Zuleykha
JF-Expert Member
- May 20, 2016
- 1,163
- 1,656
Hapo hauna haja ya kufungua biashara ukishaanza kuwaza majambazi cjui biashara imeyumba, umesahau hata kazi yko iyo ujui kesho yko itakuwaje, c bora iyumbe ukajifunza kitu baadae ukisimama uendelee na safari, au ndo nyie mtakaojifunza biashara kw ela za pensheni, naamin kw mtu aliehamua kuacha kazi na kujiajir Kama yuko serous akawa ana heshimu mda, ela na anakuepo mda wote kwenye biashara anatoboa, hata mh rais alikimbia ualimu akaingia kwenye siasa Leo hii ndo rais wetu, mweny nia anatoboa,changamoto zipo hata kwenye ajira wanasubir mshahara mwisho wa mwezi.
[/QUOTE/]mhh ni sawa But hauwezi escape risk za biashara katika kipindi chote cha kwanza ....it might show you money ipovipi lazma tu utakutana na barriers ... then unaeza pia ukaajiriwa na ukawa na biashara zingine kando ...maisha ni mipango tu boss.