very true...hizi money business ndio zinazosababisha financial crisis...mtu anacheza na capital tu...wanaitaje sijui...venture capital firms ... ni majanga...na umafia
 
I knew of Google way before the rest of the world knew it!

And I keep close tabs on the US Department of Labor's monthly national unemployment rate report(s).

Sasa umekosa jibu la unemployment ya China na US?
 
Watu wameshaacha kuongelea hegemony state...wako kwenye polycentric world...

United States of Amerika ya jana si hii tunayoiona leo.


Wakati ilikuwa exporter mkubwa leo Marekani ni importer. Kumbuka impact kubwa inatokea uchumi wa nchi ambazo zilikuwa soko kwa bidhaa za marekani na sasa nchi hizo haziko tayari kusupply raw material bali products.

Hili linahitaji kwa wenye jicho la kuona mbali zaidi maana wengine wanapima kile ambacho kinaonekana kilichokwisha fanya wakati uchumi umetengamaa. Hali hili iliikubwa pia dola ya kirumi kwa ndugu zetu waitaliano kufikia hatua ukiwa na shilingi kumi za Tanzania utahitaji kiroba cha kubebea change utakazozipata za kiitaliano. Sasa angalia sarafu ya Marekani ni chini ya sarafu ya mwingireza na euro ya mataifa ya ulaya ambapo wakati mataifa hayo yalipokuwa yanaungana Marekani likuwa ikikejeli.
 
Marekani ni taifa la kibepari ambalo limefika kuwa na utajiri mkubwa kutokana na utengenezaji wa bidhaa (manufacturing). Walikuwa wakitengeneze nguo, magari, ndege, meli , electronics na vingine kedekede.



Kutokana na faida mabepari na ma CEO wakawa matajiri na kuanza kuishi maisha ya kifahari. Wafanyakazi wakaona mbona tunapunjwa, wakaunda workers unions na kuanza kudai pesa zaidi. Viwanda vikawapa. Baada ya ww2 japan, ujerumani na uchina wakaanza nao kutengeneza bidhaa. Wafanyakazi wa hizi nchi (hasa china) wakawa wanatengeneza badhaa kwa bei rahisi kuliko wamarekani wanaotaka mishahara mikubwa. Mwisho wa siku bidhaa za bei rahisi zikawa zinauza kuliko za US na mapato ya US kupungua kila siku.


Makampuni kuona gharama za uzalishji US zimeongezeka yakaanza kukimbia. Makampuni ya magari yakaanza kukimbilia mexico na nchi zingine, makampuni ya nguo yakakimbilia china na Bangladesh, electronics yakakimbilia china. Kwa hiyo marekani inapoteza mapato na employments. Ili wajiokoe inatakiwa wakubali kuishi kwa mishahara ya wamexico, wachina na wabagladeshi kitu ambacho hawawezi fanya. Kwa hiyo kwa mtindo huu marekani itazidi kuporomoka.


What is in for us.? Wabongo inatakiwa tupunguze gharama za uzalishaji hasa umeme na kuongeza technicians ili tushindane kuchukua biashara ambazo US na wamagharibi wanaloose.

You are dreaming! USA is the No.1 source of innovations and that's what makes a nation a great power. Of the twenty best universities in the world, ten are in America! Fanya research ndogo tu, bei ya mafuta inaporomoka kwa ajili ya USA. Soon OPEC will be irrelevant. Basically, It is very difficult to dislodge USA from No. 1 spot.
 
Urusi ana mpango na ameisha anza kutumia ela yake kununua na kuuza bidhaa (nishati na vingine)....ili litapunguza nguvu ya dola. Na akifanikiwa kuzishawishi BRICS ....kufuata model hiyo....the shock in the dollar trading will be felt irritably .
 
capitalism ndo mfumo bora wa uzalishaji.... makampuni au viwanda kuhamia mahali refer to factors that Influence location of Industry,NOTE:VIWANDA/MAKAMPUNI YA NJE HAVIINUFAISHI NCHI YAKO KAMA NCHI YAKE
 
Marekani ina kila dalili ya kuanguka.inachofanya ni kuionea kijicho china inayokuwa kwa kasi
 
Urusi ana mpango na ameisha anza kutumia ela yake kununua na kuuza bidhaa (nishati na vingine)....ili litapunguza nguvu ya dola. Na akifanikiwa kuzishawishi BRICS ....kufuata model hiyo....the shock in the dollar trading will be felt irritably .

Akija mtu anataka kununua kitu kwako kwa hiyo pesa ya urusi utakubali? Uongo mwingine hata facebook wanakushtukia
 
capitalism ndo mfumo bora wa uzalishaji.... makampuni au viwanda kuhamia mahali refer to factors that Influence location of Industry,NOTE:VIWANDA/MAKAMPUNI YA NJE HAVIINUFAISHI NCHI YAKO KAMA NCHI YAKE
makampuni yakihamia nchi zingine yanapunguza ajira na kodi kwenye nchi zao japo mabepari wachache huwa tajiri zaidi na kununua majet na mayatch. ni mfumo mzuri wa uzalishaji lakini una kasoro ambazo ndiyo zinapelekea anguko la US.
 
You are dreaming! USA is the No.1 source of innovations and that's what makes a nation a great power. Of the twenty best universities in the world, ten are in America! Fanya research ndogo tu, bei ya mafuta inaporomoka kwa ajili ya USA. Soon OPEC will be irrelevant. Basically, It is very difficult to dislodge USA from No. 1 spot.
nilisoma kwenye gazeti moja kuwa mda si mwingi marekani watakuwa wanacopy tekhnolojia ya kuzalisha umeme wa nuclear kwa wachina. gharama za R&D US zimekuwa kubwa sana na sasa wanafanyia China na India. nikweli US ipo namba 1 lakini ukweli ni kuwa inaporomoka kwa kasi.
 

Utaniambia nini kuhusu USA? I have been there,i lived there,i studied there so when you talk about the US,its my other home. So you know.
Silaha haziui watu,watu ndio wanaua watu.
Ulitaka auze nini? Kama demand ni kubwa. Blame on your leaders ambao badala ya kuuumizwa kichwa kukuza uchumi wa nchi zao wao kutwa kutembea dunia na kununua silaha.
By the way check kitu kipo online. Uone jinsi nchi za africa zilivyo nunua masilaha hatari juzi juzi tu.
 
Back
Top Bottom