Kuanguka kwa Marekani hakuepukiki

Kuanguka kwa Marekani hakuepukiki

Utaniambia nini kuhusu USA? I have been there,i lived there,i studied there so when you talk about the US,its my other home. So you know.
Silaha haziui watu,watu ndio wanaua watu.
Ulitaka auze nini? Kama demand ni kubwa. Blame on your leaders ambao badala ya kuuumizwa kichwa kukuza uchumi wa nchi zao wao kutwa kutembea dunia na kununua silaha.
By the way check kitu kipo online. Uone jinsi nchi za africa zilivyo nunua masilaha hatari juzi juzi tu.

We are discussing in totally different wavelengths.

With your last line you have in-cognizant confirmed and reproduced what I depicted.

Kudos American jungle boy.
 
Your conclusion is far removed from your heading.

People are moving towards a knowledge economy now.Ndiyo maana hata hii internet unayotumia imeanzishwa na Wamarekani baada ya wao kuona habari za uzalishaji tuwaachie nyie dunia ya tatu huko huku tunatumia brains kwa sana.

Boraa umemfahamisha huyu dada manake huwagaa anaongea pumba mwambie wamarekani walishalijuaa Hilo miaka 400 iliyopitaa sahv ni matokeo hakunaa jipya kwao.
 
Red Giant

tuition bana... THE RISE OF CAPITALISM IYO EH! ? ilala., kwa ABM (MKUMBA)
 
Last edited by a moderator:
Its just a dream,china is perpetually no2 econocally befor usa.they will never approach us
 
Uchumi wa china pia unakuzwa na utapeli na wizi wa maliasili za watu..refer to chenese president visit to tz
 
Eti I have been there...te te te...
Hivi unajua kuna watu wanaifahamu Tanzania kuliko wewe na hawajawai kutia mguu....

Utaniambia nini kuhusu USA? I have been there,i lived there,i studied there so when you talk about the US,its my other home. So you know.
Silaha haziui watu,watu ndio wanaua watu.
Ulitaka auze nini? Kama demand ni kubwa. Blame on your leaders ambao badala ya kuuumizwa kichwa kukuza uchumi wa nchi zao wao kutwa kutembea dunia na kununua silaha.
By the way check kitu kipo online. Uone jinsi nchi za africa zilivyo nunua masilaha hatari juzi juzi tu.
 
yanamilikiwa na wamarekani na hata yangekuwa US yangekuwa yanamilikiwa na marekani na kutengeneza ajira kwa wamarekani. fikiria kampuni inaondoka na kuacha watu 2,000 bila ajira. hata kamabado linamilikiwa na mmarekani bado ni hasara kwa nchi.

Kweli dua la kuku halimpati mwewe! USA ni land of opportunity hata rasimali zao za ardhin bado hazijatumika na hata wakianza kulima tu bado watalisha dunia nzima utasubir sana ili ushuhudie kufall kwa marekan
 
Marekani ni taifa la kibepari ambalo limefika kuwa na utajiri mkubwa kutokana na utengenezaji wa bidhaa (manufacturing). Walikuwa wakitengeneze nguo, magari, ndege, meli , electronics na vingine kedekede.

Kutokana na faida mabepari na ma CEO wakawa matajiri na kuanza kuishi maisha ya kifahari. Wafanyakazi wakaona mbona tunapunjwa, wakaunda workers unions na kuanza kudai pesa zaidi. Viwanda vikawapa. Baada ya ww2 japan, ujerumani na uchina wakaanza nao kutengeneza bidhaa. Wafanyakazi wa hizi nchi (hasa china) wakawa wanatengeneza badhaa kwa bei rahisi kuliko wamarekani wanaotaka mishahara mikubwa. Mwisho wa siku bidhaa za bei rahisi zikawa zinauza kuliko za US na mapato ya US kupungua kila siku.

Makampuni kuona gharama za uzalishji US zimeongezeka yakaanza kukimbia. Makampuni ya magari yakaanza kukimbilia mexico na nchi zingine, makampuni ya nguo yakakimbilia china na Bangladesh, electronics yakakimbilia china. Kwa hiyo marekani inapoteza mapato na employments. Ili wajiokoe inatakiwa wakubali kuishi kwa mishahara ya wamexico, wachina na wabagladeshi kitu ambacho hawawezi fanya. Kwa hiyo kwa mtindo huu marekani itazidi kuporomoka.

What is in for us? Wabongo inatakiwa tupunguze gharama za uzalishaji hasa umeme na kuongeza technicians ili tushindane kuchukua biashara ambazo US na wamagharibi wanaloose.

