Kuanguka kwa Dr Slaa

Nyie watu nawahurumia sana maana mda c mref hata hao wanamagamba watawaomba viboga na mtawapa bila ubish!
 
veeeery very gud headteacher umepatia kabisa arifu, hivyo c.c. magamba tunashinda 2015 bila kizuizi kwani CDM ni slaa tuu basi!
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.

kama huna cha kufanya chukua jembe ukalime a.k.a kajaze mabwawa ya ngereja tupate umeme ulioshindikana kama ugonjwa wa ukimwi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom