Kuanguka kwa Dr Slaa

Kuanguka kwa Dr Slaa

1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.

Huna akili timamu wewe........hata mpangilio wa thread yako uanaonyesha hujui kupanga hoja,na mara nyingi watu wasioweza kupanga hoja ni member wa CCM...
 
Huna akili timamu wewe........hata mpangilio wa thread yako uanaonyesha hujui kupanga hoja,na mara nyingi watu wasioweza kupanga hoja ni member wa CCM...
Wewe mwenyewe kupanga maneno ni mtihani na wewe utakuwa CCM
 
Ziki za watu hunazipima kwa hoja au unazipimeje ? kumbe wewe bado unalelewa na baba ? pole sana , wengine hapa tunalea watu , sasa jiulize wewe unayelelewa na wanaolea nani mwenye dhiki ?
hivi humu tunajadiliana na kula kulala mnatuboa wengine tunahudumia familia ujadili ukiwa unajua maisha yalivyo
 
posho milioni 7.5 na hakuna kodi. hapo atakosa kuiba wake za watu.

daktari wa wakatoliki ndio maana upadre ulimshinda.

kaikimbia jf kuogopa maswali ya posho.

nape tunakupenda sante kwa kumfukuza slaa jf.
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo 2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasahali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
Hata wale walio kua wanasifia Phd yake ya Ekaristi takatifu kutoka Rome wamekuwa kimya!
 
teh teh wengi wenu dhiki ndo zinawasumbua msiilaumu ccm walaumuni wazazi wenu ndo walikuwa wazembe kutokuwa na elimu ndo mana mpo hapo saivi mnabwabwaja mkiamini padri may be atawakumbuka kwenye ufalme wake
Kama wazazi wako wamepata elimu basi ama hawakukuwezesha na wewe kupata elimu au elimu yao haikuwasaidia kukujengea uwezo wa kufikiri.
 
kuna WATU WANAANDIKA THREAD HUKU WAMEPAKATWA,CJAJUA MTOA MADA KAPAKATWA NAPE AU MSEKWA,HAYA MAMA MTOA THREAD TUAMBIE NANI KAKUPAKATA.
 
Dr. Slaa please hebu usikae kimya, could you please reply/explain nahisi haututendei haki, wewe ni kiongozi wa chadema kitaifa.
 
teh teh wengi wenu dhiki ndo zinawasumbua msiilaumu ccm walaumuni wazazi wenu ndo walikuwa wazembe kutokuwa na elimu ndo mana mpo hapo saivi mnabwabwaja mkiamini padri may be atawakumbuka kwenye ufalme wake
Wewe sio mzima wewe, ni wa kupima!!!!!!
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.

Nadhani wewe utakuwa unaishi sayari nyingine.
 
posho milioni 7.5 na hakuna kodi. hapo atakosa kuiba wake za watu.daktari wa wakatoliki ndio maana upadre ulimshinda.kaikimbia jf kuogopa maswali ya posho.nape tunakupenda sante kwa kumfukuza slaa jf.
Jina zuri akili mbaya, you need a brain transplant!!!
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
Kwa taarifa yako watanzania sasa hivi hawadanganyiki, unajifanya hauna dhiki kwa sababu uko kwenye system, watu wabinafsi kama nyinyi mnaojifikiria wenyewe tu lazima muogope mabadiliko kwa sababu once the system collapse u also collapse so lazima mpinge mabadiliko ili mwendelee kua kwenye system. Tulipofikia mabadiliko hayakwepeki ni kama kuzuia mvua kama inanyesha inanyesha tu kwa hiyo jipangeni vizuri.
 
posho milioni 7.5 na hakuna kodi. hapo atakosa kuiba wake za watu.

daktari wa wakatoliki ndio maana upadre ulimshinda.

kaikimbia jf kuogopa maswali ya posho.

nape tunakupenda sante kwa kumfukuza slaa jf.

Kachimbe dawa wewe, umebanwa.
 
Hata wale walio kua wanasifia Phd yake ya Ekaristi takatifu kutoka Rome wamekuwa kimya!

Inatolewa chuo gani hiyo? By the way do you think by discussing personalities instead of issues we can get Tanzania out of this grinding poverty? People were and are still trusting in Dr Slaa because of his performance when he was an MP (1995-2010) nothing else, others don't even know of his faith just because his nationality preceeds his faith. I think any sober mind would like to have a leader and this case a president who has at least demostrated by word and deed that he has Tanzanians sufferings and miseries at heart and has set a vision for that.

Anyway you and like mind are trapped in political squabling which will not solve Tanzanian problem in any way instead of wasting our valuable time. You have known the status quo are are feaful of the unknow however good it may be, if you are of this mind, i don't dont think you qualify to be a great thinker
 
A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke
Ulijuaje
 
Hata wale walio kua wanasifia Phd yake ya Ekaristi takatifu kutoka Rome wamekuwa kimya!

Inatolewa chuo gani hiyo? By the way do you think by discussing personalities instead of issues we can get Tanzania out of this grinding poverty? People were and are still trusting in Dr Slaa because of his performance when he was an MP (1995-2010) nothing else, others don't even know of his faith just because his nationality preceeds his faith. I think any sober mind would like to have a leader and this case a president who has at least demostrated by word and deed that he has Tanzanians sufferings and miseries at heart and has set a vision for solving them which seems to be implemmentable (manifesto).

Anyway you and like minds are trapped in political squabling which will not solve Tanzanian problems in any way instead of wasting our valuable time. You have known the status quo and are feaful of the unknown however good it may be, if you are of this mind, i don't think you qualify to be a great thinker
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom