H Hans Miki Member May 30, 2017 12 28 Jun 5, 2017 #1 Hivi huu msemo wa kuliamsha dude asili yake ni nini? Naona umekuwa maarufu ghafla.
dullynho JF-Expert Member Jul 17, 2016 348 240 Jun 5, 2017 #2 Dude,D huelew maana yke? pendulum bob? km bado shuka kwa moody physics mchikidown anayafundisha xna ktk mechanics 1 wengi wanaelewa Dude, D
Dude,D huelew maana yke? pendulum bob? km bado shuka kwa moody physics mchikidown anayafundisha xna ktk mechanics 1 wengi wanaelewa Dude, D
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,421 112,075 Jun 5, 2017 #4 Muulize Bishop Gwajima
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,421 112,075 Jun 5, 2017 #5 Hans Miki said: Kumbe huyu Gwajima ndiye aliyeanzisha huu msemo? Au nimekuelewa sivyo? Click to expand... Ndiyo mwanzilishi, Gwajima ni public figure chochote akianzisha lazima kiwe na impact kwenye jamii.
Hans Miki said: Kumbe huyu Gwajima ndiye aliyeanzisha huu msemo? Au nimekuelewa sivyo? Click to expand... Ndiyo mwanzilishi, Gwajima ni public figure chochote akianzisha lazima kiwe na impact kwenye jamii.
Magangad JF-Expert Member May 14, 2017 837 354 Jun 6, 2017 #6 Kuliamsha dude, kwa muktadha wa sasa ni *kuanzisha mapambano, au kuchokonoa jambo na kuliweka wazi*
Benjamini Netanyahu JF-Expert Member Aug 7, 2014 92,421 112,075 Jun 11, 2017 #7 Hans Miki said: Ila ukiisikia hii kauli kwa mara ya kwanza inatisha kidogo Click to expand... Kweli mkuu
Hans Miki said: Ila ukiisikia hii kauli kwa mara ya kwanza inatisha kidogo Click to expand... Kweli mkuu