Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 21,012
Marekani ni taifa la kibepari ambalo limefika kuwa na utajiri mkubwa kutokana na utengenezaji wa bidhaa (manufacturing). Walikuwa wakitengeneze nguo, magari, ndege, meli , electronics na vingine kedekede.
Kutokana na faida mabepari na ma CEO wakawa matajiri na kuanza kuishi maisha ya kifahari. Wafanyakazi wakaona mbona tunapunjwa, wakaunda workers unions na kuanza kudai pesa zaidi. Viwanda vikawapa. Baada ya ww2 japan, ujerumani na uchina wakaanza nao kutengeneza bidhaa. Wafanyakazi wa hizi nchi (hasa china) wakawa wanatengeneza badhaa kwa bei rahisi kuliko wamarekani wanaotaka mishahara mikubwa. Mwisho wa siku bidhaa za bei rahisi zikawa zinauza kuliko za US na mapato ya US kupungua kila siku.
Makampuni kuona gharama za uzalishji US zimeongezeka yakaanza kukimbia. Makampuni ya magari yakaanza kukimbilia mexico na nchi zingine, makampuni ya nguo yakakimbilia china na Bangladesh, electronics yakakimbilia china. Kwa hiyo marekani inapoteza mapato na employments. Ili wajiokoe inatakiwa wakubali kuishi kwa mishahara ya wamexico, wachina na wabagladeshi kitu ambacho hawawezi fanya. Kwa hiyo kwa mtindo huu marekani itazidi kuporomoka.
What is in for us? Wabongo inatakiwa tupunguze gharama za uzalishaji hasa umeme na kuongeza technicians ili tushindane kuchukua biashara ambazo US na wamagharibi wanaloose.