TRA is one giant blood sucker for an ordinary Tanzania, they Public Enemy No. 1 for raising taxis, VAT regime and PAYE systems are all major root cause for miserable lives for an ordinary Tanzanian.
For instance high import duty on items thay are not TZ products like Fuel. Who is being protected here!!!
 
kulingana na historia ya ulimwengu huu. Marekani haitegemi kuangushwa, wala hakuna hakuna nchi nyingine itakayotawala zaidi yake isipokuwa ni tupo kwenye ukingo wa historia ya dunia ni kiyama tu baada ya utawala wa marekani na jamaa zake.
 
Kweli dua la kuku halimpati mwewe! USA ni land of opportunity hata rasimali zao za ardhin bado hazijatumika na hata wakianza kulima tu bado watalisha dunia nzima utasubir sana ili ushuhudie kufall kwa marekan
jidanganye land of opportunities. fursa walishatumia wakina rockafeller na carnegie na kuna maconglomerate hadi ya kuuza pipi. pricewaterhouse wanapredict kufika 2060 china watakuwa na trillion 122 na marekani 66. kabla ya kufika huko dolla itakuwa imepigwwwa chini kama dorminant currency.
 
Ombeni uzima mkiona kama hayo muwazayo yatakuja tokea. Ni marekani pekee atae simama. NWO ni yeye atae ileta so usifikiri kirahisi
 
Na ile kampeni ya kwa nini uchumi uko controlled na 1 percent ya population ilikuwa inamhusu nani???
opportunity indeed...

jidanganye land of opportunities. fursa walishatumia wakina rockafeller na carnegie na kuna maconglomerate hadi ya kuuza pipi. pricewaterhouse wanapredict kufika 2060 china watakuwa na trillion 122 na marekani. kabla ya kufika huko dolla itakuwa imepigwwwa chini kama dorminant currency.
 
kulingana na historia ya ulimwengu huu. Marekani haitegemi kuangushwa, wala hakuna hakuna nchi nyingine itakayotawala zaidi yake isipokuwa ni tupo kwenye ukingo wa historia ya dunia ni kiyama tu baada ya utawala wa marekani na jamaa zake.
hata unabii wa daniel unasema kutakuwa na mataifa yenye nguvu na dhaifu. so china inaenda kuwa yenye nguvu zaidi wakati US ikirudi nyuma.
 
Marekani ina kila dalili ya kuanguka.inachofanya ni kuionea kijicho china inayokuwa kwa kasi
wamiliki wakubwa wa viwanda uchina ni hao hao wamerekani waliokwepa MAZINGIRA,human and labour rights za USA
 
We are discussing in totally different wavelengths.

With your last line you have in-cognizant confirmed and reproduced what I depicted.

Kudos American jungle boy.
[h=2]China Slows the Spread of Islamic Terrorism by Shooting Muslims[/h] Posted by sharia unveiled on October 19, 2013

Posted in: Uncategorized. Tagged: China, China Slows the Spread of Islamic Terrorism by Shooting Muslims, Islam, islamic, Jihad, Koran, Muhammad, muslim, Qur'an, Sharia, Sharia Law, terrorism, Uyghur, Xinjiang. 197 Comments




Chinese armed police patrol the streets of the Muslim Uyghur quarter in Xinjiang's capital Urumqi


by, Radio Free Asia | h/t UNPO
[h=4]Chinese security forces shot dead five ethnic minority Muslim Uyghurs in the third consecutive week of fatal shootings in a restive county in the northwestern region of Xinjiang, an exile Uyghur group said Monday, accusing the authorities of a "cover-up".[/h] [h=4]The latest killing in Yingwusitang township in Yarkand (in Chinese, Shache) county, which is administered by the Silk Road city of Kashgar, occurred on Friday when police surrounded a house and gunned down five occupants who had not been suspects of any crime, according to the Munich-based World Uyghur Congress.[/h] [h=4]Dilxat Raxit, the Sweden-based spokesman for the group, accused the authorities of using excessive force in the incident, saying it was unfortunate that the killings came ahead of the Eid al-Adha, the Muslim festival of Sacrifice, to be observed on Tuesday.[/h] [h=4]"Ahead of the festival, Chinese armed personnel surrounded a Uyghur house in Yarkand. They opened fire and caused the death of five Uyghurs. They used excessive force," he told RFA's Cantonese Service.[/h] [h=4]"The authorities have tried to cover up the news. They thought some suspects were inside [the house]," he said, suggesting that the five had done nothing wrong.[/h] [h=4]A staff of the police station at Yingwusitang, when contacted, said he did not know about the shooting incident.[/h] [h=4]A local motel staff said the shooting occurred after "some disruptive people escaped and they [the police] could not arrest them."[/h]
 
Back
Top Bottom